waziri wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. B

  Eng. Masauni ajitokeza kwenye vyombo vya habari toka ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Fedha, kweli reshuffle imekaribia

  Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya. Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada ya kuteuliwa kwa mbunge stagomena Tax Ni juu ya mabadiliko ya baraza la Mawaziri. Kipindi chote...
 2. Sky Eclat

  Waziri wa Fedha Uingereza ametangaza kushusha umri wa kustaafu kufikia miaka 63 kutoka 72

  Badiliko hili limelenga kuwasaidia babu na bibi kupata nafasi ya kulea wajukuu na kuwezesha idadi ya watu kuongezeka. Wengi wanaofanya kazi wanapata changamoto za gharama kubwa ya malezi ya watoto, jambo kinalopelekea wengi kuamua kutozaa. Kwa badiliko hili jipya, ukifikisha miaka 63 unaweza...
 3. K

  Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba si mbunifu

  Nakiri kama nchi hii msomi wa ngazi ya PhD anaweza kufikiri kama darasa la saba, ni jambo la kusikitisha sana. Mimi nisingeshindwa kusema naogeza tozo kwenye miamala, natoza kodi ya Nyumba kwenye luku, naongeza bei ya mafuta. Je, ijahitaji PhD kufikiri vitu hivyo? Je, nini kinafanyika kwa...
 4. M

  Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba uko very Knowledgeable, ila you're very Poor in Communicating, lifanyie kazi tafadhali

  Kama kuna Kitu ambacho bila Unafiki au Sanifu au Kukudanganya nakipenda Kwako ni Uwezo wako mkubwa wa Maarifa uliyonayo hasa juu ya Fani yako na Exposure ya Wastani. Ila Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kama kuna tatizo Kubwa ulilonalo ni la Uwasilishaji wa Jambo katika Public (...
 5. Roving Journalist

  Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

  Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
 6. GENTAMYCINE

  Dkt. Charles Kimei anza kupiga 'jaramba', huenda muda wowote ukamrithi aliyeleta tozo za ovyo

  Kuna Watu wameteuliwa ila hawajui tu kuwa wapo katika 'Sacrifice List' ya 'Mama' kutokana na Rekodi zao mbovu na pia kwa Tamaa zao za Kuutaka sana Urais tena wa 2025. Hakika 'Mama' kwa Kusaidiwa na Taasisi fulani 'Muhimu' nchini anaonyesha kuwa japo Yeye ni Mwanamke ila katika Umafia wa...
 7. E

  Pendekezo: Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa Fedha

  Hiki kindumbwendubwe cha mpesa kimeonyesha uwezo mdogo wa waziri wetu wa fedha. Kiukweli huyu kakayangu kapwaya kwenye viatu kwa Dr Mpango. Nilitamani Mpango arudi lakini kwa nafasi aliyonayo itakuwa kumshusha hadhi. Mie napendekeza Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa fedha, huyu ni...
 8. MAHANJU

  Wizara ya Fedha haina Waziri makini. Tutakwama!

  Katika wizara ambayo ambayo haikutendewa haki ni wizara ya fedha. Sijui mama Mama alikwambia wapi kumpa Dkt. Mwigulu Nchemba dhamana ya kusimamia wizara ya fedha. Sijui mamlaka zetu zilikwama wapi kumshauri Mama kuhusu uteuzi huu. Wizara ya fedha inahitaji mtu smart ambaye amekua kwenye field...
 9. GENTAMYCINE

  Natamani kumjua Profesa aliyesahihisha 'Doctorate Thesis' ya Mwigulu Nchemba

  Tafadhali mno kama Wewe Profesa upo hapa JamiiForums ( na naamini upo ), tafadhali jitokeze ili angalau basi GENTAMYCINE nikuulize maswali yangu kuntu kuhusu candidate wako Mwigulu Nchemba ( Waziri ) Kwani nahisi huenda hata nawe wakati unasahihisha 'Doctorate Thesis' yake ulikumbana na...
 10. fasiliteta

  Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

  Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa Tozo ya Mafuta juu Tozo ya Fedha mitandaoni juu Tozo ya kiwanja kwa luku Makato ya kwenye vocha juu. Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha) Mnataka tuishije sasaa? Najiuliza inamaana...
 11. Upepo wa Pesa

  Waziri wa Fedha na Makamu wa Rais ni PhD holders wa uchumi. Tunakwama wapi?

  Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu? Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi? Makamu wa Rais ni PhD holder wa uchumi/fedha na Waziri wa Fedha ni PhD holder wa uchumi kutoka pale jalalani...
 12. J

  Mzee Mgaya: Waziri Mwigulu anapaswa kujiuzulu kama alivyofanya Gavana Edwin Mtei, ukikosolewa na Rais wewe hauaminiki

  Kada mkongwe mzee Mgaya anasema waziri wa fedha anapaswa kujiuzulu baada ya kodi yake ya kizalendo kutiliwa shaka na Rais na hatimaye Waziri mkuu kupewa jukumu la kuiangalia upya. Mgaya anasema aliyekuwa Gavana wa BoT Edwin Mtei alijiuzulu baada ya Rais Nyerere kutilia shaka ushauri wake kuhusu...
 13. S

  Waziri wa fedha kasema kodi zote zimeishapitishwa na bunge hivyo yeye hawezi kufuta

  Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana, kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!
 14. P

  Kinachokwenda kufanyika kwenye miamala ya simu, ni Serikali kuuchukua tena uchumi sadifu wa kati kwa walala hoi kwamba hawastahili kuwa nao

  Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha aliyopitia na hatimaye aone pia wale ambao bado wako huko wanapitia ugumu uleule aliowahi kuupitia yeye...
 15. GENTAMYCINE

  Nitashangaa na kusikitika kama hatutampongeza Dkt. Mwigulu Nchemba na kubadilika kwa ukweli mchungu huu

  "Watanzania waache kuwekeza sana katika Bajeti za Kunywa Pombe kila mara huku wakishindwa hata tu kukata Bima kitu ambacho nadhani kwa Mtu makini ni muhimu zaidi katika Maisha yake " Chanzo: Cloudstv 360 Mtani wangu kutoka Mkoani Singida Dk. Mwigulu Nchemba unajua fika kuwa GENTAMYCINE...
 16. Shujaa Mwendazake

  Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

  Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.” Kazi na iendelee!
 17. ng'wanamangilingili

  Mwigulu ukimaliza Awamu ya Sita ukiwa Waziri wa Fedha basi wewe jiwe

  Hizi wizara mawaziri mnazibumunda sana na kuzichechemesha. Kama umekaa na jopo lako la kitaalamu la kikodi na ukaja na uteuzi wa samatta, kumwembe sijui na mobeto kuwa waelimishaji rika wa kodi unapoteza kani na sijui hii itakusaidia vipi kuongeza wigo na mapato ya kodi. Kama ni matakwa yako...
 18. GENTAMYCINE

  Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba: Yanga SC tuachaneni na Morrison kwani Makambo anakuja

  Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie? Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
 19. S

  Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, kukata hela katika muda wa maongezi ni chanzo cha mapato

  Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato. Lakini cha ajabu wanapopewa jukumu la kubuni vyanzo vya mapato kwao uwa ni mtihani mkubwa sana japokuwa...
 20. Elius W Ndabila

  Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu ninaomba ufafanuzi wako kidogo juu ya Makato ya Vocha

  DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini niliisikiliza na nimeisoma nimeona ni bajeti ambayo inagusa maisha halisi ya Mwananchi. Ni bajeti...
Top Bottom