Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM.
Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha...
Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema...
Wanajamvi
Nimekuwa Na hisia kuwa huenda Dr. Magufuri Ni kiona mbali kutokana Na nchi ya ulimwengu wa kwanza kupinga walimu kuvaa mask wakati wanafundisha kwani hakuna ushahidi kuwa mask zinazuia covid.
======
As coronavirus runs rampant, why are some Swedish towns banning masks?
Officials in...
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya...
Habari JF?
Poleni na misiba inayoliandama Taifa letu pendwa la Tanzania.
Nipo safarini mkoa flani, na huo mkoa kuna binti flani alikuwa mpenzi wangu some years ago.
Tumerejesha mawasiliano hivi karibuni, after kumuambia nipo kwenye mkoa husika, ameniomba nisiingie cost bure, badala yake...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi za mamlaka hiyo, Deusdedith Magoma. Aidha, Aweso ameiagiza Bodi ya wakurugenzi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa meneja wa anayeshughulikia...
Wednesday February 10 2021
Profesa Delfina Mamiro
Morogoro. Familia ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Profesa Delphina Mamiro imepata pigo ndani siku 28 kwa kupoteza watu wanne, akiwamo profesa huyo.
Awali, wazazi wa profesa huyo walifariki dunia katika familia Januari...
Iko hivi:-
Kila kukicha pesa yetu inashuka thamani 10,000 ya leo kesho itakuwa ni pesa ya kununua kikombe cha chai.
Sasa maada yangu ipo hivi!:
Ikiwa nimeweka 100,000 benki leo hii baada ya miaka 30 itakuwa ni pesa ndogo kulingana na thamani ya shilingi yetu kuendelea kushuka hivyo waweza ona...
Nimesoma sehemu kuwa miili ya watu wengi waliokufa korona imekutwa na damu ikiwa imeganda kwenye mishipa midogomidogo ya damu na kuiziba (thromoembolism). Wamesema hii ni moja ya complication ya korona.
Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule...
Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia.
Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui wetu wanatumia mbinu mbalimbali ili watufute kwenye sura ya dunia.
Shirika kubwa la afya la...
Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha.
Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na Mwenyezi Mungu atu dua zetu zimekubaliwa. Mmekwiba kura sawa tumepotezea, lakini kumsingizia Mwenyezi...
China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa.
Mamlaka zinasema aina hii ya kipimo ni ya kuaminika zaidi na haraka.
Kipimo hiki kinahusisha kuingizwa kwa kifaa maalumu chenye pamba kama sentimita 1 ama 2 katika njia ya haja kubwa kisha...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya watu wenye lengo la 'kumpatanisha' yeye na upande wa upinzani baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliompa ushindi kuongoza muhula wa sita.
Huku upande wa upinzani unaoongozwa na msanii Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine aliyeshika nafasi ya pili miongoni...
Chuo kikuu cha ardhi kimesitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wote kwa sababu zisizojulikana hadi itakapotangazwa hapo baadae.
Watumishi wameombwa kuendelea kujali muda wa kufika kazini kama walivyozoea na wakuu wa vitengo wameombwa kuendelea kufuatilia...
Yaani hapa nilipo ninafuraha isiyo na kifani leo ninachinja mbuzi kabisa big up Abramovic na board nzima ya Chelsea hii ndio Chelsea tunayoijua hakuna kumvumilia mtu ukiaharibu unafukuzwa.
Kama Lampard angeendelea kubaki hata ligi ya mabingwa tungetolewa na A.Madrid na tungeambulia patupu kocha...
Habari zenu ndugu zangu wa humu JamiiForums
Je, ni uamuzi sahihi kumuadhibu mtoto wako mbele ya wageni/mkiwa ugenini? Unaweza kumchapa mtoto mkiwa mmetembelea kwa watu? Utamuadhibu pale pale au utasubiri mpaka wageni waondoke kwanza/mkirudi nyumbani?
Mimi niliwahi kuponea chupuchupu kupigwa...