wajibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Kuhudumia wenye mahitaji maalum ni wajibu wetu

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨: 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗗𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗔𝗛𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗠𝗔𝗔𝗟𝗨𝗠 𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗪𝗘𝗧𝗨 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kushiriki kugharamia huduma kwa watu wenye ulemavu na watoto walio katika mazingira magumu, akisisitiza kuwa kuwahudumia ni wajibu wa Serikali na jamii. Dkt. Mwigulu amesema...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa mdhamini katika dhamana ya hatimiliki ya ardhi katika Taasisi za kifedha

    https://youtu.be/9zjBfqx1E9E?si=tRVVlcDNCgoNkbdJ Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi, Na Nyumba la Wilaya Dodoma, Mhe. Omary Mbega, kupitia ABM FM radio 91.2 Akielezea Wajibu wa mdhamini katika dhamana ya hatimiliki ya ardhi katika taasisi za kifedha.
  3. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi Sio Maadui: Wajibu wa Vyombo vya Ulinzi

    Kwenu vyombo vya ulinzi na usalama — Polisi, JKT, JWTZ, TISS na vyombo vingine vinavyobeba jukumu la kulinda taifa. Kumekuwa na mijadala na matamko yasiyo rasmi kutoka kwa baadhi ya watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama kutoa kauli zinazoweza kutishia wananchi, kupambana nao au kuwachukulia...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli Stand wajibu malalamiko kuhusu vyoo, mpangilio wa stendi

    Soma pia: Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi Kufuatia malalamiko ya watumiaji wa stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusu ufinyu wa vyoo kwa abiria, Meneja wa stendi hiyo, Isaac Kasebo amesema vyoo vilivyopo vinatosha, ila tatizo abiria wengi hawajajua...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwigulu awataka Watanzania kuimarisha malezi, kulinda amani na kutimiza wajibu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuendelea kuimarisha malezi ya watoto na vijana, kulinda amani, kuheshimu tofauti na kutimiza wajibu wao kwa taifa, akisisitiza kuwa haki na wajibu haviwezi kutenganishwa. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Jumanne, Agosti 25, 2026, wakati...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akidai mtoto ni wako yeye ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha na kugharamia gharama za DNA. Ikibainika ni wako, mnagawana gharama.

    MWANAMKE AKIDAI MTOTO NI WAKO YEYE NDIYE MWENYE WAJIBU WA KUTHIBITISHA NA KUGHARAMIA GHARAMA ZA DNA. IKIBAINIKA NI WAKO, MNAGAWANA GHARAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanamke ambaye hujamuoa. Sio mkeo. Ikatokea ulilala naye na bila shaka ni kwa lengo la starehe kwa sababu ingekuwa ni...
  7. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania CivilianCoin: WAJIBU wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Wasanii.

    Wajibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa wasanii unajikita katika kusimamia ulinzi na usalama wao, kuratibu vibali vya ukaazi na kazi kwa wasanii wa kigeni, na kusajili vyama au mashirikisho yao ya sanaa. Tofauti na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambayo inashughulika na...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuomba na kutegemea pesa za mwanaume ni ishara ya umasikini au wajibu wa wanaume?

    Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Prof.Kitila : Halmashauri Zimeacha Wajibu wao wa Kuchochea Shughuli za Uzalishaji na kujikita Kuunda Tozo ambazo ni kero wa ustawi wa Wananchi

    My Take Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza Uchumi na kujikwamua kwenye umaskini. Hatuwezi Kufikia Uchumi wa Dola Trilioni 1 Kwa kushadidiq sera...
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania BMT: Serikali ilikamilisha wajibu, Simba yatakiwa kutekeleza Katiba Mpya

    Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali kukamilisha hatua ya kuidhinisha na kuikabidhi rasmi. Katiba hiyo ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

    Utawala wa sheria maana yake nini? Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga. Haki za wengine hawana habari...
  12. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Note: Wajibu wa Jeshi la Uhamiaji na Jeshi la Zima moto na Uokoaji kwa raia wa Tanzania.

    Wajibu wa idara ya Huduma za Uhamiaji Tanzania kwa wananchi ni pamoja na kutoa hati za kusafiria (pasi za kusafiri), kudhibiti uingiaji na ukaazi wa wageni, na kuchakata maombi ya uraia. Chombo hiki kinafanya kazi chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kulinda usalama wa nchi kwa maana...
  13. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: WAJIBU wa Askari jeshi(JWTZ) kwa raia na nchi

    Wajibu mkuu wa askari jeshi kwa wananchi ni kulinda Katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao dhidi ya tishio lolote la ndani au nje. Kulingana na miongozo ya jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), majukumu ya msingi kwa jamii yamegawanyika katika maeneo...
  14. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Angalizo: wajibu wa Jeshi la Polisi kwa Wananchi na WAJIBU wa Askari Magereza kwa Wafungwa

    Tuanze na: JESHI LA POLISI TANZANIA. Wajibu mkuu wa jeshi la polisi kwa jamii ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Kazi hii inafanyika kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha amani, utulivu, na usalama vinatamalaki katika nchi. Majukumu makuu ya polisi kwa jamii yamegawanyika katika maeneo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  16. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Bila amani, fursa hupotea na ndoto husimama. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda amani. Tanzania ni yetu sote, tuilinde

    Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini?? Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakili Dkt. Nshala: Ofisi ya DPP imekiuka wajibu wa Kikatiba katika Kesi ya Lissu

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameiambia mahakama kuwa amekaa mahabusu kwa siku 139 tangu Februari 24, 2026 hadi Julai 3, 2026 bila kesi yake kusikilizwa. Soma: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Wananchi: Wajibu wa Kikatiba

    Kwa Nini Waziri Mkuu Lazima Awe Karibu na Wananchi? Mtazamo wa Kikatiba Anaandika Thomas Joel Kibwana, Mchambuzi wa Siasa Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wabunge na wanasiasa wa upinzani wamejitokeza kuhoji mantiki ya ziara za Waziri Mkuu zinazolenga kusikiliza na kutatua kero...
  19. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

    Siku za nyuma kuna member aliandika kuhusu mabinti wa chuo kikuu ambao wanafanya kazi kwenye mgahawa wa kuuza chakula wakiwa bado wanasoma. Members wengi waliwapongeza lakini ukiangalia cha ajabu haukioni. Kwanza kabisa mabinti wanakosa vipindi. Utaratibu wa wanafunzi kufanya kazi upo hata nchi...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya Kichocheo na Matokeo: Ni Wajibu Wako

    Dunia inaongozwa na kanuni ya kichocheo na matokeo. (Cause and Effect) Hakuna jambo linalotokea tu bila sababu. Kila matokeo unayoyaona leo ni kwasababu ya jambo fulani lililofanyika kabla ya matokeo hayo kuonekana,Hii ndio kanuni ya msingi inayotawala maisha yetu. Katika kitabu chake cha "The...
Back
Top Bottom