series

 1. S

  Naitafuta hii Series ya Mortal Combat

  Wakuu Kwema, Miaka Fulani nyuma kwenye 199X kituo cha Luninga cha ITV kilikua kikionyesha hii movie ya Mortal Kombat lakin kwa mtindo wa episodes. Yaani kila wiki wanatupia moja nadhani wahenga wenzangu wa kipindi hicho mnaweza kua mnakumbuka. Nimejaribu ku Google lakini naona napata only...
 2. Sir_Mimi

  Msaada: App ya ku-download movie..

  Habari wakuu,naomba kwa anayejua app nzuri ya kudownload movie zenye subtitles anielekeze.
 3. Martin Kemosabe

  Msaada wa kudownload series (all in one)

  Kama yupo ataeweza nisaidia kujua namna ya kudownload series all in one package nitafurahi sana, site nyingi ninazoingia series inanibidi nidownload episode 1 moja jambo ambalo linanichosha. Naomba mwenye kujua site ambayo naweza download mfano prison break zote ziwe kwenye singo torrent...
 4. C

  Mwenye link niweze dowload strikeback series season ya 1 hadi ya 5

  Tafadhali wakuu naomba link ya kupakua hiyo series nimecheki 02tvseries imeanzia season ya 6 so naomba kuanzia 1-5 tuendelee kujichimbia nano vizuri
 5. Forgotten

  NETFLIX wanafeli wapi?

  Wiki hii nilipata nafasi ya kuangalia movie pamoja na series mpya kutoka NETFLIX ORIGINALS. Hizi zote wameziandaa wenyewe; EXTRACTION (Movie) Hii imejipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na kuwa full packed na fights za kutosha, kwa wapenzi wa action movie hii lazima uikubali. Ila walipofeli na...
 6. I

  Naomba jinsi ya kupata series with English subtittle

  Natumia smartphone naombeni namna ya kudownload series yangu with English subtitle anayejua atoe maelezo yakutosheleza please
 7. Forgotten

  Series ninazozifuatilia hadi sasa

  Tukiendelea kufuata ushauri wa wataalamu kipindi hichi kigumu dunia inachopitia, ukiachana na vitu vyote ushauri muhimu wanaotoa wataalamu ni kukaa nyumbani na kutulia ili kujilinda wewe pamoja na familia yako na ukitoka nje usiache kuvaa barakoa (mask) kwa usafi na kufuata taratibu za kiusalama...
 8. Martin Kemosabe

  Msaada jinsi ya kudownload Movie na Series za Kifilipino

  Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino. Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye uzoefu na kujua namna ya kufanya ili niweze fanikisha hili USER=403420]Numbisa[/USER] naomba upite...
 9. Da'Vinci

  Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

  Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao. Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack...
 10. DIDAS TUMAINI

  Je, nawezaje ku-download season nzima ya Kikorea kwenye folder moja?

  Wakuu salamu. Naomba kuuliza,hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder. Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe. Hakuna namna ambayo naweza kupata season ikiwa ndani ya folder moja afu Mimi ni download ilo folder lote badala ya...
 11. DIDAS TUMAINI

  Je, Naweza kudownload series za kikorea kwenye folder moja?

  Wakuu salamu. Naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder. Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe.Hakuna namna ambayo naweza kupata season ikiwa ndani ya folder moja afu Mimi ni download ilo folder lote badala ya...
 12. NOT ENOUGH

  Nina kiasi cha mahusiano ya kimapenzi ya miaka 10 ambacho nikipata utaalamu wa kuandika itakuwa series nzuri sana

  Nina kiasi cha mahusiano ya kimapenzi ya miaka 10 ambacho nikipata utaalamu wa kuandika itakuwa series nzuri sana. Naomba muongozo kwa wenye uelewa katika anga hii. Kisa kiko hivi 1. Kumfahamu mpenzi wangu akiwa mke wa rafiki yangu 2. Tukaishi maisha kama family friends mimi nina family na...
 13. Da'Vinci

  My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series

  Kuna wakati unaweza kusoma kitu ukabaki unajiuliza mambo mengi sana juu ya mwandishi wa kitu hicho. Aliwaza nini,alipata wapi hii stori,ana akili yenye uwezo gani hadi kuandika kitu hiki. Basi ndio maswali mengi ambayo hua najiuliza juu ya huyu George Raymond Martin kutokana na uandishi wake wa...
 14. Titia

  WAPENZI WA NAIGERIAN MOVIE AND SERIES.

  Wadau habari za maujukumu, kama kuna wapenzi wa Naigerian au African movies zenye stori nzuri iliyosimama na kuhamasisha kuangalia hata kuinuka kwenda toilet unashindwa tutajiane machimbo ya kuangalia na sisi. hii inahusu movie hata za kizungu na black american mf. movie ya Nobody is fool yumo...
 15. L

  Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

  Wakuu nataka kununua simu ya Samsung. Sasa kuna hizi A series na J series. Je, ipi ni mzuri kwa budget ya shilingi laki 6 hadi 8? Au hata S series pia ipi nzuri?
 16. MalcolM XII

  Zanzibar ndani ya Netflix Series

  Hii ni kwa wale wapenzi wa Series movies. Netflix wanakuja na series kali inayokwenda kwa jina la Queen Sono ------------------------------- Queen Sono is a South African crime drama web television series created by Kagiso Lediga that premiered on Netflix on February 28, 2020. The series...
 17. chinchilla coat

  Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

  Nimeona kwenye matangazo mengi hii serires ikipewa promo kubwa sana, hadi watu wengi wanaweka zile mask za wale robbers kwenye dp zao. Nikaona niitafute bana. Dah Money Heist ni series ya hovyo, haipo level moja kabisa ya kuitwa series kali na inaboa kuitazama. Nimejaribu kuitazama kwa...
 18. beth

  The Shade Room: Mwanamuziki Vanessa Mdee adaiwa kuwa kwenye uhusiano na muigizaji wa Series ya Power

  Looks like Rotimi, aka Nigerian butterscotch, has been taken off the market and his new bae is an East African super star! Rotimi is currently boo’d up with Tanzanian singer/songwriter Vanessa Mdee, who also goes by Vee Money. She’s also an activist and television personality who is currently...
Top Bottom