• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

muhimbili

 1. J

  Kujiuzulu kwa Profesa Mohamed Janabi, akiunganishwa na Taarifa za Corona (Usahihi wa Taarifa)

  Usiku wa leo imesambaa taarifa kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi amejiuzulu kwa shinikizo baada ya kutoa maoni yake kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa Corona nchini. Taarifa hizo zimekanushwa; Kwa mujibu wa barua hiyo inayoonesha Profesa Janabi...
 2. technically

  Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

  Na kwanini taarifa zake zinatolewa na Polisi na sio Madaktari na sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona, je kuna siri gani? Je, aligoma kumfuza kwa Membe au aliunga mkono kufukuzwa kwa Membe? Nani kampa sumu? Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mara...
 3. Sky Eclat

  Mgonjwa kukosa nauli baada ya kupata rufaa kwenda Muhimbili

  Leo tarehe 15/03/2020 nilimuwakilisha Mh Mbunge wa Mbeya Mjini #JOSEPH #OSMUND #MBILINYI(SUGU) kumjulia hali dada #Rosemery #Mayemba mkazi wa mtaa wa Ilolo kata ya Sinde na kumpatia pesa kwaajili ya nauli na pesa ya kujikimu wakati atakapokua Dares salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili ambako hana...
 4. J

  Siyo mzee Mangula tu hata Mbowe aliwahi kuanguka baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu akalazwa hapo hapo Muhimbili

  Ni katika kuweka kumbukumbu sawa tu. Mwenyekiti wa CHADEMA aliwahi kuishiwa nguvu na kulegea ghafla hali iliyosababisha wasaidizi wake wamkimbize Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya madaktari ilieleza baadae kuwa hali hiyo ilisababishwa na uchovu baada ya Freeman kuwa amefanya kazi kwa...
 5. M

  Kisa cha daktari wa macho Muhimbili

  Kisa cha kufukuzwa kazi mtumishi wa serikali (anaedaiwa kuchana juzuu) kimenikumbusha kisa cha daktari fulani wa macho Muhimbili mwishoni mwa miaka ya 70 na mwanzoni mwa miaka ya 80. Huyo Daktari alipata scholarship kwenda Ujerumani Magharibi (kusomea taaluma ya macho shahada ya kwanza)...
 6. Katambala

  META Project job openings at National Institute for Medical Research, Muhimbili Center

  The National Institute for Medical Research (NIMR) is a Parastatal Organization established by the Act of Parliament No. 23 of 1979 and became operational in 1980. The National Institute for Medical Research (NIMR) Muhimbili Medical Research Centre is looking for full time qualified Tanzanians...
 7. K

  Sio Muhimbili na Mloganzila tu, hospitali zote za umma zimulikwe

  Habari iwe nanyi! Nashukuru wazalendo wa taifa hili walioleta kero za hospitali zetu hasa MNH-Mloganzila, kwa kweli kuona tatizo kubwa kama hilo na kulisema ndiyo uzalendo wenyewe. Kukaa kimya huku mambo yanaharibikia tena ya kupoteza wapendwa wetu ni sawa na uhaini.
 8. Z

  Kwako Waziri wa Afya: Matatizo matatu ya Hospitali ya Muhimbili na Mloganzila ni haya

  Mheshimiwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, hizi ni Hospitali pacha zenye uzoefu wa uzembe zina matatizo haya matatu; Madaktari Wazoefu kuhangaikia Hospitali za Mitaani kuliko mwajili wao Kuwatumia Wanafunzi kujifunza bila Daktari mzoefu mbele ya mgonjwa Madawa ’feki’ kwa wingi ndani ya Hospitali...
 9. S

  Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA. Dar es Salaam. 06 Januari, 2020 Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
 10. elivina shambuni

  Muhimbili awamu mpya ilivyookoa mabilioni, pia huduma mpya kibao

  Chimbuko lake ziara ya ghaa JPM, Yasuka upya wataalamu ughaibuni, Mapato yapaa bn 2.6/- hadi bilioni 5 . MNAMO Novemba 9 ya mwaka 2015, akiwa mgeni madarakani, kwa mara ya kwanza Rais Dk. John Magufuli, alifanya ziara ya kushitukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kusikiliza kero...
 11. elivina shambuni

  Muhimbili yapiga hatua kubwa utoaji wa huduma za kisasa

  Serikali imeendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya Afya ambayo imepewa kipaumbele ili kuwawezesha wananchi kupata huduma zilizobora kama vile upatikanaji wa dawa, vipimo ambavyo vilikuwa vinapatikana nje ya nchi. Katika miaka Minne ya Serikali ya...
 12. Influenza

  Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) nchini Tanzania itaanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kuanzia Januari mwaka 2020. Hayo yameelezwa leo Jumanne Novemba 19, 2019 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Lawrence Museru wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya miaka minne ya MNH tangu...
Top