maisha yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Injili ambazo zinashusha Wingu

    Je ni nyimbo gani ambazo ukisikiliza zinakusogeza karibu na Mungu Binafsi kuna nyimbo kadhaa ambazo kwa kweli zimekuwa baraka sana katika maisha yangu ziko ngingi kutoka kwa watumishi wa Mungu ila ziko ambazo wakati wote nikizisikia zinanivuta sana karibu na Mungu Mtumishi wa Mungu wa hapa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Habari za muda humu Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma...
  3. Vien

    JamiiForums Tanzania Binadamu: Walivyoniita mbinafsi, niliwakaribisha kwenye maisha yangu na kuwashirikisha matatizo yangu... ajabu ni kwamba wote walikimbia

    Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ili watu wakukubali ni lazima uwe karibu nao, uwashirikishe kila jambo na uzingatie maoni yao. Nilikuwa nahofia kuitwa mbinafsi, mwenye maringo au mtu anayejiona. Kadri nilivyojaribu kuwafurahisha watu, ndivyo nilivyozidi kugundua kuwa huwezi kamwe...
  4. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni dua yangu siku zote za Maisha yangu

    Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana. Yoshua 24:15 Kwa hiyo, Mimi...
  6. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya kufilisika kwenye forex

    ...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu.

    . Naomba niwasimulie tuu, Leo nimepatwa na jaribu gumu sana kwa mara yangu ya kwanza katika maisha yangu. Nimekuwa nikisoma thread nyingi tu humu JF kuhusu vijana kuacha masuala mazima ya tamaa, pamoja na mikasa ya watu iliyowapata kama story ya yule jamaa aliyekuwa wakimwita Apostle...
  8. kamdinyo

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyimbo ninazozipenda kuliko zote katika maisha yangu ya kufuatilia mziki mzuri duniani kote.

    1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9) fu-gee-la- fugees 10) let me hold you- bow wow ft omarion 11) if you realy wanna know- mac dosley...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu mpaka kukata tamaa na kujikuta naangukia kwenye mikono ya shemeji yangu kikazi

    Kama Mlivyoona Kwenye Kichwa Hapo Juu Nataka kushea Story ya Maisha YANGU Kidogo Kama watu mtapata namna ya Kujifunza au kuburudika sawa Tuu.....ila story Ni ya kweli lakini Nitaichakachua kwa Asilimia 50 ili Kuficha ukweli na Baadhi ya Washiriki wasitambulike ....... KWAHIYO itakuwa Ukweli 50%...
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ni kama movie na wanawake kwangu ni kama ruby

    Sijui ni zimwi. Sijui ni uraibu. Nalala na kuwaza wadada wenye makebo makubwa, napenda kuchakata jagina zao, napenda kuchezea genta zao, kutokea kwenye mapaja, nafurahia kuona tila tila zao. Nimeshafanya style zote, wanawakae wa aina zote, lakini bado sitosheki, Imekuwa kama adventure...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu wa Maisha niliyoishi ya Kikristo na Maisha yangu ndani ya Uisilamu

    Nilizaliwa katika imani ya kikristo katika dhehebu la kikatoliki nilibatizwa nikiwa najitambua baada ya kufanya mafundisho,lakini kila kitu tulikuwa tunakalilishwa na siku ya mtihani alikuja Askofu anakuulizwa swali unamjibu, Nikapata na sakrament ya kitubio na kipaimara yaani naruhusiwa...
  12. Vien

    JamiiForums Tanzania Jinsi ukurupukaji ulivyonitia hasara mara nyingi maishani

    Habari JF members Nimeona leo nielezee tabia ya kukurupuka ilivyonipa hasara mara kadhaa. Nimejifanyia tathmini nkagundua huwa nikitaka kufanya jambo lolote huwa napenda nilifanikishe kwa haraka sana ili niruhusu akili iweze ku focus na vitu vingine. Lakini tabia hii imenigharimu sana...
  13. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu, Maisha yako

    We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to fall! Funny right, yes it is then why they helped you to the point, a point that will light Avery...
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye silaha za moto ambao pia wamevamia kwangu bila kibali

    Anaandika Fortunatus Buyobe kwenye Mtandao wa X ==== Juzi niliripoti tukio la jaribio la watu kuniteka. Watu wale wakitumia gari tatu aina ya Land Cruiser na Subaru Forester nyeusi walitaka kuniteka nikiwa naendesh gari langu. (Sijui walitumia muda gani kujua gari ninalotumia, Sijui walijua...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu, msiponiona tena online mjue nimejitoa maisha yangu kwa watanzania. Tukutane tarehe 29. Hakuna kurudi nyuma

    Watanzania wenzangu msipo niona tena online ujue nimejitoa maisha yangu kwa watanzania tukane tarehe 29 hakuna kurudi nyuma.
  16. Doto12

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

    Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
  17. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada Niweze kuacha Kamari ya Aviator, Maisha yangu hayaendi vizuri, Kamari hii Inataka kunitoa Roho

    Wadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato. Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali. Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Sitomsahau Rais Magufuli, machozi hutiririka ninapowaona aliowaamini wakimsaliti waziwazi

    Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata? Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu, kila...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
Back
Top Bottom