uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

    Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi? Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
  2. JF Toons

    Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizo. Ufuatiliaji wa uwasilishwaji wa ripoti hizi ni muhimu kwa wananchi ili...
  3. P

    Ukiangalia vizuri mpotoshaji mkubwa ni serikali, kwanini inachukuliwa hatua pale tu mwananchi akipotosha?

    Wakuu kwema? Tumeshudia mara kadhaa wananchi wakichukuliwa hatua kwa makosa ya "Kusambaza taarifa za uongo" au kufanya "Upotoshaji", mfano wa juzi juzi hapa ni yule dada aliyeimba mnatuona manyani "Tanzania inaelekea wapi?" baada ya kuona shtaka la kusababisa uchochezi ni weak shataka likageuka...
  4. R

    Magari ya kuzoa takataka na yenyewe ni takataka, yanafanya nini barabarani?

    Wakuu salama? Hivi umeshawahi kukutana na gari la kuzoa taka lenye hali nzuri? Magari yote ambayo nimewahi kukutana nayo yanakuwa yameisha, yana hali mbaya, kutu kila pahala, yametoka, na yanajikokota kwelikweli kutoka eneo moja kwenda eneo jingine! Kwanini magari haya yanaruhusiwa kufanya...
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kutumbua pekee hakutoshi, shtaki, funga wabadhirifu na wazembe ili kuleta uwajibikaji nchini

    Mheshimiwa Rais, nimekusikia ukisema unaweka pembeni wazembe na wale wasiowatumikia wananchi ipasavyo, hadi pale watakapojirekebisha ndio unawarudisha! Sasa mzembe asipochukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kushtakiwa Kwa kosa la kula mshahara Bure na uhujumu uchumi hawezi jifunza lolote...
  6. JF Toons

    Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua kiongozi. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?
  7. JF Toons

    Ni ahadi zipi zilitolewa na kiongozi wako ambazo hazijatekelezwa mpaka sasa?

    Si vyema kuweka ahadi ambazo unajua huwezi kuzitimiza au zisizotekelezeka. Baadhi ya watu hupatwa na msongo wa mawazo na kupoteza uaminifu kwa kushindwa kutimiza ahadi. Uwekapo ahadi hugeuka deni, na usiku wa deni haukawii kukucha. Je, ni ahadi zipi ziliwekwa na kiongozi wako ambazo...
  8. R

    Ni wajibu wa TANESCO kutoa fidia pale Tatizo la Umeme linaposababisha hasara, umewahi kudai fidia hiyo?

    Wakuu kwema? Kulingana na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa TANESCO, mteja ukipata hasara kutokana tatizo la umeme, TANESCO inatakiwa kumfidia mteja huyo. Kipengele hiki kinasema; "Kuwafidia wateja pale ambapo tatizo la umeme limesababisha uharibifu wa mali baada ya kuwa imehakikishwa kwamba...
  9. ubongokid

    Tusome kidogo Bajeti ya Serikali yetu ili tunapodai uwajibikaji na haki tujue tunadai nini

    Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
  10. Nigrastratatract nerve

    Makonda asisitiza uwajibikaji

    📌📌MAKONDA ASISITIZA UWAJIBIKAJI NA KAULI NZURI KWA WATENDAJI WA SERIKALI. Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Paul Makonda amewataka watendaji wa serikali ya mkoa wa Shinyanga kufanya kazi kwa bidii ili kuondoa changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa...
  11. Analogia Malenga

    Je, uwekezaji finyu kwenye somo la Uraia, ni nia ya kuwafanya watu wasijue haki na wajibu wao ili kuiwajibisha Serikali?

    Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba ambayo wanafunzi wote wanasoma na kuangalia ufaulu wa masomo hayo. Nimewaza zaidi inakuwaje watoto...
  12. P

    Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

    Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa? "Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi...
  13. 2

    Wakandarasi wa barabara (Nyanza Roadworks) hawafukii mashimo walipochukua vifusi, maeneo ya Iyumbu, Block C, Dodoma na kusababisha HATARI

    Habari, Tunaomba ushauri ili tupate msaada kutoka kwa mamlaka husika. Mimi ni mmoja wa wakazi wa Block C, Iyumbu West, Dodoma. Tuna changamoto ya mashimo / makorongo makubwa yaliyochimbwa na kampuni ya Nyanza Roadworks wakitafuta kifusi kwa ajili ya matengenezo ya barabara, na mpaka sasa...
  14. Tman900

    Tabia ya Kuvimbiana.(Cheo + Uwajibikaji)

    Leo Mida ya asubuhi Niko njiani na kibaskeli changu uchwala mala Kuna Gari imekuja nyuma Yetu Kasi Sana, mpaka ikataka kutugonga sie waendesha Vibasikeli visivyoheshimika mjini. Kwa kua barabara Ni Finyu Jamaa katanua na kule Mbele Kuna Gari kubwa Kama tatu zimeongaza Jamaa amebrock barabara ya...
  15. R

    Rais Ruto atetea safari zake za nje: Mimi si mtalii, ninasafiri kwa mpango

    Rais William Ruto ameendelea kufafanua safari zake za mara kwa mara za nje ambazo zimezua kejeli kutoka kwa baadhi ya Wakenya. Akiwa katika ibada ya kanisa huko Kimende, Kaunti ya Kiambu siku ya Jumapili, Ruto alikariri kwamba ziara zake nyingi za Kiserikali ni kwa manufaa ya ukuaji wa Kenya na...
  16. R

    Trafiki watatu wakamatwa wakipokea rushwa, mmoja atoroka

    Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru Kulingana na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa...
  17. R

    Mahusiano mazuri kati ya wananchi na vyombo vya dola huchochea uwajibikaji

    Kukiwa na mahusiano mazuri kati ya vyombo vya dola na wananchi kunachochea: Uimarishaji wa Uwajibikaji: Mahusiano mazuri kati ya wananchi na vyombo vya dola ni msingi wa uwajibikaji. Raia wanapohisi kuwa na uhusiano wa karibu na vyombo hivyo, wanakuwa na moyo katika kulinda usalama na kushiriki...
  18. Pfizer

    Naibu waziri Ridhiwani Kikwete azindua usambazaji wa mifumo kuboresha uwajibikaji kazini

    Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mjini Iringa. Akizungumza wakati anazindua mpango huo wa usambazaji...
Back
Top Bottom