magereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapotenga bajeti ya kujenga magereza mengi ijifunze kutoka nchi ya Uholanzi

    Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili iliyopita, idadi ya wafungwa nchini humo ilishuka kwa kiasi kikubwa, hali iliyosababisha kufungwa kwa...
  2. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Angalizo: wajibu wa Jeshi la Polisi kwa Wananchi na WAJIBU wa Askari Magereza kwa Wafungwa

    Tuanze na: JESHI LA POLISI TANZANIA. Wajibu mkuu wa jeshi la polisi kwa jamii ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Kazi hii inafanyika kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha amani, utulivu, na usalama vinatamalaki katika nchi. Majukumu makuu ya polisi kwa jamii yamegawanyika katika maeneo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hizi drama dhidi ya Lissu mahakamani, kukiwa na mabunduki mengi, lundo la maofisa magereza nk, ni kuwa wanaogopa atatoroka au hawana kazi za kufanya?

    Huwa naangalia drama za Tundu Lissu akipelekwa au akiwa mahakamani nashindwa kuelewa tatizo liko wapi. Ni kwamba serikali, polisi na magereza wanaogopa atatoroka au nini hasa, kwamba watu watafanya mission ya kumtorosha? Watu wa nje wanataka kumtorosha? Nafikiria ulinzi unaokuwepo pale ni zaidi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania IGP MSTAAFU MAHITA: NANUKUU "WAZIRI HANA MAMLAKA YA KUTOA AMRI KWA IGP NA JESHI LA POLISI LABDA JESHI LA MAGEREZA"

    IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa??? Je, IGP wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Magereza Feki Anatumia Vitisho na Matukano

    POLISI MNISAIDIE KUNA HII NAMBA 0681317339 TANGU JANA ANAMTISHIA NDUGU YANGU. KAJITAMBULISHA NI ASKARI MAGEREZA. TANGU JANA ANAMSUMBUA. PAMOJA NA KUMPIGIA NA KUMUONYA KISTAARABU BADO KAENDELEA KUTOA MATUSI NA KUSEMA YEYE HAOGOPI YEYOTE NA MATUSI JUU. WATU KAMA HAWA NDIO WANAOCHAFUA TASWIRA YA...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la kuomba msaada wa huduma ya maji mtaani terrynite street, Segerea Magereza

    OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji. Tatizo: Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la magereza kimya chenu, Lissu anaumwa tumbo au ?

    Nawauliza mpo kimnya mpk sasahivi hakuna KAULI inayoeleweka je lissu anaumwa kweli? Kaisha fariki? Jitokezeni toeni KAULI anaumwa au kaisha fariki?!
  8. U

    JamiiForums Tanzania Raisi wetu anastahili kupongezwa sikuhizi magereza mtu akitoka anatoka na ujuzi kamili wa kujiajili haji kuwa mzigo mtaani

    Nilifurahi kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya kuwa Kinara wa Dhana ya Urekebishaji wa Wafungwa Magerezani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Patrobas Paschal Katambi kwenye hafla ya hafla ya kuhitimisha...
  9. PSEUDOPODIA

    JamiiForums Tanzania Nendeni Kilimanjaro International Leather Industry (KLICL) pale magereza moshi mkanunue mikoba original ya ngozi, acheni kuchezea pesa za watanzania

    Unaenda kununua mkoba wa milioni 13 wakati mna kiwanda kinatengeneza mikoba ya ngozi original pale moshi. Unapata mkoba safi wa ngozi hapo hapo unatangaza bidhaa za nchi yako. Hivi huko vyuoni mnaendaga kusoma nini?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia ameonyesha utu kwa vitendo kutembelea magereza

    Watanzania tujisikie farari kumpata mama anatujari na ana utu
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lissu aomba apelekwe Dodoma kusikiliza kesi yake dhidi ya AG, Kamishna wa Magereza

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameiomba Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma iamuru apelekwe Dodoma kwa ajili ya kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mawakili wake wakipinga kuzuiwa kuonana naye na au kujadiliana naye faragha. Lissu ametoa ombi...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tunajikita kuongeza magereza zaidi badala kupunguza uhalifu

    Wakati nchi za Ulaya Magereza yanakosa wafungwa huku sisi tunajikita zaidi tuongeze magereza zaidi kuliko kupunguza uhalifu hii maana yake nini ? Tutegemee kesi za kusingiziwa na kubambikwa kuongezeka kwa kasi zaidi Tutegemee ongezeko la uharifu zaidi
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Magereza zenye mateso zaidi Tanzania, usiombe ukanyage huko

    1. Gereza la Ngwalla, Chunya Hili ni namba 1 lipo msituni na wala hakuna ulinzi mkali wala ukuta ila hukuna mfungwa anaweza kutoroka. Gereza hili limezungukwa na wanyama wakali kama Simba, Chui, Fisi n. K Hutumika kuhufadhi mateka wa Kijeshi 2 Gereza la Kitai, Songea Hili ni namba mbili Kazi...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Vipi hawa transgender hufungwa KWENYE magereza ya jinsia zipi? Mpya au Zile Zile orginal

    Inakuwa vipi ? wadau wa sheria za kimataifa tupeni elimu. Je kama wanafungwa KWENYE magereza yao inamaana wamaheshimika na kutambulika kisheria na kama wanafungwa Kwa jinsia zao za kale au za Sasa vipi hali ya gerezani.
  16. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani Tanzania imemuachia huru Deo Kisandu (Civilian Coin) mwanasiasa aliyeacha Siasa

    Ikumbukwe Bwana Civilian Coin au Kisandu alifungwa na Mahakama ya wilaya ya Kahama miaka 7 jela kwa kosa la "Kumtaja mtu mchawi" tangu tarehe 11 April 2022, Aiza Civilian Coin alikata rufaa Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga akiwa huku akitumikia kifungo gerezani, lakini Mahakama...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mh Rais Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa ilihali watoto wetu walikufa? Tundu Lissu ANAISHIA magereza au unamtoaga usiku analala IKULU?

    Mh Rais shikamoo Mimi ni Mtanzania niliyemsaidia san Hayati Magufuli kufanya aliyo yafanya kupitia hapa hapa Haya ebu sema Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa? Watoto wetu walikuwa ndugu zetu tarehe 29 ndo imeisha hiyo? We mama msawalie mtume tafadhali halijaisha mpka liishe Ili mama
  18. R

    JamiiForums Tanzania Let it be on record, Chadema fungua mashitaka mahakamani kwanini magereza wanakataa watu wasimuone Lisu. Heche leo kafukuzwa kama mbwa!

    Najua hakuna mahakama. But let it be on record! Hakuna Jaji atakataa kupokea maagizo. Na hili naweza kusema with brevity kuwa hawana jinsi, nao wanatetea uhai wao! Ni vyema mkaenda mahakamani , iwekwe record kuwa mahakama ilikataa kutoa haki! Let it be documented rather than leaving the...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

    mpendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri. Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi...
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana serikali kutumia gharama na muda wa jeshi la magereza kwa jambo jepesi

    Kwanza nimeangalia hizo mbwembwe za hao maafisa wa magereza inasikitisha huo muda wangeenda kusimamia wahalifu walime mpunga na mahindi huko nchi ipate chakula, Muda unaotumika na gharama sidhani kama unaweza kufidiwa , Kodi za Watanganyika zinatumika kwa mambo ya kipumbavu ADHABU ALIYOPATA...
Back
Top Bottom