mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu. 📍Itilima - Simiyu. 📅 Septemba 14, 2026.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  3. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Nimepewa Passport na Mkuu Tiss !

    Mkuu wa Tiss katoa agizo kwa Mkuu wa Uhamiji Prof Ngongo apatiwe Passport mara moja. Hizi habari za kwenda office za uhamiaji kuomba Passport zimepitwa na wakati. Sisi wakubwa tuna utaratibu wetu. Najaribu kufikiria kama angekuwa mtu fulani angeitwa majina yote. Ngongo kwasasa Tandamti.
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Naitwa Silas John Charles. Nina malalamiko yangu dhidi ya kampuni ya Pigabet ambayo yamechukua muda mrefu bila kupata uamuzi, hali inayoninyima haki yangu ya kupata fedha ninazodai kiasi cha Shilingi milioni 27.7. Tarehe 30/10/2024, niliweka beti yangu kupitia kampuni hiyo na beti hiyo...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Moshi Manispaa BILA kuhamishwa, kuna kila dalili (CCM) kukutana na changamoto kubwa zaidi katika Uchaguzi Mkuu 2030

    Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Mawakili ni Maofisa wa Mahakama?, Onyo la CJ Kuwa Mahakama Sio Sehemu ya Uanaharakati, Linawahusu!. Tujikite Kwenye Interest of Justice!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Karibu Simiyu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Karibu Simiyu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. 📆 13 -16 Septemba, 2026.
  8. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Ded-Kilindi Tanga amnyanyasa mwalimu mpaka aache kazi?Mh.Waziri mkuu ingilia kati suala hili.

    Habari za jioni wana jamiiforum. Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa. Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti mwajiri wake Dodoma tamisemi mwaka 2024 kutokana na mwajiri kutomlipa haki zake mbalimbali.Kuna pesa za...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu, wa Tanzania, tunaomba ufafanuzi wa jambo hili la Eda kwa mke wa pili wa Hafidh Ameir,Mume wa Samia

    Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine? Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Katibu Mkuu ACT Wazalendo yafanya kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa. Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aunguruma tena kuhusu Magaidi wa Iran!!!

    Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu: Rais Trump alitangaza jana kwamba Iran inajaribu kujihami tena kwa silaha za nyuklia. Hiyo ni kweli. Baada ya kuharibu uwezo wake wa moja kwa moja wa kutengeneza mabomu ya nyuklia, wanajaribu tena. Ninawaahidi hapa, kwenye Ukuta wa Magharibi, mbele...
  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

    Hapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
  13. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jadi wa Aflao; Wanaume wanashindwa kufanya vizuri tendo la ndoa kwasababu wanawake hawavai shanga

    Mkuu wa Jadi wa Aflao , Torgbuiga Adzonugaga Amenya Fiti V huko nchini ghana, amesema kuwa kushindwa kwa baadhi ya wanaume kudumu muda mrefu kitandani kunasababishwa na wenza wao kutovaa shanga za kiunoni. Akizungumza kuhusu suala hilo, kiongozi huyo wa jadi alisema kuwa desturi ya wanawake...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Chalamila, usipoe, bajaji na bodaboda waondoke katikati ya jiji na major highways.

    Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi. Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara. Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kw

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashiriki hitma ya marehemu Hafidh Amir Hassan Kizimkazi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatano, Septemba 09, 2026, ameshiriki Hitma ya kumuombea marehemu Hafidh Amir Hassan, aliyekuwa mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hitma hiyo imefanyika Kizimkazi Mkunguni, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asimikwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    • 8,Septemba 2021 — Rais Dr. Samia Suluhu Hassan Asimikwa kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania ▪︎ Tarehe 8 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alisimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania katika Tamasha la Utamaduni lililofanyika Kisesa, Magu, Mwanza. ▪︎ Katika tukio hilo, Machifu walimtawaza...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu ashiriki maziko ya mhe. Hafidh Ameir Hassan

    WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZIKO YA MHE. HAFIDH AMEIR HASSAN Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 07, 2026, ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi katika maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mchengerwa kuwa waziri mkuu

    Wakati naenda makumbusho Leo nimekutana na mtu mmoja amvaa baragashia akasema 'Wanamtandao wanatanduana ni mnyukano Kati Yao Akanidokeza kuwa waziri mkuu ajaye ni Mchengerwa soon as possible. Aisee nimecheka baada ya kulia
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Mkandarasi wa barabara Ilongero kutangazwa mwezi huu

    Ndani ya mwezi huu huu, muwe mmeshatangaza kupata mkandarasi wa kuanza kujenga hizi kilomita 11 za awali ambazo zitaziba hili pengo kuanzia hapa mpaka kwenye lami na kupita kidogo mji wa Ilongero-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema hayo...
Back
Top Bottom