matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa matumizi ya Limao, ndimu kwenye supu, ladha inapotea.

    Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao. Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na choma na Samaki wa kukaanga sasa yemenishinda kabisa. Huwa nayatamani sana malimao yanayoletwa na supu...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya ugoro yamekithiri sana kwa vijana wadogo just imagining mtu anaagiza ugoro kutoka Sweden..

  3. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania HIVI HATUWEZI KUTUMIA MAJI YA MZINGA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI.

    Dar es salaam imebarikiwa mito Tunajua Kuna mto mzinga, uliopo kusini mwa Dar es salaam na kaskazini mwa wilaya ya mkuranga. Hivi Kuna mkakati wowote wa kuyavuna maji ya moto huu ili upunguze hadha ya shida ya maji jijini Dar es salaam? Huu mto unatokea milima ya kisarawe kule kazimzumbwi na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tujadli afya kwa matumizi sahihi ya miundombinu ya maji, usafi ni utu

    Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu. Serikali inajenga miundombinu hii kwa matumizi ya wananchi wote na kuimarisha afya ya jamii yetu...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakuu naona kama town (Dar) kumekuwa na matumizi mabaya ya ving'ora

    Wazee inakuwaje siku hizi unaweza kuwa unapita zako labda Maandazi Road mara ghafla V8 inawasha king'ora ili mumpishe.. yaani imekuwa kero kubwa. Wakazi wa Dar wanakutana na ving'ora vingi kwa siku. Ifikie sehemu mamlaka zinazohusika zidhibiti hii hali. Kwani idadi ya viongozi au watendaji wa...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Update Kuhusu kutaka kununua "Drone" kwa Matumizi Binafsi

    Maboss. Mwezi August niweka Uzi wenye kichwa: Nilitaka kununua Drone kwa Matumizi Binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko kununua? Baada ya kupata madini kutoka kwa wadau, wengine tukajadili inbox nimenunua DJI Lito X1. Siku ya kwanza baada ya kununua nikamgusia muuzaji kuhusu...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi waendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-ARDHI

    Wataalamu wa Ardhi Mkoani Singida wameendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kutoa huduma bora na za kidijitali kwa wananchi. Matumizi ya mfumo huo yanatarajiwa kurahisisha upatikanaji huduma za ardhi, kupunguza usumbufu kwa wananchi na kuongeza...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Hatari ya matumizi mabaya ya mtandao wa majitaka

    Mtandao wa majitaka unapotumiwa vibaya ni kero katika jamii, na chanzo cha magonjwa mbalimbali ambayo matibabu yake ni gharama. Matumizi sahihi ya mtandao huo ni moja ya ustaarabu katika jamii, na huepusha usumbufu kwa watumiaji na wadau wengine, pia mazingira
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Serikali kuimarisha matumizi ya teknolojia usimamizi wa bandari

    Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya kutambua kuwa Uchumi wa Buluu wa kisasa unahitaji wataalamu wenye ujuzi, ubunifu na uwezo wa kutumia...
  10. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ugawaji na matumizi ya mtaji(capital) kwa watoto wako

    Muulize mzazi nini unataka kuwaachia watoto wako utakapoondoka hapa duniani. Mara nyingi majibu huwa sio mageni, nyumba, biashara, ardhi, akiba ya pesa n.k Tunatumia muda mwingi kufikiria kukusanya assets kwa ajiri ya vizazi vyetu vijavyo. Lakini swali la msingi ambalo huwa hatujiulizi. Vipi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodaboda wengi hawajui matumizi ya taa za ‘dabo hazadi’, waelimishwe

    Naomba bodaboda wapewe elimu ya matumizi ya Double hazard lights, asilimia kubwa wanazitumia kama fasheni lakini ndiyo chanzo kikubwa cha ajali. Mfano amewasha hazard halafu yupo mbele na aliyepo nyuma yake hawezi kujua uelekeo wake, ghafla anakunja kushoto wakati huo hajazima hazard, kwa...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni Ashiriki Kikao Kujadili Afya Ya Udongo Na Matumizi Sahihi Ya Mbolea

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akizungumza wakati wa kikao kilichokutanisha viongozi kutoka matifa mbalimbali katika Ubalozi wa Uingereza nchini Mongolia. Kulia ni Mwakilishi Maalumu wa Uingereza nchini Mongolia Bi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa (TC), tunafanya kazi katika mazingira magumu

    Sisi ni madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa, na tungependa kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazokutana nazo kazini, hususan kuhusu mwenendo wa Afisa Usafirishaji wetu. Unyanyasaji na madai ya kugawana posho: Afisa Usafirishaji amekuwa akitunyanyasa na kututendea isivyo haki...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Wanasheria na Wazalendo, Mauaji ya Halaiki ya Oct 29 yawekwe kwenye Taarifa Rasmi kwa matumizi ya baadae

    Hizi Records za mauaji ya Oct 29 ni muhimu kuwekwa sawia. Nyakati hubadilika. Kama mnakumbuka kuhusu Nuremberg Trials huko Germany kwa wale Nazi officiers na timu ya Hilter waliohusika na human crimes, ukatili and mauaji ya halaiki walihukumiwa kifo na vifungo vya Maisha . Kwa kuwa mpaka...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nilitaka kununua Drone kwa matumizi binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko za kununua?

    Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5. Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi, tena Mtanzania 1. Kuisajiri $100 kwa drone (mara moja) 2. Kuitumia kwa siku $5 au kwa mwezi $100 au kwa...
  17. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Sofa hii ina matumizi gani?

    Wakuu hii sofa ina kazi gani?
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Sera za Kilimo za Samia zawezesha Ongezeko la Matumizi ya Mbolea kwa asilimia 211% Kutoka Tani 264,000(2021/22) Hadi Tani 1.2 Milioni(2025/26).

    My Take Mkifanikiwa kumvuta Dangote ajenge kiwanda Cha mbolea itakuwa ni big deal sana. Dangote anajenga kiwanda Kikubwa Ethiopia wakati Tanzania ndio food busket wa Africa. https://www.instagram.com/reel/Dbuph__AjA6/?igsh=MTBubnU5NWVpbW9rbg==
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupiga marufuku vyombo vya plastic kwa matumizi ya chakula?

    Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi. Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto au jua. Kwa kawaida huwa kuna plastic maalumu kwa ajili ya chakula(food grade) ambayo imeonekana...
Back
Top Bottom