kipi

KDE Image Plugin Interface (usually abbreviated to Kipi or KIPI) is an API that allows creation of application-independent image processing plugins in the KDE project.

View More On Wikipedia.org
  1. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa ni kipi kinachokurudisha nyuma?

    1: Uchawi na ushirikina 2: Madeni yasioisha 3: Wadada wenye makebo makubwa 4: Pombe, beer, spirits, matapu tapu 5: Tabia na hurka zako binafsi 6: Fitina na Kufanyiziwa 7: Kipato kidogo 8: Matumizi makubwa na wategemezi wengi 9: Hauna ajira au kutokuwa na ajita ya kuaminika 10: Uraibu wa...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari. Je kwa upande wenu huwa inakuaje? Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kipi kifanyike kiinue uchangiaji katika forums za biashara, intelligence, ujenzi na tech. Zimepoa sana

    Karibuni
  4. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Je kipi ni sahihi

    Habari za jioni, kwa maisha yangu yote ya kuwa mkristo nimeaminoshwa kuwa Biblia ni uvuvio wa Roho mtakatifu/Mungu mwenyewe so Mungu huyu ni mkamilifuBinafsi napata contradiction through kuhusu imani hii based on Biblia husika inabishana naomba wana maandiko "Wasabato" na walokole mnosaidie hili...
  5. Jitu la Mara

    JamiiForums Tanzania Congo DR ili iwe stable, kipi kifanyike?

    Habarini wanaJF!! Naamini humu Wasomi na watu wenye exposure wapo. Huwa natafakari bila kupata majibu kuhusu nchi jirani ya Congo. Maradhi(mf. Ebola), Vifo, Insecurity ni miongoni mwa vitu vinavyoichafua nchi ambayo ingestahili kuitwa Super Power duniani. Jeshini pia tuliimba nyimbo za kukemea...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kilimo na Biashara: Kipi kinalipa kwa siasa za Tanzania!

    Maisha ni sias and vice versa. Je, kwa kijana aliyetoka chuo na kupata uridhi wa milioni 5 kwa wazazi wake, aingize kwenye kilimo au biashara? ROBERT: Amehitimu UDSM kitengo cha Sheria, akaingiza milioni 5 kwenye kununua mahindi Songwe ili asafirishe Malawi, kufika mpakani kakuta hakuna kibali...
  7. PAYE

    JamiiForums Tanzania Kati ya Pesa, Mawasiliano na Wivu, kipi hasa kinasababisha ndoa kuvunjika?

    Wakuu Katika mihangaiko yangu, nimejikuta nimepita kwenye kijiwe nongwa kimoja. Kimekolea! Watu wamekaa wamezunguka, kila mmoja ameshikilia upande wake, na mjadala uliokuwa unaendelea ulikuwa kuhusu migogoro ya ndoa. Mmoja anasema, “Ndoa nyingi zinavunjwa na pesa. Bila pesa, mapenzi yanageuka...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tabiri, kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari ya Tanzania, 29/10? Siku 365 za Samia ikulu, au siku 365 za mauaji Tanzania?CHAGUA.

    Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania? Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika? Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi? Ukichagua cha...
  9. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ni kipi bora ambacho Nyerere hakuna wa kumlinganisha nae hadi sasa?

    Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa Moyo wote. KARIBUNI
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kipi katika hivi unaamini visingekuwepo, tungeishi kwa afadhali kuzidi sasa

    Ujambazi / wizi wa mabavu - Kupora watu mali zao kwa mabavu Tamaa na ubinafsi, Uzinzi yakiwemo madhara yake kama kuathiri uchumi na magonjwam Matatizo ya ndoa - Kuchepuka, kukosekana amani, ndoa kuvunjika, n.k. Unafki - Kuvaa kinyago cha kuficha nia za kweli mtu awapo mbele ya mwenzie...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Survival Skills vs High Income Skills ujifunze kipi?

    Survival Skills vs High Income Skills Watu wengi siku hizi wanakimbilia kujifunza high income skills kama AI, digital marketing, coding, copywriting au video editing. Hilo ni jambo zuri. Lakini kuna kitu muhimu kinasahaulika. Survival skills. Unaweza kuwa na skill inayoweza kukuingizia...
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kipi kitatokea endapo Mh Rais Dkt. Samiah asipofanya maridhiano na mtu yoyote mpaka muda wake uishe?

    Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na...
  13. haszu

    JamiiForums Tanzania Kipi kinachokufanya utembee kifua mbele?

    Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa mepesi kabisa. sasa unakuna mtu hana chochote cha kuringia kisha anatembea akivimba, bure kabisa
  14. Bin Shaib

    JamiiForums Tanzania Kipi nianze nacho kati ya haya mawili

    Wapendwa wana JF ,,, habari ya uzima wenu habari za weekend,,, Mungu ni mwema sana namtukuza kwa wema wake. Nina mawazo mawili ambayo yananitatiza maana kuna jambo la kwanza "KUOA" au kununua computer kwaajili ya kurecord Gospel,,,,kazi yangu me nimchoraji wa picha na maandishi pia ni mwalimu...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vipato wanawapotosha Wanawake Maskini. Sasa mwanamke aandike mali kwa jina lake kwa kipato kipi?

    WANAWAKE WENYE VIPATO WANAWAPOTOSHA WANAWAKE MASKINI. SASA MWANAMKE AANDIKE MALI KWA JINA LAKE KWA KIPATO KIPI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Asilimia kubwa ya Wanawake ni tegemezi ile yenyewe. Yaani mwanamke tegemezi tunazungumzia mwanamke asiye na kazi, asiye na elimu, asiye na ujuzi...
  16. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kipi kipo nyuma ya shamrashamra za mastaa wa Kimataifa wanaokuja Bongo: Kuna jambo, au tunatolewa kwenye reli?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ujio wa watu maarufu duniani kama Didier Drogba na Rio Ferdinand ikielezwa kuwa ni kwa mwaliko wa Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo inayoongizwa na Paul Makonda. Kwa juu juu, hatua hii inaweza kuonekana kama jitihada za...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Katika dini ni kipi katika maisha ya binadamu kisicho ibada?

    Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife. Niliwahi kusikia pia watu wanasema maradhi ni ibada!
  18. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  19. M

    JamiiForums Tanzania Unahisi kukija kuwa na maandamano mengine makubwa ni kipi kitabadilika kuwa tofauti na October 29 ?

    Kwa upande wako unaona ni kipi kinaweza kubadilika
  20. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    Hivi kati ya kujenga nyumba au kununua kipi ni gharama kubwa?
Back
Top Bottom