Utamaduni wa kuwajibisha viongozi wanaofanya ubadhirifu, ufisadi na rushwa umeanza kubaki kama hadithi za kusadikika tu kwenye nchi yetu; hakuna tena mihimili yenye nguvu, mathalani mahakama zenye uwezo wa kuamua, kuheshimiwa na kutekekelezewa matakwa yake.
Miaka michache mbeleni, tutakuwa na...