msomi

 1. M

  Uchaguzi 2020 Wakili msomi Dr. Adv. Fidelis C. Mligo achukua fomu Njombe mjini kupitia CCM

  Huyu ni mzaliwa kijiji cha Ihalula au Kisilo huko Njombe. Kada ndakindaki wa CCM. Ni wakili wa kujitegemea, mhadhiri sheria chuo kikuu Iringa. Mwanateolojia na mwanafalsafa pia. Miaka ya nyuma aliwahi kuwa padre(Dr. Slaa namba 2). Vajameni mwaka huu tutaona mengi ambayo hayawahi kutokea.
 2. S

  Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

  Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia.
 3. Pascal Mayalla

  Uchaguzi 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

  Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza...
 4. Erythrocyte

  Video: Msomi Mwakyembe ajifukiza majani ambayo hayajathibitishwa na yeyote kutibu chochote

  Hii nchi kwa hali inayoendelea nayo ni vema wananchi tukaongeza maombi
 5. Synthesizer

  Mwanasiasa mzoefu anapotoa kauli ya kipumbavu usifanye haraka kuitafsiri na kumhukumu

  Kwanza kulikuwa na kauli kwamba "Zitto akirudi auwawe kwa usaliti" Halafu ikaja kauli nyingine, "serikali isitangaze watu wanaokufa kwa Corona virus, tutangaze wale waliopona tu" Mwingine akasema :Corona ni sawa na wapinzani" Wengi wetu tulikimbilia kutoa shutuma na kulaumu sana wanasiasa...
 6. Rich Pol

  Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

  Sio tu kwamba wana madaraka makubwa ya kisiasa nchini mwao, bali wana elimu kubwa kwenye fani mbalimbali jambo linalothibithisha usemi wa Kiingereza wa “readers are leaders,” yaani viongozi ni watu wenye hulka ya kusoma sana. Hii ni orodha ya wakuu wa nchi za Afrika wenye elimu kubwa zaidi...
 7. J

  Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

  Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
 8. Mbase1970

  Neno "Wakili Msomi" Tunalitumia ipasavyo ama hatuelewi maana yake?

  Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia ya baadhi yetu kuwaita mawakili wengi kama "Wakili Msomi Tundu Lissu" ama Wakili Msomi Albert Msando Wakili Msomi Petro Msaliwa. Swali langu kwa wote wenye ufahamu tunalitumia vizuri ama tumeamua tu kulifasiri kutoka LEARNED LAWYER kwenda kiswahili WAKILI...
 9. Bonde la Baraka

  Fanya maamuzi magumu wewe msomi usiye na ajira, utafanikiwa sana

  Habari wasomi wote mnaoteseka na suala la ukosefu wa ajira. Ushauri: Umehitimu chuo ngazi ya Astashahada, Stashada au Shahada na umehangaikia ajira kwa zaidi ya miezi 24 (2yrs)?. Kama jibu ni yes. Basi chukua uamuzi mgumu wa kuchoma moto vyeti vyako kisha ingia mtaani au shambani. Utafanikiwa...
 10. FORTALEZA

  Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

  Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
 11. N

  Wakili msomi Kaneirugaba Msemakweli aliishia wapi na kesi ya wenye PhD feki?

  Huyu mtu alikuwa na list ndefu sana ya watu aliowataka kuthibitisha PhD zao. Ile kesi iliyeyuka au aliambiwa aiondoe? Alikomaa na Dr. Mary Nagu, Dr. Nchimbi na wengine wengi, alikuwa na kitabu kabisa, Au naye alipigwa pini akasimamishwa kuwa wakili?
 12. Victor Chilambo

  Nimemaliza kidato cha nne 2018 naitaji msaada

  Naombeni msaada kombi gani nisome advanc "nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 najiandaa kuingia kidato cha tano lakin nashindwa kufanya chaguo la combi"matokeo yangu ni Hist-C,,Geo-C,,Kisw-C,,Eng-C,,Bio-C,,Math-C,,Civ-D,,Chem-D,,Phy-F Mpango wangu ulikua kusomea kombi zenye physics lakin...
Top Bottom