wadau naomba mwenye uelewa au uzoefu wa gari aina ya Land Rover Discovery 4, anipe maelezo.. specifications, bei, fuel consumption, upatikanaji wa spare parts, na kama inafaa sana kwa barabara zetu..
Nilikuwa naangalia mitandao mbalimbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania. Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, una magari yanayoonekana ni mazuri kwa picha, lakini kwa kuwa...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF
Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.
Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer...
Kumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII
Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote...
Wanajamvi Salaam.
Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi.
Natanguliza shukrani za dhati kwa...
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
Habari,
Kuna mnada wanauza gari zilizokufa za serikali namba SM na STG. Ninataka kujua taratibu za kubadili umiliki.
Je, hatua gani za kufuata? Na Je, Kuna ukweli Kuna uwezekano kulipia ushuru...
Mchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo...
Wakuu salama?
Nipo dilemma hapa nataka kufanya wheel balance & allignment. Kuna THE WHEEL na EVOLUTION watu wanaziongelea sana kwa haya masuala.
Wapi wapo vizuri kwa wataalam mliowai zitumia...
Habari zenu wakuu
Nmejichanga changa nikapata milion 12 za kuvuta kausafiri, nategemea kuvuta kutoka mkononi mwa mtu. Sina hela yakuongezea kuagiza gari mpya sina uwezo huo.
ili niondokane na...
Ndugu JF wenzangu nami nataka niingie kwenye ukoo wa kumiliki chombo cha moto, gari ninazo zipenda ni hizo, nataka kuagiza moja wapo toka Japan, hivyo naomba ushauri kwa wenye uzoefu juu ya magari...
Wakuu kumeibuka fashion ambayo naiona ina trend sana mjini. Huu mtindo wa kuweka urembo wa manyoya katika dashboard mpaka almost dashboard kama yote inafunikwa! Wanaojua faida ya hii kitu tunaomba...
Habari zenu wakuu, namshukuru mwenyezi Mungu panapo majaaliwa mwezi wa nane mwanzoni nitaipokea hii gari ambayo nimekua na ndoto nayo kwa muda sasa. Kiukweli sijawahi kuendesha gari ndo nakula...
Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral.
Ukiwa...
Ndugu wana JF kulingana na utafiti wangu mdogo nimeona kuna uhitaji wa uzi wenye kujuzana wapi unaweza pata vitu kama vilivyotajwa hapo juu na vingine vinavyohitajika katika magari au mashine...
Wadau habari, ili na mimi nisinyeshewe na mvua nina ka mkweche kangu ka vitz old model.
Ni spana mkononi ila kananisave. Sasa block ilikuwa imepasuka, nilipopata nyingine fundi akakata cylinder...
Wakuu naomba kufahamu wataalamu wa magari, je ni wazo jema mtu kutaka kuuza Vanguard ya mwaka 2011 na kutaka kununua Nissan Extrail ya mwaka 2016.
Naomba uzoefu na ujuzi wenu wakuu.
Gari zote...
Hello bosses and roses...
Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri...
Kwa wenye uzoefu na gari tajwa hapo juu.
Ni ya 2012
Cc 1200
Kiufupi sina uzoefu na magari zaidi ya kuendesha ya watu,nmetokea kuipenda muonekano wa hii gari na kuna mtu anaiuza,sasa kabla...
Habari
Nina Corolla XE 111 ambayo ipo sawa safari popote na haijawahi kuniweka njiani nashukuru katika safari zangu za Tanga to Dar.
Hii ina 4E engine Cc 1330.
Nataka walau kusogea sogea kidogo...
Jamaa yangu huyu alikuwa na Nissain Xtrail ile new model. Akanunua na Toyota Premio kwa ajili ya Mkewe. Anasema kwa Uzoefu wake baada ga kuzitumia zote kwa safari ndefu amegundua Toyotw Premio...
Kukosa mtu sahihi wa kurekebisha tatizo la gari lako.
Moja kati ya makosa ambayo nimeyaona kwa kipindi kirefu ni hili.
Mtu anakuwa na mawazo kichwani kwamba Fundi mmoja anaweza kufix matatizo...