wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli wowote kwamba "Mechi" za mara kwa mara ndio siri ya amani kwenye ndoa/mahusiano?

    Habari zenu wanajukwaa la MMU, Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja. Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je madai ya rigathi gachagua yanaweza kuwa na ukweli wowote?

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amedai kuwa mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, aliyefariki dunia katika ajali ya helikopta pamoja na mke wake na watu wengine, alikuwa mshirika wa kibiashara wa Rais William Ruto na alikuwa akihifadhi zaidi ya KSh1.5 trilioni (takribani...
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina mpango wowote kwa kueliminate uswazi?

    Hivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa miongo kadhaa. Maana zinachafua sana muonekano wa miji yetu
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania CCM haina nia ya dhati ya kukuletea maendeleo. Ukiona mradi wowote wa maendeleo jua kwamba umeletwa ili watu wapige hela.

    Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi. Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwachelewesha. Watanzania tumezoea kuchangiana wakati wa shida na raha na utamaduni huu tumedumu nao tangu enzi za mababu zetu hadi sasa. Pamoja na ukarimu uliopo miongoni mwa watanzania, eti mchungaji huyu hapa chini anapinga kabisa mambo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi au mchongo wowote ili niweze kujihudumia Mimi na wanaonitegemea

    Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia. Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es salaam kwa sasa, Nina skills zifuatazo: 1. Ni Mwalimu wa mathematics na chemistry kwa Taaluma 2. Ni...
  8. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Wimbi la vijana kutaka malipo kabla ya kazi na wengi wao wakiwa hawana maarifa/ujuzi wowote limekuwa kubwa..

    Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hakuna ushahidi wowote wa Waisrael kuwahi kuwa utumwani Misri ?

    Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu ya kitu kama hicho kutokea. Hakuna chembe ya maandishi ya kale ya Wamisri, zana, vyombo au masalia...
  11. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Law No. 1 Never Outshine the Master: Kuna Uhusiano Wowote na Yanayotokea Sasa

    Naendelea kukisoma hiki kitabu 48 Laws of Power by Robert Greene Law 1 Never Outshine the Master Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please or impress them, do not go too far in displaying your talents or you might accomplish the opposite – inspire fear and...
  12. polokwane

    JamiiForums Tanzania Mnao dhani Kikwete ni msaada mmepotea sana huyu mtu hajawahi kuwa msaada kwa taifa na hatokuja kuwa na msaada wowote kwenye taifa huyu ni ibin maslah

    Kwa wanao mfahamu tangu zama za nyerere wanajua.
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania KERO Ni nani atatuambia ukweli wa kwanini umeme unakatika kila siku Dar wakati wowote?

    Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dorothy Temu: ACT hatuna ushirikiano wowote na dola. Hatuna mahusiano na CCM

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza wajibu wake wa kisiasa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. Akizungumza katika mahojiano...
  15. Teslarati

    JamiiForums Tanzania "Za kutumia tu hizi" Je hii video ina uhalisia wowote?

    Naona pesa imekua nyepesi sana, kwanza achana na ile kufuru ya katoro, njoo uone hii, unaambiwa hizo ni za kutumia tu wala sio za kufanyia mambo ya msingi. Je video hii ina uhalisia?
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zanzibar hawana mchango wowote kwenye pato la Taifa. Inaumiza sana.

    https://sw.wikipedia.org/wiki/Orodha_ya_mikoa_ya_Tanzania_kwa_Pato_la_Taifa
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilikuwa na mpango wowote wa kujenga refinery ya mafuta?

    Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery? Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake sasa muda wowote anakubadilikia.

    Hiki kiumbe usikipe asilimia mia moja kuwa anakupenda wewe tu japo siyo wote. Wamejaa matamanio ya papo kwa papo, analiwa popote, endapo kidume kitamvutia kwa muda mfupi tu. Demu unaweza kumuhumia mahitaji yake yote kwa kipindi kirefu sana, lakini siku moja kwenye birthday yake, mwamba mmoja...
  20. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Toa uthibitisho wowote kuwa wachina wanaroga na uchawi wao una mauza mauza ndio maana wamewashinda wale wachawi wakuu wa Kariakoo

    waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala. Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
Back
Top Bottom