Wakuu baada ya kupiga kambi Mtwara na Newala nimevutiwa sana na ustaarabu, uungwana na ukarimu wa watu wa kusini mwa Tanzania.
Sasa ninaandika kitabu kuhusu maisha ya watu wa kusini mwa Tanzania. Kitabu kitagusa nyanja zote kuanzia utamaduni hadi shughuli za kiuchumi ikiwa ni pamoja na fursa...
Habari wana jamvi.
Nina wiki apa Nachingwea mkoa wa Lindi lakini ni kama tunaishi Gizani umeme unakatika kila siku tena kwa masaa 10 na zaidi.
Ila Wenyeji wanasema ni kawaida na wameshazoea.
Mfano jana umeme umekatika saa 9 mchana umerudi leo saa 5 Asubuhi.
Kwetu Kaskazini huu ujinga sijawahi...
Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya.
Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi.
Ila sasa huku mikoa ya kanda za...
Baada ya kukataliwa na wasomi pamoja na wachambuzi wengi wengi waliousoma mkataba wa DP World, tumeshuhudia CCM ikikaa kikao ghafla ghafla na kuamua kwenda kutoa elimu kuhusu huu mkataba mbovu kuliko mikataba yote ya nchi hii.
CCM iliamua kuanzia kampeni zake vijijini huko mikoa ya kusikokuwa...
Wizara ya Nishati Tanzania imeanz amajadiliano na Mawaziri kutoka Tanzania na Zambia kitakachojadili ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika ulinzi na usalama wa Bomba la Mafuta la TAZAMA na sekta ya nishati kwa ujumla wake.
katika kikao hicho kitaongozwa na Wawaziri January Makamba na...
Wanaofanikiwa duniani sio wenye akili na nia pekee, wenzio wana miungu yao.
Wewe una Mungu gani?
Kusini unaweza ukawa na juhudi ila ukaishia kufanikisha wenzio ambao hawaangalii.
Kuna uchawi wa kijinga sana. Mkasa unaanza paragraph ya pili niskize nikupe Issue.
Katika Pekua Pekua za Mzee...
Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia
Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa
Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa...
Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu
Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni.
Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa sauti yetu sisi wakulima wa korosho. Ambao hatuhitaji korosho nyingi ila tunahitaji soko bora la...
Matumaini yangu ni wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza kabisa nianze kwa kuisifu,eeeh bhanaa hamna mikoa mizuri hapa Tanzania [emoji1241] kama mikoa ya kusini hasa hasa ile iliyopitiwa na bahari yaani MTWARA na LINDI sijajua hata tulikwama wapi kuifanya iwe kama Istanbul...
Hapa nazungumzia mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma
Kwanza kabisa watu hawa wana utamaduni tofauti na wa mikoa mingine. Ni mikoa yenye wakosoaji wachache sana nchini,ni mikoa yenye maendeleo duni sana,ni mikoa ya mwisho mwisho kabisa.
Huwezi kusikia mbunge fulani au mwanaharakati hata wa...
Safari yenye takribani kilomita 600+ hadi Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi kijiji cha Nangoo napata fursa ya kuifahamu jamii ya watu wa mikoa hii japo kwa uchache.
Nikiwa eneo hilo nilipata fursa ya kufahamu baadhi ya tamaduni za kule, baadhi tu kama vile Unyago na aina ya vyakula ambavyo vipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.