ugonjwa wa akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Kama una -Dalili Moja wapo kati ya hizi tayari uko na ugonjwa wa akili

    Dalili za Kawaida za Ugonjwa wa Akili Ugonjwa wa akili unaweza kujidhihirisha kwa njia tofauti, na dalili zinaweza kutofautiana kulingana na shida maalum. Dalili za kawaida ni pamoja na: Huzuni inayoendelea au hali ya chini Wasiwasi au wasiwasi kupita kiasi Mabadiliko katika hamu au uzito...
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa akili upo wa aina nyingi sio lazima uokote makopo

    Paranoid schizophrenia ni aina ya ugonjwa wa akili unaohusishwa na kupoteza uwezo wa kutofautisha vizuri kati ya uhalisia na mawazo yasiyo ya kweli. Ingawa katika mifumo ya kisasa ya utambuzi wa magonjwa ya akili neno hili halitumiki sana kama kundi maalumu, bado hutumika kuelezea hali ambapo...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tanzania wakiona mtu anaongea sana kwenye mikutano wanaona kama ni kiongozi bora, ndugu zangu kuongea sana siyo akili ni uchaa baridi

    Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili, uongozi ni kuongea kidogo vitendo vingi. Nchini Kuna taasisi kibao zimepoteza direction sababu ya...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
  5. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi ni wazima kweli kichwani?

    Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka... Watu na familia...
  6. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosomea udaktari, wachukue specialization ya kusomea ugonjwa wa akili, wagonjwa ni wengi sana, akina mange na wanaoitisha maandamano kila siku

    Wakuu Hali ni mbaya ..naona wagonjwa wanakua wengi...ukiacha wale wakuu kabisa akina mange Kimambi, maria, sativa, Larry madowo, hilda newton and others kuna Sasa watanzania asilimia kubwa wameambukizwa Unasoma comments Hadi unashangaa, mtu anafurahia nchi yake kuwekewa vikwazo, mtu anafurahia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nina shida na mfumo wangu wa fahamu au ugonjwa wa akili

    Habari zenu wakuu, samahani, Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi. Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina chembechembe za ugonjwa wa akili toka nazaliwa

    Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi...
  9. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Akutwa na ndoo za kinyesi na mikojo ndani. hivi hili ni tatizo ugonjwa wa akili?

    Mtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu. Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo kama watu wengine? Naomba wataalamu wa afya za akili za binadamu mnisaidie kuelewa Jambo hili...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa akili unaoitwa Delusion of Grandeur/schizophrenia/bipolar disorder

    Ni Ugonjwa wa akili ambapo mtu anaiga kuwa ana maisha mazuri au ana mali wakati kiuhalisia hana.. unajulikana kama Delusion of Grandeur. Delusion of Grandeur ni aina ya ugonjwa wa akili (kama vile schizophrenia au bipolar disorder) ambapo mtu anaamini kuwa ana sifa za Hali ya juu, mali nyingi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dini ni ugonjwa wa akili, unaweza ukakufanya ujione tofauti na ndugu yako wa Damu

    Tarehe 26-May ni siku ambayo Wayahudi wanasherekea kuukomboa mji wa Yerusalem Mashariki ya kati, Wale wayahudi wenye itikadi kali hutumia siku hii kupita katika Nyumba, maduka ya Waarabu na kuwadhihaki na kuwafanyia fujo. Tazama video na Picha hapo chini...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa akili upo na unawatesa watu

    Tunakubali na kuruhusu mawazo ya watu wachache wagonjwa kuleta tafarani kwenye hoja za msingi kwa ajili ya wengi. Hakuna kipindi bora cha maisha kama kipindi hiki lakini hakuna kipindi chenye upuuzi kama kupindi hiki. Tunaishi kwenye dunia ambayo mtu anayezungumza pumba anaonekana mwenye akili...
  13. Now and then

    JamiiForums Tanzania Mrejesho changamoto ya Mke wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya ugonjwa wa akili yeye na binti yetu mkubwa

    Wakuu habari . Nilileta Uzi kuomba ushauri na namna sahihi ya kumsaidia mke Wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya Akili yeye Pamoja na binti yetu. Watu walishauri nimpeleke kwenye maombi. Nilifanikiwa kutafuta watumishi wa kiroho na kumuombea sana. Kiukweli hakuna nafuu iliyopatikana mpaka...
  14. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Akili Narcissistic Personality Disorder (NPD)

    Ni ugonjwa ambào mtu anakuwa na hisia za Ubinafsi ndani yake, Aina hii ya ugonjwa mtu anakuwa na uhitaji mkubwa wa kusifiwa na kupongezwa katika kile anachokifanya.. Mtu mwenye ugonjwa huu huwa na hisia zilizokithiri za kujiona kuwa yeye ndio wa muhimu hivyo huhitaji kupewa umakini. Watu wenye...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kagera: Padri Elipidius hadi afanyiwe uchunguzi wa ugonjwa wa akili. Ni kuhusu kesi ya mauaji ya Albino Noela Asimwe

    Washitakiwa tisa (9) wanaotuhumiwa kuhusuka na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualbino Marehemu Noela Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa kata ya kamachumu ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamefikishwa mbele ya jaji wa mahakamani kuu ya Tanzania kwa ajili ya...
  16. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanazokumbana nazo watu wa jamii ya Kiislam ya Uighur nchini China ambapo serikali inaona dini hiyo kama 'tatizo la akili'

    Astaghafilullhah... Hawa Wachina wana akili kweli? Wanajielewa? Mbona wana ongea kwa kujiamini hivi? Wanazijua haki za binadamu kweli? Kama wasingekuwa wameandika hivi Al Jazeera nisingeamini kabisa. Laaana kum. =============== Abdulla* goes to bed every night dreading that knock on the door...
  17. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Kutumia mabavu ili upendwe au utawale ni ugonjwa wa akili

    Tabia za kidikteta zimeanza kuwaingia viongozi wanaovaa ngozi za kondoo kumbe mioyo yao imejaa uroho wa madaraka na upunguani wa akili. Watanzania hawakuzoea kusikia au kupitia huu upumbavu unaoendelea haya mambo aliyafanya Iddi Amin Dada miaka ya 70 kipindi anatawala Uganda kimabavu sasa Dunia...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuingia JF halafu una dislike post za watu ni kielelezo tosha kuwa una hali mbaya sana ya ugonjwa wa akili, shida na dhiki za kimaisha

    Nina uhakika kabisa tena wa 100% kuwa Message Sent and Delivered accordingly kwa wenye huu UPUUZI TUKUKA JF.
  19. ward41

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutembea na wanawake wengi ni dalili ya ugonjwa wa akili

    Wanaume hatujaumbwa hivyo. Mwili wa binadamu umetengenezwa kitaalamu Sana. Kila kitu kinakuwa controlled au regulated na Ubongo Ubongo ndo kila kitu. Kwenye ubongo kukiwa na matatizo, madhara yanaonekana kwenye viungo vya mwili. Ukosefu wa baadhi ya madini kama magnesium, zinc, calcium...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwa rafiki yangu mwenye dada mgonjwa wa akili. Ni mtihani mzito kusema kweli

    Miaka kadhaa nyuma nilipata kuishi kwenye familia ya rafiki yangu mkazi wa Dar es salaam. Rafiki yangu huyo kwa miaka yote toka tumefahamiana alikua amenieleza ana dada yake mkubwa (kwa sasa ana miaka 40+ dada yake) mwenye matatizo ya akili. Sikua nimewahi kumuona mpaka nilipoishi kwa wiki nzima...
Back
Top Bottom