20 Dakika ("20 Minutes") is a Turkish television drama series broadcast on Star TV. This story talks about a beautiful family. A father, mother, daughter and a son that lived together in happiness and peace. One day, the police stormed in and took the mother (Tuba Buykustun) to jail. She was suspected of committing a murder and sentenced to 20 years in prison. Her husband (Ilker Aksum) tries to prove her innocence while at the same time the criminal investigator (Firat Celik) tried to find as much evidence as he can to find out the truth. But the big question is did she really commit the murder?
BYD Auto wametangaza executive flagship sedan, Seal 08.
Hii usiichanganye na mdogo wake Seal 07, hii ni executive sedan ikapambane na wakina Tesla Model S, Nio ET7 au Xiaomi SU7 wakati Seal 07 ni mid-size sedan ya kugombana na wakina Tesla Model 3, Nio ET5, au Xpeng P7.
Seal 08 itakuja, kwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.
Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea...
Ulimwengu wa mapenzi una vitu vingi sana!, ila ufundi na stadi kazi ndio tamu na asali ya ulimwengu huu!.
Nilijipatia mtoto fulani hivi kipotabo mweupe kidogo na umbile changamano!, siku hii ndio ilikuwa siku yakwanza kuonana baada yakufahamiana kwa muda fulani.. naweza kusema ilikuwa ni...
Hapa DUNIANI,
Siasa, DINI, Michezo na Mapenzi huenda ndio vitu pekee ambavyo hushika "HISIA / EMOTIONS" .
Sasa Wanawake ni viumbe waishio kwa HISIA .
Ni katika kulijua hili, Mtunzi mzuri wa Tamthiliya uhakikisha ANATUNGA KWA KUZINGATIA HISIA, NA UKWELI YA KWAMBA KILE ATAKACHOKITUNGA...
Ukitaka kuona ukubwa wa Mzee Yusuph kasikilize kipande cha wimbo wa times fm(Juma dede) kilichoimbwa na Mzee Yusuph.
Huu wimbo ulikuwa mahsusi kwenye sherehe za times fm hivyo wasanii wa taarabu wale magwiji waliungana kwa pamoja kutoa wimbo wa Juma dede.
Yani Mzee alithibitisha ukubwa wake...
Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
Wakuu
Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na...
Baada ya ejaculation ndio akili zitakurudia na kuanza kujutia.
Vijana kabla ya kufanya ngono chekini afya zenu kama ziko sawa au tumieni protective device.
Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi kufika pengine bila msaada wao.
Sakata hili naona limechukua sura mpya Sasa huko marekani Kuna watu...
Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako.
Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
Wakuu,
Matokeo ya Uchaguzi mkuu yameshatoka na maisha yanaendelea na tumeapishwa. Lakini, kama mdadisi wa mambo, nimekuwa nikicheza na takwimu rasmi za INEC na Sensa yetu ya 2022. Naomba tusaidiane kuzitafakari hizi namba kwa pamoja, maana kwangu kimahesabu picha inagoma kukaa sawa.
Huu si...
Tupo katika dakika za jioni kabisa mambo yameshaiva hayawi hayawi sasa yanakaribia kuwa,
Je tutegemee watajitokeza watu muhimu dakika hizi za jioni? Maana viungo muhimu wameshadakwa dk za 70 uko ,
Je kuna watu wazito wenye subira wanaosubiri dakika za jioni kurusha mashambulizi heavy au ndo...
Ni kapteni Tesha!
Huyu nadhani ndo basi tena. Hatutomuona wala kumsikia tena.
Keshajipatia umaarufu ndani ya hizo dakika zake 15 alizokuwa nazo na sasa zimeisha.
Hivyo, ni ama atapotea mwenyewe kwa hiari yake au atapotezwa, hiyo ni kama bado yupo na hajapotea wala kupotezwa.
Alifanya makosa...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi
Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2 kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
Robert Mugabe alilazimishwa kujiuzulu dakika za jioniii na chama kikashika hatamu nchi ikapata Rais mwingine.
Hoja ilikuwa kuvunja katiba ya nchi na ZANU-PF, mila na desturi za makomredi.
CCM wana ubavu huo? Au ndege ndio imeshawasha injini na Treni imeshaondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.