Marekani ikiwa ni kinara wa demokrasia imeonesha kuwa demokrasia ni janga jengine la dunia
Hata kurudi kwake kugombea pamoja na kukabiliwa na kesi chungu nzima ni funzo jengine la matatizo ya tawala za kidemokrasia.
====
Trump says there will be a 'bloodbath' if he loses the election...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile zinazoheshimika barano Afrika.
Mechi hii itaanza muda wa saa 11:00Jioni.
Kaa nami katika uzi huu...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ametembelea eneo ambalo kumetokea ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Ally’s Star lenye namba T.178 DVB likitoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kugonga kichwa cha Treni katika makutano ya reli na barabara, nje kidogo ya Mji wa Manyoni Mkoani...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake.
Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
Mzaramo Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe anapigana na Mcongo, Erick Katompa katika pambano la Uzito wa Super Middleweight Mkoani Arusha
Wawili hao waliwahi kukutana Oktoba 1, 2021 ndani ya Viwanja vya PTA pale Sabasaba Jijini Dar es Salaam ambapo Katompa alimtwanga Dullah Mbabe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki. Kauli Mbiu ya Mkutano huo ni "Kuharakisha ufufuaji wa uchumi kupitia hatua za hali ya hewa na kuimarisha usalama wa chakula kwa ajili ya kuboresha maisha"...
Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco
KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2023.
Habari ya wakati huu kwenu watu wa jamii ya JamiiForums.
Katika kuadhimisha siku ya choo duniani kuna baadhi ya mambo ni muhimu kuyajua ikiwa ni jitihada zifanyikazo kuongeza uelewa kwa jamii inayotuzunguka.
Siku ya Choo Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba na inalenga kuongeza...
Novemba 19 ya kila mwaka, huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Wanaume kwa lengo ka kutambua michango ambayo Wanaume hutoa katika Familia na Jamii kote duniani.
Pia, Siku hii inalenga kuongeza ufahamu kuhusu takwimu za juu za Wanaume kujiua ikiwa ni eneo ambalo mara nyingi hupuuzwa wakati wa...
Mkurugenzi wa Kurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia...
Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote.
Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu.
Hapa...
Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
Mchakato wa kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili Mwandishi wa Habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo inatarajiwa kuendelea Novemba 29, 2023.
Usikilizaji wa mashahidi katika kesi hiyo...
Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA imetahadharisha uwepo wa mvua kubwa kwa Jiji la Dar es Salaam kwa siku ya kesho, Jumapili Novemba 12 2023.
Utabiri wa TMA unaonesha mvua hiyo itakayoenea hadi katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Tanga,
Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia na mikoa ya Lindi pamoja na...
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa Zamani wa Finland, Hayati Martti Ahtisaari iliyofanyika Helsinki tarehe 10 Novemba 2023.
Wakati wa...
Orodha ya Shughuli za leo.
Dua
Maswali na Majibu
Miswada mbalimbali ya Sheria kusomwa kwa mara ya kwanza ikiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023.
Aidha, muswada wa sheria za marekebisho ya vyama vya siasa (2023) utasomwa kwa mara ya kwanza...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 8, leo Novemba 8, 2023.
https://www.youtube.com/live/EJYdReKJgo4?si=HbiC7GkWhGzGquFd
Kwa mujibu wa takwimu za Mfumo wa Taarifa za Uendeshaji wa Huduma za Afya (MTUHA), jumla ya wagonjwa 86,990 wa Sickle Cell walihudumiwa kwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.