ugonjwa

  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Congo imethibitisha visa 9,144 vya ugonjwa wa Ebola

    Mamlaka za afya nchini DRC zimeripoti visa 9,144 vilivyothibitishwa vya Ebola pamoja na vifo 4,410 tangu kuanza kwa mlipuko huo mwezi Mei. Kituo cha udhibiti wa magonjwa Africa CDC kimeuelezea mlipuko huo kuwa wa kasi zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya ugonjwa huo barani Afrika...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

    Ni kisinia cha Uganda,
  3. K

    JamiiForums Tanzania 🦟 "A fool thinks himself to be wise, but a wise man knows himself to be a fool" — Ugonjwa wa 'Machawa' na Unafiki wa Kupiga Vigelegele

    Katika ulimwengu wa sasa wa siasa na mitandao ya kijamii nchini Tanzania, neno "Chawa" limeacha kuwa jina la mdudu tu anayetafuta hifadhi kwenye usafi duni. Leo hii, ukiwa na uwezo mkubwa wa kusifu bila breki, kupiga vigelegele hata pasipostahili, na kugeuza mapungufu ya bosi kuwa "ubunifu wa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kunenepa nyuma ya shingo tu ni ugonjwa?

    Kuna wanaume unakuta wananepa nyuma ya shingo tu, wanakuwa na nundu kama ya ng'ombe au ngamia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa wa Saratani wakutana Dar kujadili hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo

    Madaktari Bingwa wa Saratani na wataalamu mbalimbali wa matibabu ya ugonjwa huo, wamekutana Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa kujadili maendeleo na hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo tishio duniani. Akizungumza katika Mkutano huo, Rais wa Chama Cha Madaktari Bingwa wa...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sonona: Ugonjwa wa Umasikini wa Imani

    Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka. Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sonona: Ugonjwa wa Umasikini wa Imani

    Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka. Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kujisokonyoa sehemu za siri na kunusa: ni hulka au ni ugonjwa?

    Kwa mtazamo wangu..! Kitendo cha kujisokonyoa sehemu za siri na kisha kunusa vidole mara nyingi husababishwa na msukumo wa kibaolojia au wa kisaikolojia. Kwa asili, binadamu ana silika ya chini kwa chini (subconscious instinct) inayomfanya achunguze mwili wake ili kuhakikisha uko salama na...
  10. bless on

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
  11. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kati ya UKIMWI na Kisukari upi ugonjwa mbaya zaidi?

    Upi ugonjwa mbaya zaidi kati ya magonjwa haya mawili yanayochangiwa na mtindo wa maisha zaidi? UKIMWI au Kisukari
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kupenda big nyanshi unanimaliza; Kila nikipanga kumwacha ananitegea nyanshi, tunaanza upya😌😌

    Ninamaliza mwaka wa tatu Sasa wa kuweka Nia ya kumwacha Kila mara maana ni jeuri sana huyu mwanamke. Tatizo linakuja hapa kwenye huu udhaifu nilionao wa kupenda nyanshi lililonona ambalo huyu mwanamke analo ndo maana ninaye. Tatizo zaidi ni kwamba huu udhaifu tayari huyu mwanamke anaujua. Kila...
  14. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Eti UKIMWI ni ugonjwa ? 😆 mtu anagamba public kabisa na kudai UKIMWI ni ugonjwa !! Nani alikufa na ukimwi?

    Eti UKIMWI ni ugonjwa ? 😆 mtu anagamba public kabisa na kudai ukimwi ni ugonjwa !! Nani alikufa na UKIMWI..?
  15. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa GOUT, chanzo, dalili, madhara na tiba yake

    Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC. Mtaalamu wao wa tiba Hippocrates aliuita ugonjwa huu “Ugonjwa Wa Kumfanya Mtu Asitembee†na aliuhusisha...
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa bawasiri: Chanzo, Dalili na tiba

    Bawasiri (Hemorrhoids/Piles) Bawasiri ni hali ambapo mishipa ya damu katika sehemu ya haja kubwa (rectum na eneo la haja kubwa) huvimba na kuwaka, na kusababisha maumivu, kuwasha, au kutokwa damu. Aina za Bawasiri Bawasiri za ndani – hutokea ndani ya sehemu ya haja kubwa, mara nyingi hazina...
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Parkinso

    Ugonjwa wa Parkinson ni ugonjwa wa mfumo wa neva unaoendelea taratibu, unaoathiri sehemu ya ubongo inayodhibiti mwendo wa mwili. Unatokana na kupungua kwa seli zinazozalisha dopamine, kemikali muhimu inayosaidia mawasiliano kati ya neva zinazodhibiti misuli na mwendo. Dalili kuu: Kutetemeka...
  18. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Je, ni kosa kusambaza ugonjwa kwa makusudi, hasa magonjwa ya ngono?

    Salaam wanagenzi na wakuu Kuna baadhi ya watu wanajijua kabisa kuwa wameathirika na ugonjwa fulani wa zinaa, kama Upungufu wa kinga mwilini, kaswende, kisonono nk Lakini kwa makusudi anajihusisha kimapenzi na watu mbalimbali, akitumia mbinu kama kusisitiza msitumie kinga mradi tu akuambukize...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hivi uongo ni ugonjwa au tabia tu mbaya ?

    Wakuu nimekuwa nikijiuliza bila hata kupata majibu . Uongo unaweza kuwa ni ugonjwa au moja ya tabia tu mbaya ? Kimsingi kila binadamu ana madhaifu yake anaweza akadanganya ili kuepuka aibu na wakati mwingine kutaka kujilinda, au kutafuta faida hasa kwenye ishu za pesa, na wakati mwingine mtu...
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Presha

    Ugonjwa wa Presha (Shinikizo la Damu - Hypertension) Presha ni hali ambapo damu inasukuma kwa nguvu kupita kiasi kwenye kuta za mishipa ya damu kwa muda mrefu, jambo linaloweza kuharibu moyo, figo, ubongo, na macho. Vipimo vya kawaida: Presha ya kawaida: chini ya 120/80 Presha iliyoinuka...
Back
Top Bottom