pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu, wa Tanzania, tunaomba ufafanuzi wa jambo hili la Eda kwa mke wa pili wa Hafidh Ameir,Mume wa Samia

    Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine? Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
  2. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Nilivyokutana na Mlokole kwa mara ya pili

    Nipo zangu mgahawani napata chakula cha mchana,pale mezani nakutana na dada mtu mzima kiasi Wote tunakula ugali na dagaa,mboga ya majani na ndondo,yes maharage Sorry to say this in case wewe ni mlokole, hawa watu huwa lazima tu wajitambulishe kuwa ni walokole kwa namna yoyote ile, hupenda...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026 Leo September...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mada: Uchambuzi wa Kina: Wimbo wa "Mary Maria" wa Vijana Jazz Orchestra (Mtindo wa Pamba Moto Awamu ya Pili)

    Habari za muda huu wana-JamiiForums na wapenzi wote wa Muziki wa Dansi (Zilipendwa). Leo naomba tuutazame kwa jicho la kiweledi wimbo wa "Mary Maria" ulioimbwa na bendi mashuhuri ya Vijana Jazz Orchestra (Wana Pamba Moto). Wimbo huu ulirekodiwa mwanzoni mwa miaka ya 1975 katika studio zetu za...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Pili pili hoho ni tunda la maana sana

    Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao. Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga kinga ya mwili. Ukosefu wa vitamini C uliua sana mabaharia wa zamani baada ya kuwa wamekosa matunda na...
  6. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania JE, UNAFAHAMU MWAKA 2026 KUNA UWEZEKANO MDOGO WA KUFANYIKA MITIHANI YA TAIFA YA KIDATO CHA PILI NA CHA NNE?

    Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea. 1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa kama inavyopaswa ni asilimia 29 2. Asilimia 30 ya wanafunzi wataingia kwenye vyumba vya mitihani...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  9. O

    JamiiForums Kenya Kenya Yaibuka Nafasi ya Pili Dunia Katika Mashindano ya U20 Oregon

    Mashindano ya Dunia ya Riadha kwa wanariadha walio chini ya miaka 20 yaliyofanyika Eugene, Oregon, Marekani, ikimaliza nafasi ya pili kwenye jedwali la medali. Timu Kenya ilijikusanyia medali 11—dhahabu 4, fedha 3 na shaba 4—ikifuatiwa na wenyeji Marekani waliotwaa medali 24. Kenya pia ilikuwa...
  10. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Tutegemee "Taarifa kwa Umma" ya Manqoba na "Thank You" ya Doumbia Kabla ya Mzunguko wa pili wa NBC.

    Kama umeangalia utendfaji wao kwa makini basi ni muda tu unasubiriwa.. Si lazima Yanga afungwe ndo Kocha afukuzwe na ni lazima Simba ishinde ndo stiker abaki..
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa lugha, ipi ni sahihi kati ya "aliyemaliza nafasi ya pili, mshindi wa pili au mshindwa wa pili"?

    Hii ni kwa wataalamu wa lugha au mwenye uelewa wa hili, kwani nimekuwa nikisikia lakini sijajua lipi ni sahihi. Mtu anayemaliza mashindano katika nafasi ya pili anapaswa kuitwaje? Je, ni “mshindi wa pili,” “mshindwa wa pili,” au “aliyemaliza nafasi ya pili”? Wataalamu wa lugha, lipi ni sahihi...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Cocobeach ajali ya pili gari inawaka moto hakuna point za fire eneo lote Coco

    JF Video ya sekunde 16 inagoma ku upload hebu na nyie wekeni miundo mbinu yenu vizuri….yaani Video sekunde 16 inagoma ? Wakuu mko serious ?
  13. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Mtoto pili

    S.K.P FEATURING QUEEN DARLINE - MTOTO PILI. Intro: Wa da For Yo.!! Ma This skp Simple Pozi Kwa Pozi ft. Majangili For Over Israel Teacher Boy Nyandu B, Ommy G , Queendareen Chorus: "Mtoto Pili , Penzi la Ki - Gangster Lina Akili , Ka - ufikiri Me Nimentali , Uwe Mentali Pili kama...
  14. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Yesu aliyerudi kwa mara ya pili anasota rumande huko KOREA KUSINI. Anaomba tumuombee aachiwe kwa kuwa yeye ni mzee na pia ni mgonjwa

    Man Lee Hee ambaye anadai yeye ni Yesu aliyekuja kwa mara ya pili ametiwa mahabusu kuanzia mwezi wa sita kwa makosa ya kuharibu uchaguzi wa rais na kwa kosa la kuwaandikisha waumini wake zaidi ya 50,000 kwenye chama cha kisiasa. Yesu huyo mwenye miaka 95 anaomba tumuombee aachiwe huru, kwa kuwa...
  15. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu

    Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Utangulizi Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu: Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
  16. under500

    JamiiForums Tanzania Habari za Jumapili wakuu

    Habar za Jumapili wakuu Mlioenda kanisan mmekumbuka kutuombea sisi wengine
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda TANZIA Mbunge Mkongwe wa Uganda na Jenerali Mstaafu Moses Ali Afariki Dunia akiwa na Miaka 87

    Uganda imepoteza mmoja wa wanasiasa wake wakongwe zaidi baada ya taarifa kuthibitisha kuwa Jenerali mstaafu Moses Ali, Mbunge wa Adjumani West County na aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87. Moses Ali alizaliwa tarehe 5 Aprili 1939 katika...
  18. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa darasa pili

    Habari za jioni? Shule ya msingi ya binafsi ya Kiingereza iliyopo Tanga mjini inatafuta mwalimu mzoefu wa kufundisha darasa la pili. Awe za uzoefu na ari ya kupenda kufundisha watoto wadogo. Tunapendelea zaidi akiwa mwanaume,japokuwa hata wa kike anaruhusiwa kuomba nafasi hii. Mawasiliano...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kidato cha pili Kenya apigwa mpaka kufa kwenye ugomvi wa kuongoza maombi.

    Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
  20. Sanctus Libela

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumwaga raundi ya pili

    Umuofia kwenu wadau...........aisee leo imenilazimu niandike huu uzi maana kuendelea kuficha maradhi aibuuu itaniumbua. Mimi ni kijana miaka 30+ kama nilivyoeleza hapo juu. Kila nikikutana na mpenzi wangu nachelewa kumwaga raundi ya kwanza Dk 10-15 vizuri tu bila shida. Nikimaliza raundi ya...
Back
Top Bottom