Free content, libre content, or free information is any kind of functional work, work of art, or other creative content that meets the definition of a free cultural work.
Kama wewe ni Content Creator, TikToker, YouTuber, Graphic Designer, Social Media Manager au mfanyabiashara, video zako si burudani tu—ni sehemu ya brand yako, mauzo yako na namna watu wanavyokuona.
CapCut Free inaweza kukusaidia kufanya editing za kawaida, lakini unapohitaji kufanya kazi kwa...
Habari wanabodi.
Nina duka la nguo na nataka kuanza kuandaa content kwa ajili ya kumarket biashara yangu.
Kwa wenye uzoefu nisaidieni kujua ni simu gani kwa bajeti ya 2.5M itanipatia simu nzuri yenye kutoa video bora?
Je ninunue Samsung S26 Ultra mpya au Used iPhone 16/17 pro max au google pixel?
Kwa hiyo ndo maboresho makubwa walilofanya kwenye ELIMU ??
Tatizo la ELIMU yetu ni miaka ya kusoma au content yake ??
Twende TU hivyo hivyo
uzuri watoto wengi wa mawaziri wabunge na WATUMISHI wa umma hata waalimu wa hizo shule hawapeleki watoto wa huko
Watasoma watoto wa maskini na machawa...
Watanzania tuache tabia ya kusoma vichwa vya habari tu tuwe tunasoma kilichomo ndani huu uvivu wa kutokusoma in detail ndo kunasababisha uwepo wa upotoshaji mkubwa kama huu unaoendelea mitandaoni kwa sasa.
Ukiisoma barua kwa ndani unaona kabisa inajikanyagakanyaga sana haipo straight forward...
Habari wakuu,
Ninaamini kuwa Content Creator ni aina mpya ya ajira katika dunia ya kidijitali, na inaweza kuwa fursa muhimu kwa vijana kujiajiri na kujenga vyanzo vyao vya kipato.
Kwa sasa, mitandao ya kijamii imewezesha watu kushiriki mawazo, maarifa, vipaji na ubunifu wao kwa hadhira kubwa...
(Photo courtesy of Uganda Police )
Police in Lyantonde District have arrested a 13-year-old boy accused of using his TikTok account to post content allegedly promoting violence and sectarianism.
The suspect, identified as Twikirize Clever, also known as "Mad Hunter", is a casual worker and...
Wakuu wasalaamu.
Naomba anayeweza au anayejua anisaidie kwenye kusajili local content
Nimejaza taarifa zangu za Register kwa mfumo, ila sijapata hata email ya kuconfirm au kutengeneza log in credentials. Toka maombi yangu yapokelewe zimepita siku 3.
Ningeomba anayeweza kusaidia kujua namna...
Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni 😲. Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana 👋.
🔍 Google imezindua rasmi Mfumo mpya unaitwa Creator Search Profiles!, ambapo watengeneza maudhui (Creators)...
Habari wanajamii,
Nanunua Original Contents (OG) zinazohusu maisha halisi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana waliotoka vyuoni.
Maudhui ninayohitaji ni pamoja na:
Burudani na maisha ya kila siku ya wanafunzi
Elimu na maendeleo binafsi
Mahusiano na changamoto za vijana
Biashara na...
Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee...
The Legal and Human Rights Centre (LHRC) has called upon the government of Tanzania and responsible authorities to fully implement the decision of the High Court of Tanzania declaring Regulation 8 of the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations, 2020 unconstitutional for...
Siku hizi kupata scholarship au kazi kwenye mashirika makubwa si suala la kuwa na GPA nzuri pekee au CV ndefu yenye maneno mengi. Dunia imebadilika. Watu wa kwenye panel za scholarship na recruiters wa mashirika ya kimataifa wanaanza kuangalia “digital footprint” yako yaani umeonyesha nini...
Siku hizi ukikutana na kijana ana laptop, ring light na simu nzuri usidhani ni IT specialist… mwingine anakesha usiku kucha akihariri video ya sekunde 45 huku background kuna motivational music na caption “never give up”.
Lakini ukiangalia reality ya game yenyewe unaweza ukaanza kujiuliza… hivi...
Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu?
Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
A heated online debate emerged after several Kenyan content creators attended the Africa Forward Summit in Nairobi. While the event aimed to bring together leaders, innovators, creatives, and policymakers to discuss Africa’s future, many Kenyans on social media viewed the attendance of...
Leo kila mtu ana simu, data na account ya TikTok, YouTube, Instagram au Facebook. Hilo ni jambo zuri kwa uhuru wa taarifa. Lakini pia limeleta tatizo kubwa:
Watu wengi wanafundisha mambo nyeti bila ujuzi wowote.
Tunashuhudia:
Watu wanafundisha uwekezaji wa uongo
Watu wanashauri dawa bila...
Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi
Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi
Mwamba yuko vizuri sana lakini jamii bado haijamzingatia
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Tanzania imewasilisha ombi UNESCO la kutambua Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii ili vijana wanaotengeneza maudhui kwa lugha ya Kiswahili walipwe vizuri.
"Kupitia Balozi wetu wa Tanzania aliyeko Ufaransa, tumeshawasilisha...
Mshangazi wa taifa Janepher Sanga mwenye views na followers zaidi ya million 8 kwenye mitandao ya kijamii, katoa onyo kwa ukali kwa madalali wa wanawake ambao wana posti namba zake kwenye page zao yeye hajiuzi.
Kitendo hicho kimemuudhi sana mshangazi huyo nakuendelea kusema yeye ni content...
Kwa mimi binafsi
Kwa March kuna
1.Stan bakora na mwenzake aisee content zao ziko so unique ni fupi haziboi halafu hazivunji sana maadili, no wonder why makonda amewahi kumsifia stan yuko vizuri kwa sasa kwenye upande huo..mwingine kwa comedy ni Azaboi mkali sana
2.rich msafi east africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.