mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
 1. kmbwembwe

  Utawa wa samia unatebgeneza mazingira kuja kuwalipa mabilioni fisadi

  Kuna hofu kwa raia wazalendo kwamba kuachiwa na dpp watuhimiwa wa ufisadi kunakotokea sasa bila kuhusishwa mahakama huenda kukapelekea madai ya mabilioni toka hazina kuu ya taifa. Tuhuma kuhusiana na iptl ya harbinder sighn na rugemalila ziliwekwa wazi. Tangu wahujumu hao kutupwa lupango...
 2. Dizasta Vina

  Story of Change Waraka wa Wanyama kwa Binadamu

  Salamu waja. Waraka huu utumike kama mashitaka kwa binadamu kwa kushindwa kuishi kwenye daraja la ustaarabu wake, kushindwa kuwajibika na kutumia vyema vipawa alivyozawadiwa na asili. Namtuhumu binadamu kwa kuwa kiumbe mbaya sio tu kwa wanyama wengine na mazingira, bali hata kwa binadamu...
 3. Elimu story

  Story of Change Uandaaji wa mazingira tamanishi na uboreshaji wa sekta ya elimu kwa tija ya maendeleo ya taifa katika sekta zote

  Habari wanaJF na wasomaji wote wa andiko hili. Hongereni na pilikapilika za ujenzi wa taifa. Utangulizi. Kumekuwa na misemo mingi sana ambayo imekuwa ikielezea maana na umuhimu wa elimu kwa mtu mmoja mmoja, familia, jamii na taifa kwa ujumla. Misemo kama: elimu ni ufunguo wa...
 4. Somoche

  NEMC yaitoza Lake Oil faini ya bilioni 3.3 kwa kutozingatia utunzaji wa mazingira

  Wanabodi kuna hii Taarifa nimeiona Kwenye media zingine ikisema Shirika la Mazingira Nchini NEMC Limeitoza Kampuni ya Lake Oil Fine ya Tsh Bil 3.3 kwa kujenga vituo vingi sehemu tofauti za Nchi bila Kibali. Hili limekua kama mshituko hasa kwa kuzingatia ukweli kwamba suala la mipango miji...
 5. S

  Katika mazingira haya, Askofu Gwajima anapaswa kujiuzulu na si tusubiri kuchukuliwa hatua kuthibitisha ubunge kwake sio kitu kama alivyowahi sema

  Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa...
 6. richiemc6

  Story of Change Mazingira siyo mgodi

  MAZINGIRA SIO MGODI Ikisiri (Abstract) Uwezo wa mazingira wa kutimiza mahitaji ya mwanadamu, wanyama na mimea unaendelea kupungua. Kutoweka kwa viumbe, mimea na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi ni viashiria vilivyo dhahiri katika upungufu wa uwezo wake. Shughuli za kibinadamu haswa zile...
 7. M

  Story of Change TEHAMA kwenye kulinda mazingira

  Maana ya baadhi ya maneno Application Mfumo ambao hutumika kwa shughuli husika Android application Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya android Apple application Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya apple Apple store Sehemu ambayo imehifadhiwa mifumo mbalimbali ya...
 8. MK254

  Uganda yaongoza kati ya mataifa yenye mazingira rafiki kwa wawekezaji kutokea Kenya

  Wawekezaji kutokea Kenya huona nafuu sana kuwekeza Uganda, labda ni kwa sababu raia wa huko hawajalishwa majungu na chuki..... Uganda has been ranked as the most preferred investment destination by Kenyans according to a report by the Kenyan government. In the 2020 report released on...
 9. S

  Wataalam wa mazingira hili limewashinda?

  Tatizo la takataka za chupa za plastic lilipatikana baada ya kampuni za uzalishaji kuamua ku-recycle hivyo kuwapa "ajira" waokota makopo. Lakini kuna hizi chupa za energy drink. Mo Energy na Azam Energy hizi huwekwa kwenye chupa za plastic za rangi ambazo kamwe sio dili kwa waokota makopo...
 10. Leak

  Tundu Lissu ni Wakili muhimu kwenye kesi inayomkabili Mbowe, unapaswa kuja nchini bila kujali mazingira

  Wsalaam wanajamvi, Case ya Mbowe kuhusu ugaidi imekuwa na mvuto wa ina yake kabisa na wengi wamekuwa wakiitazama kwenye jicho la siasa kuliko kisheria pamoja iko mahakamani. Kwenye hili nami na kubaliana na wao wanao itazama kwa jicho la kisiasa hata kama imekwenda mahakamani na ni wazi kabisa...
 11. Mwakitombeo

  Msaada wa kisheria: Mazingira anayolelewa mwanangu wa mwaka mmoja si salama nataka nimchukue

  Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana. Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
 12. G

  Story of Change Taka kama fursa kiuchumi, utunzaji mazingira na umuhimu wake

  UTANGULIZI. Mazingira ni nyenzo muhimu sana katika Maisha ya Mwanadam hasa ikichukuliwa kwamba kila kiumbe chenye uhai hutegemea Mazingira (asili) ikiwemo udongo, maji na hewa. Hii yote hudhihirishwa hata katika masimulizi ya uumbaji ndani ya vitabu vyote vya Dini. Kabla ya Maisha ya Mwanadamu...
 13. G

  Story of Change “Asbestos” kemikali yenye madhara makubwa kiafya iliyosahaulika katika mazingira yetu

  ASBESTOS NI NINI? Asbestos ni madini yanayochimbwa ardhini kama madini mengine. Kwa miaka iyoyopita asbsestos ilikuwa na bei nzuri katika soko la dunia kwa sababu ilikuwa na matumizi mengi katika viwanda. Tanzania asbestos inapatikana Ikorongo (Musoma), mbembe (Morogoro), Rubeho(Mpwapwa) na...
 14. KeyserSoze

  Kuongeza ufanisi na tija kwa Magereza ili kusaidia jamii na mazingira kwa ujumla

  Kutumia nguvu kazi ya Magereza zote nchini kuwapa kazi ya kukusanya taka na kutumia taka hizo kwa uzalishaji wa Biogas kwa ajili ya kupikia. Kusambaza Magereza zilizopo katika Sehemu Tofauti ili kupata nguvu kazi hio (wafungwa wengi wafanye community service ya kusafisha mazingira / kukusanya...
 15. Chani Mohamedi

  Story of Change Tanzania kuna mazingira mbalimbali ya kibiashara ambayo mtu anatakiwa kuyafahamu

  Mazingira ya biashara ni nini? Ni yale mambo yote ambayo yanaweza kuchochea biashara kukua au kudidimia katika muktadha tofauti tofauti. Katika suala zima la kujua ni yapi mazingira mazuri ya kibiashara ni vyema kujua kile...
 16. KeyserSoze

  Story of Change Okoa Mazingira, Safisha Miji na Kujipatia Kipato

  Tatizo (Problem worth Solving) Nishati ni muhimu sana kwa jamii ya sasa, kwa bahati mbaya sana tunatupa nishati hiyo kwa kuharibu mazingira badala ya kuitumia na kuendelea mzunguko (Life Cycle)…, YAANI... (Tunachafua Huku)..... Na Kuharibu Hapa..... Ili Tupate Hiki.... Wakati tungeweza...
 17. T

  Usafi wa mazingira na binafsi husaidia kupunguza magonjwa ya kitropiki

  Mazingira safi ni dawa, mazingira safi ni tiba, hutufanya kuishi Kwa amani mbali na magonjwa. Ni jambo la kushangaza, ya kwamba mwanadamu ni mzalishaji wa taka lakini si mwepesi wa kuziondoa taka hizo. Magonjwa mengi hutokana na hali duni ya usafi wa mazingira na wetu binafsi. Kusafisha...
 18. The Palm Tree

  Katika hali na mazingira haya, ukimuuliza mbunge wako kwanini yeye halipi kodi kwenye kipato chake, unadhani atatoa utetezi gani ukamwelewa?

  Hii video ina-trend kwa kasi sana kwenye social media platforms mbalimbali WhatsApp, FB, Instagram, Telegram, Twitter nk nk. Ukweli huu umewakera wengi sana hususani wanapohusianisha na kodi hizi hatari za tozo kwenye miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu walizopitisha juzi...
 19. Tomaa Mireni

  Story of Change RC Makalla na Uongozi wa Dar: Fuateni ushauri huu Dar es Salaam itakuwa na mazingira safi kuliko Moshi

  Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam? Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na wafanyabishara wadogo (machinga) huu ndio ukweli. Japo ili kufanya mkoa huu kuwa safi si lazma uwatoe ila...
 20. ROBERT HERIEL

  Story of Change Utunzaji wa Mazingira, Mabadiliko tabia ya nchi na maendeleo ya nchi yetu

  Tunayategemea mazingira, tunaishi ndani yake, hapana Shaka bila ya mazingira maisha yetu hayawezekaniki, pengine niseme, Sisi ni watoto wa mazingira, nayo ndiyo Mama yetu anayetulea Kwa kutupatia kila tunachokihitaji, hata hivyo katika Mazingira vipo vitu vingi hasa, vingine hata hatujui kazi na...
Top Bottom