Kama unapenda kutunza kumbu kumbu za muvi / series, hii itakufaa.

Mtemi Eno

Member
Jul 10, 2023
37
145
Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot)

1689172096886.png


File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya 17 sekunde ya 15.

1689172551445.png


Jinsi ya kuseti

Fungua VLC, Kwenye menu chagua tools, shuka chini minya preferences, Ingia sehemu ya Video, chini kuna sehemu imeandikwa Prefix, jaza haya maneno $N-$T-

1689178142301.png


1689179440003.png

screenshot unatunza kwa kuminya shift na s kwa mpigo

Zitatunzwa kwenye folder la pictures (ukitaka kubadili minya sehemu ya browse hapo juu ya prefix)

1689178354360.png
 
Shukran sana mkuu
Njee ya mada kidogo website gani nzuri for free movie download
 
Back
Top Bottom