unapenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Unapenda kuvaa Kofia? Style gani Unayoipendelea?

    Kofia kama accessory, wanaume kwa wanawake wanavaa. Nyingi ni unisex. Me napenda sana cap, kichwa kama boga lakini still napenda sana. Challenge kubwa ni joto, jasho linajaa sana nikiwa misele Dar. Kuna hizi za kibabe kama Peaky Blinders ila ukivaa unaonekana dalali, wanavaaga watoto wa...
  2. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Je, Unapenda Maarifa?

    Habari za muda huu wanajf , Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja taarifa hizo na kuzibadilisha kuwa maarifa (knowledge) ndiyo unaotofautisha kati ya mtu anayepiga...
  3. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Je, Unapenda Maarifa?

    Habari za muda huu wanajf , Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja taarifa hizo na kuzibadilisha kuwa maarifa (knowledge) ndiyo unaotofautisha kati ya mtu anayepiga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wadada ni nguo gani ya mpenzi wako unapenda kuivaa?

    Moja ya kitu wanapenda kufanya wanawake wengi ni kuvaa nguo za wenza zao, moja ya nguo huvaliwa zaidi ni Tisheti, japo wapo wanaokwenda mbali zaidi na kuvaa boksa, vesti, soksi, suruali nk ili mradi tu ajisikie raha kuwa amevaa ngo ya mtu anayempenda. Japo wapo baadhi ya Wanaume hawapendi nguo...
  5. ShesRise_1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapenda watoto?

    Unavutiwa kua na mtoto /watoto? Watoto wako wamebadili nini kwenye maisha yako? Wameongeza nini kwenye maisha yako? Mara nyingi mtoto akiwa mchanga huvutia sana Namna alivyo na sura yake ya upole anaporusha miguu na mikono huku akikutazama huwa ni jambo la kupendeza sana kuangalia🤗 Mtoto...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwanini unapenda Kusali misa ya kwanza?

    Kristu Ni Tumanini Letu. Mapendo Daima. Binafisi huwa napenda kusali misa ya 1. Ibada ya misa ya kwanza huanza mapema na kuisha mapema pia. Baada ya hapo unaendelea na kazi zako za kila siku. Je wewe huwa unaenda misa ya ngapi? Nawatakieni ibada njema nyote wakristu wanzangu. Bwana awe Nanyi
  7. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unapenda kuhusu Tanzania 🇹🇿

    Actually nchi yetu Tanzania ina changamoto nyingi sana na huenda zikachukua miongo mingi kuzitatua. Tumekuwa tukilalamikia changamoto nyingi za nchi hii huku wengi wakitamani zitatuliwe, na hii inaonesha kwamba watu wengi wanaipenda nchi yao, haijalishi tunatofautiana mitazamo kiasi gani lakini...
  8. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LOOSE BALL: Kama wewe umewahi kukutana na Loose Balls pitia hapa. Dondosha kisa chako hapa

    Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?. NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Samia kwanini unapenda maigizo!?

    Huyu Samia ni kama alizaliwa kuwa muigizaji akajikuta anapenda uhudumu wa ndege. Isivyo bahati akadondokea kwenye uraisi. Maigizo ya Samia: 1) ety kaanzisha wizara ya vijana hii wizara mbona ipo toka kitambo lakini anavyo ibrend ni kama haikuwepo. 2) Uchunguzi ety ameunda tume huru, huru...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama unapenda muziki utakubaliana na mimi zile amapiano za mwanzo kipindi cha corona zilikuwa noma sana

    Tuwape maua yao South Afrika kipindi kile cha COVID-19 zilidondoka amapiano kila ngoma ilikuwa fire moja kati ya hizo ngoma ilikuwa Jerusalema ya Master KG hili dude lilikuwa habari nyingine aisee. Dude jingine lilikuwa ke star remix ya Focalistic na Davido hatujatulitia wakatuchapa na champion...
  11. The silent smile

    JamiiForums Tanzania Kuna matunda mengi sana, ila mimi nalipenda zaidi hili... Je wewe unapenda lipi zaidi?

    Habari Wadau: Inafahamika kuwa kila binadamu ana kile anachokipenda zaidi, na asichokipenda zaidi katika vyakula na matunda.. Kwenye upande wa matunda nayapenda mengi tuu, ila katika hayo yote kuna tunda nalipenda zaidi na bahati mbaya sikutanagi nalo mara kwa mara, Tunda lenyewe linaitwa...
  12. AskariKanzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni njia gani unapenda kuonyeshwa upendo

    -Maneno matamu -Matendo -Zawadi -Muda wa pamoja -Kuguswa
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Siku ya mazishi yako unapenda nyimbo gani uipendayo ipigwe?

    Kuna nukuu isemayo "An empty mind is a devil workshop" . Sasa hapa katika kuwaza nimejikuta nafikiria itokee labda chance ya ku select nyimbo niipendayo ichezwe katika siku ya mazishi yangu ningetamani nichezewe hii. Ili inisindikize huko kunaposemekana kuna Afterlife...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mambo machache kama unapenda wajapani wakuheshimu na nchi ambazo sio Japani

    Katika mambo ambayo nataka twende kwenye mada kuhusu Wajapani na mataifa ambayo yanaweza kuwa kama japani. Wajapani wakitaka kukuheshimu kuna mambo mengi ila cha kwanza kikubwa. Heshimu maisha yako na watu: Japan ni bora mtu kujiua kama kashindwa kuheshimu maisha yake au watu wake kuliko...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni developer, una Ideas, ya software, unapenda mambo ya Programming Huu uzi ni kwa ajili yako

    Wadau ..kwema bado kumekua na mijadala mingi sana kuhusu Programmers au developers wa Kibongo lakini nitaelezea hapa matatizo kulingana na uzoefu wangu nitaelezea Sababu tatu tuu zinazotufanya developers wa kibongo kuendelea kuwa Maskini. 1.FINANCIAL STABLE Hili ni tatizo kubwa saana...
  16. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kama unapenda mpira fatilia mechi za Pamba Jiji

    Hii team tangu mzunguko wa pili uanze na aichukue baba isaya inapiga mpira jihadi sana ni Raha kuitazama hasa Leo itakapoumana na fountain gate
  17. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania UNAPENDA MOVIE 😋

    movie Time 🔥🔥🔥 Kuna nyakati inabidi tuangalie na sehemu tunazotafuta maisha 😌 Vijana walipoona pesa zinapatikana baharini wakaamua watazitafute kilichotokea hawakusahau kwenye maisha yao yote ✍🏾 Video itizame 👇🏾👇🏾 https://youtu.be/RSPb8d1ofBI
  18. KENZY

    JamiiForums Tanzania Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

    Uzi maalumu kwa wanywa cocktail na mocktail, karibuni tujumuike kujua nini unapenda zaidi na kwanini unakipenda hicho kinywaji!. Kwa ambao hawajaelewa Mocktail ni vinywa vinavyoandaliwa ila vinakuwa havina kilevi, cocktail ni inakilevi huo ndo utofauti kati ya cocktail na mocktail!. Binafsi...
  19. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment

    Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment "Asante Mungu"
  20. realMamy

    JamiiForums Tanzania Unahisi unapenda ulivyo? au kuna kitu kinakusukuma kuwa hivyo?

    Nini kinakulazimisha kuwa kama ulivyo? Tofauti na ulivyo?
Back
Top Bottom