siku ya mazingira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi kumwakilisha Rais Samia Siku ya Mazingira Duniani Dodoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk Emmanuel Nchimbi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani, ambapo kitaifa yanafanyika leo Juni 5, 2026 jijini Dodoma katika...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi mgeni rasmi Siku ya Mazingira Duniani Tanzania

    📍JAMBO NI LEO SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MGENI RASMI: BALOZI DKT. EMMANUEL NCHIMBI - Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania. KAULI MBIU: Dira 2050: TUWAJIBIKE KUKIJANISHA TANZANIA.
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mazimgira Duniani yatakayofanyika jijini Dodoma Juni 5 mwaka huu. Katika hafla hiyo, kutafanyia pia uzinduzi wa Programu ya mageuzi ya kimkakati ya Mazingira endelevu Tanzania (2026 - 2030). Akizungumza leo na...
  4. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani katika Picha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Dunianiyaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Dodoma tarehe 05 Juni 2025. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  5. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango ahutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa kwa wadau wote wa mazingira kuendeleza mambo yoteyaliyofanyika katika maadhimisho ya mazingira ikiwa ni pamoja na upandaji miti nauanzishwaji wa bustani za kijani. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati wa...
  6. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Kilele Siku ya Mazingira Duniani: Mazingira yetu na Tanzania Ijayo Tuwajibike Sasa, Dhibiti Matumizi ya Plastiki

    LIVE ON https://www.youtube.com/live/9-KNF76jaQk
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mazingira Duniani: NEMC yaipongeza Muhimbili kwa kutunza mazingira vizuri

    Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 mwezi Juni, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetembelea na kutoa misaada ya kulinda mazingira katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa kukabidhi misaada hiyo...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mazingira Duniani (Juni 05): Tumeshindwa kabisa kudhibiti uchafu wa taka za plastiki?

    Maadhimisho ya Siku hii hufanyika kila Juni 05, na kwa mwaka 2023 yanaangazia zaidi Uchafu wa Mazingira unaotokana na Taka za Plastiki, na jinsi ya kukabiliana nao Zaidi ya Tani Milioni 400 za Plastiki zinatengenezwa Duniani kila mwaka. Inakadiriwa kuwa, Tani Milioni 19 hadi 23 huishia...
Back
Top Bottom