Wananzengo kama jina la uzi wetu unavyojieleza hapo juu.
Geographia ya mkoa wa Pwani kuingiliana na mkoa wa Dar es salaam, pia kutanuka kwa miji na uwingi wa watu. Hii imepelekea baadhi ya maeneo ya mkoa wa pwani yaliyo karibu na mkoa wa Dsm kukua kwa haraka.
Changamoto inatokea pale mtu...
Mimi ni mkazi wa Mji Mdogo wa Ikwiriri uliopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani.
Mji wa Ikwiriri unakua kwa kasi na tayari una idadi kubwa ya wakazi, lakini cha kushangaza hadi sasa hauna machinjio rasmi ya mifugo kama ng’ombe, mbuzi na kondoo kwa ajili ya shughuli za...
Habari za wakati huu.
Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo.
Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka...
Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku.
Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
Anonymous
Thread
bara
hatari
hospital
kibaha
kuelekea
kutoka
mbovu
mkoamkoawapwani
njia
pwani
Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe.
Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani?
Maisha haya nataka niyaandae...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim Morcase Septemba 11, 2025 katika kipindi cha Maskani ya Chalinze, Kupitia 97.5 Chalinze FM amewakumbusha wananchi wa Mkoa wa Pwani wajibu wao katika kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mheshimiwa Rais, Wabunge na Madiwani...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni."
Akizungumza leo Julai 31, 2025, katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala, Kibaha mkoani Pwani, Kunenge ameeleza kuwa...
GHOROFA LINAUZWA GHOROFA LIPO VIKINDU MKOA WA PWANI
GHOROFA NI LA VYUMBA V5
CHINI KUNA VYUMBA V3 VYOYE SELF SITTING ROOM DAINING ROOM
JIKO STOO PUBLIC MAJI ELECTRIC FENCED
JUU VYUMBA V2 ZOTE MASTER NA SITTING ROOM BALCONY
ENEO SQM 1000
UMILIKI TITTLE DEED
BEI MIL 280
KARIBU SANA MTEJA...
Wananchi wanalia kila siku, mfano maguruwe barabara mbovu kama mazingira ya mwezi, lakini DC na TARURA wamejikita kwenye viti vyao vya starehe, wakisikiliza kilio cha wana nchi kama wimbo wa kawaida!
Hii ni dhuluma ya wazi – pesa za walipa kodi zinapotea kwenye miradi ya karatasi, wakati...
Mkoa wa Pwani ugawanywe
Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na Mkuranga ziunde jiji la Dar Es Salaam.
Rufiji, Kilwa, Mafia na Kibiti ziunde Mkoa wa Pwani/Rufiji/Kilwa.
Mikoa miwili ya Tanzania bara yaani Morogoro na Tabora iwe mikoa ya Viwanda vikubwa/vizito zaidi na technologia ya majeshi yetu na...
Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali.
Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha...
Rais Samia Suluhu Hassann ametoa magari mapya kwa wakuu wa wilaya zote za Mkoa wa Pwani, ili kurahisisha utendaji kazi wa viongozi hao.
Akikabidhi magari hayo kwa niaba ya Rais, mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa magari hayo ili kuwawezesha viongozi...
Habari zenu Wana jamiiforums,
Ni mwenyeji wa mkoa wa Singida, naombeni connection ya kibarua iwe ni ujenzi (kama saidia fundi au kupanga pavings Nina uzoefu nayo) yaani chochote hata Cha kulima, kusafisha mashamba kwa maeneo ya huku Pwani ya kibaha maana Mimi nipo sehemu inaitwa mlandizi.
Sina...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mbio za Coast City Marathon Msimu wa tatu (3), maalum kwa ajili ya kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani, Dkt. Frank Mhambwa amezindua rasmi mbio hizo ambapo hafla ya Uzinduzi imefanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya...
Na MWANDISHI WETU
WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani.
Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho.
Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi...
Licha ya huu mkoa kupakana na jiji la Dar es salaam ambalo ndo jiji kubwa Tanzania na Africa Mashariki Kwa ujumla, lakini mkoa wa Pwani unatishia, Mkoa wa Pwani una Mapori mazito yamefunga Giza na ya kuogopesha sana.
Me natokea Kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera tuna vijiji na Mapori ila Kwa mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.