mwezi

 1. D

  WHO walitabiri hadi kufika katikati ya Mei maiti zitakuwa zinazagaa katika mitaa na vichochoro vyote katika Bara la Afrika kutokana na COVID-19

  Huo ulikuwa utabiri wa mke wa mzungu ambaye ni tajiri mkubwa dunia mama Melinda Getes ambapo utabiri wake ulipaliliwa na shirika la afya duniani WHO. Utabiri huo haukuishia hapo ulikwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ugonjwa wa Korona utaipiga Afrika barabara yaani thelusi 3 ya watu weusi...
 2. Analogia Malenga

  Benki Kuu Kenya: 75% ya biashara ndogo na za kati zitafungwa hadi mwezi Juni

  BENKI KUU KENYA YASEMA 75% YA BIASHARA ZA NDOGO NA KATI ZITAKUFA Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Zaidi ya 75% ya biashara ndogo na biashara za kati zipo hatarini kufungwa kutokana na ukosefu wa pesa Hii ni kutokana na shughuli kuzorota kutokana na kuwa na tishio la janga la #CoronaVirus Ukuaji...
 3. FORTALEZA

  Je, mwezi umeandama?

  Huku kwetu Kazuramimba bado haujaonekana, vipi maeneo ya kwako hapo umeonekana? ===== UPDATE
 4. snowden E

  Kwa wale wanaofuata Saudia kwa muandamo wa mwezi

  Kila mtu na maamuzi yake, na una uhuru wa kufuata uonacho ni sahihi. Si BAKWATA WALA IMAN MEDIA, wote wana maslahi binafsi. Kwa wale wanao fuata Saudia. Eid Al-Fitr celebrations will begin in on Sunday May 24, according to authorities in Saudi Arabia. RIYADH: Eid Al-Fitr will begin on Sunday...
 5. Kaitwike Kulupango

  Vita vikubwa vya Badri, Jeshi la Waisilamu. Ilikuwa siku ya Ijumaa mwezi wa Ramadhani {13th March/624 A.D.}

  Vita vya Badr ni mojawapo ya vita vya Kiislamu vilivyo vikubwa na maarufu, na wale walioshiriki kwenye vita hivi wana heshima maalumu miongoni mwa Waislamu. Kila mara Mujahidiin wa Badr, mmoja au zaidi, aliposhiriki au alipotoa ushahidi juu ya jambo lolote lile watu walikuwa wakisema: “Ahhil...
 6. njiwaji

  Mwezi mwandamo, Zuhura, Utarid zote angani Magharibi

  Zuhura, Utarid na Mwezi hilali utaziona jirani angani upande wa magharibi karibu na upeo mara baada ya machweo. Picha inaoensha mpangilio wao kuanzia leo 21 Mei hadi Jumapili 24 Mei, zikibadilisha nafasi siku hadi siku. Siku ya Ijumaa 22 Mei sayari mbili, Zuhura (Venus) na Utarid (Mercury)...
 7. FRANCIS DA DON

  Utafiti wa kutisha, waliokaa Lockdown kwa mwezi mmoja au zaidi hatarini kufariki hata kwa bakteria na fangasi baada ya kutoka nje, kinga zashuka!

  Mengi yanazidi kuibuka kuhusu sakata la Covid 19. Wataalam wa afya wanasema, kinga ya mwanadamu ni kitu endelevu, hivyo kinajiimarisha na kujiboresha siku hadi siku kulingana na jinsi mazingira yanavyobadilika. Wanasema jinsi binadamu anavyochangamana na wenzake kwa kugusana na kushikana mara...
 8. J

  Bakwata: Sikukuu ya Eid itakuwa tarehe 24 au 25 May, 2020 kutegemea mwandamo wa mwezi, hakutakuwa na Swala ya kitaifa wala Baraza

  Bakwata imetoa taarifa kwamba sikukuu ya Eid itakuwa ama siku ya Jumapili tarehe 24 may au siku ya Jumatatu tarehe 25 may kutegemea na mwandamo wa mwezi. Taarifa imesema ili kuepuka misongamano hapatakuwepo Swala ya Eid kitaifa na kila mtu atapaswa kuswali katika eneo la kwao. Kadhalika...
 9. W

  Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

  Waziri wa Tamisemi amesisitiza watanzania waanze kujifukiza kama namna ya kujenga kinga katika kupambana na corona. Ili jambo liwe na ufanisi amependekeza kuwe na wiki ya nyungu kwa maana ya wiki ya kujifukiza. Kama ambavyo mh Rais alipendekeza hivi karibuni. Amesema...
 10. I

  Jike shupa afumaniwa mwezi Huu mtukufu

  Mwanadada aliyepata umaarufu kupitia kuwa video queen kwenye ngoma ya nuhu mziwanda ya " Jike shupa" nakupachikwa jina Hilo na mashabiki wa mziki amejikuta matatani baada ya kufumaniwa na Mume wa mtu clip hiyo imekuwa ikisambaa sana mtandaoni na kujikuta anapigana na mke wa mtu baada ya...
 11. J

  Prof. Kabudi: Tanzania ndio tunaratibu mapambano ya Corona kwa nchi za SADC na Waziri Ummy aliongoza kikao cha kupanga mikakati mwezi Machi

  Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC. Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya...
 12. ronnycharlz

  Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

  Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
 13. RAKI BIG

  Huu mwezi wa 5 naona kama hauendi...

  Huu mwezi wa 5 mbona naona kama hauendi yaani leo ndo kwanza tarehe 6? Au kwa kuwa ndo nimefunga na Ramdhani hii, maana napata wazimu hela nishamilza
 14. Mdaiwa-Sugu

  Shule zifunguliwe mwezi wa sita wanafunzi waendelee na masomo

  Serikali imeanzisha program maalum ya ufundishaji wa umahiri wa marejeo ya masomo kwa njia ya TV, redio na online TV's. Ofcourse, it is a good idea lakini kuna hali ya ubaguzi fulani kwenye hii program kwa sababu siyo wanafunzi wote wananufaika nayo. Kwanza, siyo wanafunzi wote, wazazi wao...
 15. Victor Mlaki

  Tetesi: Tukio la kijiografia la mwezi mpevu sana (Supermoon) litatikea Nchini Tanzania siku ya Alhamisi tarehe 7/5/2020 saa 13:45

  Inafakamika kila baada ya miaka kadhaa kutokana na njia ya mwezi angani kuna wakati mwezi kupita karibu sana na na Dunia. Hali hiyo ya mwezi kupita karibu na Dunia ndiyo inayoitwa mwezi mpevu sana ambapo mwezi huonekana kwa karibu na kwa uku wa zaidi kuliko nyakati nyingine. Tukio hili...
 16. N

  Umebaki mwezi mmoja kwa CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani, wanavyopingana na Watanzania hata kata moja hawatapata

  Walianza kuwa watetezi wa wahalifu yaani majambazi, mafisadi, wala Rushwa na mabeberu. Wengine wakaenda mbali zaidi na kuwa wakawa watetezi wa wezi wa madini yetu. Yaani savimbiLissu akaungana na majambazi kuihujumu Tanzania Limetokea janga la Corona mheshimiwa anayejua uhalisia wa maisha ya...
 17. Jidu La Mabambasi

  Corona kuisha mwezi wa sita? Data driven predictions...

  Kulingana na utafiti wa kukusanya data. Chuo kikuu cha Singapore wametoa matokeo ya utafiti juu ya gonjwa la COVID19. Utafiti huu unatokana na ukusanyaji wa data toka nchi mbali mbali ambazo wanaweka tafiti na takwimu zao wazi. Utafiti huu unaonyesha kuwa hadi mwezi wa sita tukiendelea...
 18. Mwalimu kp

  Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

  Habari zenu Wakuu, Jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja. Kuwa mshahara was mwezi April, mwaka 2020 umeshatoka. Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank Je, kuna ukweli au uhakika wa taarifa hii? Kama ni ya kweli, kongole kwa Rais Magufuli!
 19. beeper

  Mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi (Spageti) msaada wako unahitajika

  Habari wadau. Naomba mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi za Kula (Spageti) bila mashine maana Mwezi Mtukufu unakaribia. Kuna kipindi niliona pale Buguruni wanatengezeza.
 20. J

  Kwanini mwezi wa Ramadhani vyakula vinapanda sana bei wakati walaji wa mchana wanapungua?

  Nimewasikia baadhi ya viongozi wa Bakwata mkoani Shinyanga kupitia ITV wakilalamika kupotea kwa sukari na mfumuko wa bei za vyakula wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Viongozi hao wanadai wafanyabiashara wasio waaminifu wameficha sukari ili waje waiuze kwa bei ya juu pindi mfungo utakapofika...
Top Bottom