Nitakuwa mbinafsi nisipochukua hatua ya kuwapongeza keyboard warriors wote humu nchini hasa hapa JamiiForums kwa kuishia kubwabwaja mitandaoni na sio kufanya matukio maovu kama yanayofanywa na vijana wa nchi jirani.
Ninawasihi keyboard warriors waendelee kulinda amani ya nchi kwa wivu mkubwa...
Salaam, Shalom!
Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum.
Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
Wanasema muacha asili ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mambo lazima tukubaliane ni ya aibu ndio maana makabila mengi yaliacha.
Mila kama hizi zina tija gani zaidi ya kutiana aibu wakuu ?
Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki.
Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani
Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa.
Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
Kutunza na Kufua Nguo na Matendo Yetu
Nguo au vazi linawakilisha “matendo ya mtu”. Maana yake ni kuwa kiroho, mtu mwenye mavazi safi, maana yake matendo yake pia ni safi. Kinyume chake, mwenye mavazi machafu maana yake matendo yake si safi (Ufunuo 19:18).
Kuna uhusiano kati ya mavazi ya mtu na...
Nafasi za kazi: Watunza Bustani (02)
Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania
Majukumu:
Kutayarisha na kutunza upandaji wa maua, mapambo, na nyasi.
Kuripoti matengenezo yanayohitajika kwenye bustani.
Kuweka eneo la bustani katika hali ya usafi na nadhifu.
Kuhakikisha matumizi sahihi na uhifadhi...
"Kulea ni kazi ya mwanamke na kutunza ni kazi ya mwanaume. Ili mwanamke aweze kulea ni mwanaume anahusika kutoa matunzo.
Kujiunga na chama hichi ni kuanzia miaka 18 ambapo tunatengeneza wanaume ambao hawakimbii familia. Waliojiandikisha mpaka sasa ni wanaume 31,000"
- Claude Benedict Kimu...
Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama,
Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa..
Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
Habari wadau.
Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea.
Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya
Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili
Naombeni tips niishi nazo 2025
Tundu Lissu afahamishwe katika kushika dola umoja ni muhimu zaidi kuliko hata sera, uhalisia na ukweli. Pamoja na yote anayofanya lazima ajue lugha ya ukali anayotumia kwa CCM na serikali haifai na haiwezi kudumisha umoja ndani ya chama chake, anapaswa kuipooza. CHADEMA hakijawahi kushika dola...
Nina health issue inayonihitaji kula carrot, hoho, vitunguu na spinach on daily basis kama dawa, aidha vibichi, kwenye juisi au vipikiwe ila visiive sana. Lakini napata challenge kutunza hoho na carrot. Spinach hazina shida sababu niliweka kabisa bustani ila hoho na karrot ulimaji wake...
Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru, mikoa mbalimbali nchini imejitokeza kushiriki shughuli za kutunza mazingira, ikiwemo kufanya usafi na kupanda miti.
Mkoani Morogoro, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Kikosi cha Mazao Mzinga na wadau wa mazingira wamepanda miti 7,000...
Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Wananchi hao wametoa pongezi hizo Disemba 1, 2024 wakati...
Inashangaza sana
Mfanyabiashara Mkinga ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Njombe mjini lakini kijijini Makete kijumba
Mhandisi Msukuma ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Mwanza mjini lakini kijijini Gamboshi kijumba
Profesa Mhaya ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Bukoba mjini lakini kijijini Biharamulo...
Wapo baadhi ya watu ambao hupenda kujua mambo yanayokuhusu au mambo asiyoyajua; na anatamani kuyajua ila hapaswi kuyajua kwa wakati huo.
Sasa ikiwa wewe ndiye unaulizwa kuhusu jambo au taarifa fulani unayoijua ila hupaswi kuisema kwa huyo anayekuuliza kwasababu ni SIRI; Je utamdanganya kwa...
Nimeanza kucheza betting ya akili sasa hivi na deal na odds 1.27 mpaka 1.30 halafu mkeka wa accumulation mecchi 4 tu zilete odd ya 2.68 na zaidi na sio single bet mtaji ni laki 2 na natumia finobacci system.matokeo yanaenda vizuri nataka hela yoyote ndogo nitakayokuwa nakula niwe naitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.