Nilipata bahati ya kupenyezewa mawazo Mazuri tu yaliyokuwa kwenye mpakato wa LOPELOPE ,
Kwa hatua na Balozi Mkubwa kuachia ngazi yaweza kuwa step stone ya kuelekea Chanya Kama karata zitachezwa vema
Ngoja niyachatakate nimerudi Britanicca Mpaka kieleweke!
Balozi tuko pamoja
Soma uzi huu 👇🏽👇🏽...
Unapewa na Type C charger yake…
10th generation with low budget..
Nec VersaPro✅
Core i5✅
Ram 8GB✅
Ssd 256GB✅
10th generation✅
Processor based 1.3GHz to Turbo 3.7GHz🔥
Type C charger with all important ports✅
Kioo inch 12✅
Battery 2 to 4Hrs✅
Very slim Kama wembe🔥
550,000/=
Unapewa na Type C charge yake…
Nec versa pro👇
Intel Pentium/Core m3✅
Ram 4GB✅
Ssd 128GB✅
Processor 1.6GHz✅
Kioo inch 12.5✅
Ni nyembamba sana kama wembe✅
Port zote za msingi zipo mfano HDMI✅
Charge masaa 2 to 3✅
Kioo chake ni full display✅
Bei 300,000/= Tu📌
Hii nchi sijui tunaelekea wapi.Vifaa vya tehama mpaka mnasaidiwa au maigizo.
----------------
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea vifaa vya kisasa vya Chumba cha Kanzi Data, vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na miundombinu iliyoboreshwa ya...
SIFA ZAKE:
HP E Lite Book
Internal Hard Disk storage: GB 500
RAM storage: 8GB
Processor: 1.50GHZ
Price Tsh 195,000/=
Mawasiliano: 0798434285
🚫 Battery yake imeshakufa hivyo kutumia ni mpaka ichomekwe kwenye umeme.
Tatizo ni hilo tu, kila kitu kipo vizuri, ukiamua kubadilisha battery ni laptop...
Nauza charger za gaming laptop za aina zote.
Mahali: Ilala, Dar es Salaam
Mawasiliano: 0767 953 873
Karibu kwa maelezo zaidi au kuagiza charger inayofaa kwa aina ya gaming laptop yako.
Nimepita mahala nikashituka, jamaa anatoa elimu ya utengenezaji wa sabuni za MCHE, una mlipa 3000 anakufundisha kutengeneza sabuni HATUa Kwa HATUa, inakua kama darasa, kozi ni wiki Moja tu.
Nikajiuliza sasa hapa si unaenda you tube, google au chatgpt nk. Tena Kwa bando la jero tu.
Nimepiga...
Habari wakuu?
Kama kichwa cha habari hapo juu. Huwa mara nyingi tunaona tu mitandaoni machimbo ya nguo na viatu hapo kariakoo. Na bei zake rafiki. Kama kuna watu wanafahamu machimbo ya LAPTOP na bei zake tafadhali tujuzane.
ahsante sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.