shilingi

The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Kenya yalipa Takriban Shilingi Bilioni 8 kwa Mikopo isiyotumika, Mdhibiti Mkuu wa Hesabu aibua wasiwasi

    Kenya imelipa takriban Shilingi bilioni 7.7 kama ada za kujitolea (commitment fees) kwa mikopo ya kigeni ambayo haikutumika kati ya mwaka wa fedha 2020/21 na 2024/25, kulingana na ripoti za Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathungu, na Mdhibiti wa Bajeti, Margaret Nyakang'o. Ada hizo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Soko halina huruma. Kwa huu mlipuko wa biashara ya Wi-Fi, tunakoelekea internet itaanza kuuzwa sh 200, huku Serikali ikianzisha vibali na kodi mpya

    Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi. Lakini kinachonishtua si ongezeko la watoa huduma, bali kasi ambayo biashara hii inaanza kujiharibia...
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Sugu: Madee alinitumia shilingi milioni mbili

    Mkongwe wa Hip Hop Bongo, Sugu amefunguka kwanini hayupo katika mpango wa kuhadhimisha miaka 30 ya Bongofleva. Amesema Madee alimtafuta na kumuomba ashiriki katika wimbo wao kwa ajili ya mradi huo, na yeye alikubali. Ghafla baada ya muda akashangaa kuona Madee amemtumia Sh2 milioni, ndipo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  5. maiko sultan

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko mbioni kupata mkopo wa takribani TZS trilioni 1.165 kutoka Shirika la fedha duniani (IMF)

    Tanzania iko mbioni kupokea mkopo wa takriban shilingi trilioni 1.165 kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya shirika hilo kukamilisha tathmini ya mwisho ya utekelezaji wa programu za mageuzi ya kiuchumi nchini. Fedha hizo zitatolewa kupitia Mpango wa Mkopo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unatoa wapi ujasiri wa Kuomba mtu kiasi Cha shilingi 100,000

    Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli posho ya kikao kwa mmbunge ni shilingi laki nane? Yaani sawa na mshahara wakati wa mtumishi wa serikali?

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA kwenye Moja ya mikutano yake akisema posho ya mmbunge mmoja Kwa kikao ni shilingi laki nane. Mimi kulagha siamini kama hilo linaweza kuwa kweli Kwa jinsi viongozi wetu walivyo wazalendo, hawawezi ruhusu jambo hilo lifanyike katika nchi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Operation Kisiwani Gana: DC Ngubiagai na Mbua wasema wamefutilia mbali nyavu haramu za shilingi Milioni 73

    Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Cde. Christopher Ngubiagai, ameongoza operesheni ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi milioni 73,615,000. Shughuli hiyo ilifanyika mnamo Juni 18, 2026, katika Kisiwa cha Gana kilichopo Kijiji cha Kamasi, Kata ya Ilangala, ikiwa ni sehemu ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nasikitika Sana Kuona Shilingi yetu Ya Tanzania Inavyoporomoka

    Habari zenu WanaJF, Mimi sio Mwanauchumi lakin kwa namna Tsh yetu inashuka thamani nazidi kusikitikia hata uongozi kwa namna wasivochukua hatua, mfano sikuhizi ukienda shell na elfu kumi unapata lita mbili tu, wakati miaka michache iliyopita ulikua unapata mpaka lita 5 kwa tsh elfu kumi...
  10. Rwiziringa Tactics

    JamiiForums Tanzania Shilingi baada ya Vikwazo

    Piga hesabu ya Akiba ya pesa uliyonayo kwa sasa alafu jikague ki C.AG, Hivi Utaweza kununua Hata sabuni ?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kafulila atekeleza ahadi ya Ubia wa kukagua magari Kidigitali ni wa Sh. Bilioni 300 kwenye mikoa 26

    Ni, Ubia wa PPP wa Dola Milioni 116: Vituo vya Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Kujengwa Mikoa 26 === Dar es Salaam – Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia mitaji binafsi kupitia ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), baada ya kusainiwa mkataba wa thamani ya Dola za Marekani milioni 116...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Nagu: Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuboresha Huduma za Afya Msingi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa, Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuleta mageuzi katika utoaji wa huduma za afya msingi ndani ya kipindi cha miaka minne iliyopita ya uongozi wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kuna kijana Usariver alipewa shilingi 50,000 na kuahidiwa Tsh. Milioni 5 ili ashiriki (maandamano)

    "Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi milioni tano akishiriki. Na kwa ushahidi wake, anasema 'walinipa mchongo utakaonitoa kwenye umaskini'...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hapa ni sawa nimeshika Shilingi Milioni 8 na Laki 4 za Kitanzania

    Hii pesa ya Kuwait. Miongoni mwa pesa zenye thamani kubwa sana. Hii ni Dinar 1000 ya KUWAIT sawa na pesa ya madafu Milioni 8 na Laki 4. Au nasema uongo ndugu zangu?
  15. aise

    JamiiForums Tanzania Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

    Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani. Kule zinakotengenezwa Kuna madini au Kuna mabadiliko fulani yamefanyika? Pia soma: Sarafu bandia za 200 ni...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kuikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 1.4 kusaidia Ajira ni Pigo jingine kwa CHADEMA

    Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti. ====== The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households. The funding will benefit more than three million people through skills training and social...
  17. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Leo amenipa shilingi elf 20k

    Imepita muda huyu bwan mdogo hajinipea chchote wala kuchanagia chochot yey Yuko busy na kaz na maujenzi yake ila Leo bin fuu tumejikuta tuko mkoa mmoja na yye Yuko likizo hapn mkoni .... Kwamba ameamua kuwepo hap mkoani nilipo ili akamiloshe miradi yake Bas nikiwa kanisani nikipata mahubiri...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Madereva na maKondakta walalamika shilingi 100 kuadimika. Tunaomba tuletewe

    Kondakta wa usafiri wa daladala wametoa malalamiko yao kutokana na kuadimika kwa sarafu ya shilingi 100 na 200 hali inayowapa ugumu kurudisha chenchi kwa abiria, wakilazimika kurudisha 500 badala ya 600. Gasper Massawe, kondakta wa daladala za Makumbusho amesema kutokana na kuadimika kwa sarafu...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Serikali itatoa Shilingi Bilioni 8.1 kukarabati miundombinu Serengeti

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari ya watalii kukwama kuendelea na safari kwa muda mrefu...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Gabriel Geay ajizolea zaidi ya shilingi Milioni 500 kwa kutwaa medali ya dhahabu Daegu Marathon, South Korea

    Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
Back
Top Bottom