usaili

  1. JanguKamaJangu

    Sekretarieti ya Ajira: Kuna muda umri unazingatiwa kwenye usaili wa ajira lakini kwanza unatakiwa kufaulu

    Je suala la umri na jinsia linazingatiwaje katika mchakato wa ajira? Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira Bi. Lynn Chawala anatoa ufafanuzi. Hayo yameelezwa kupitia chapisho la Mei 30, 2026 wakati wakihojiwa kwenye Kituo cha Channel 10 akiwa pamoja na Katibu...
  2. Abtali Mwerevu

    Mfano wa Maswali ya Usaili PCCB TAKUKURU Mtihani wa Mchujo

    Vijana wengi wameitwa katika usaili wa mchujo TAKUKURU au PCCB. Usaili huu ni wa kuandika na unafanyika kwa njia ya kompyuta. Wengi walioitwa katika usaili, hawajui hasa ni maswali ya aina gani yanatoka. Ni jambo la hatari kwenda katika mtihani ambao hujui maswali yataulizwa kuhusu nini, endapo...
  3. Abtali Mwerevu

    Maswali ya Kujiandaa na Usaili wa Admission Officer II Usaili wa Mchujo IFM

    Tarehe 30, vijana walioomba nafasi za 'admission officer' wanakwenda kukutana na mtihani wa mchujo ili kuweza kuwapata wachache watakopita hatua ya pili. Nafasi hizi zina waombaji zaidi ya 3,000, hivyo kama mtu anahitaji na amepania sana kupata fursa hizi ni lazima ajiandae. Maswali...
  4. A

    KERO Wanaosimamia usaili Sekretarieti ya Ajira huwa hawajali muda, sijui huwa hawajipangi, inakera sana

    Sekretarieti ya Ajira wao huwa wapo strict sana kukusema inapitokea umeitwa katika usaili kisha ukachelewa hata kama ni dakika chache, wanakuona haupo serious kwenye kutafuta kwako, hivyo na wao wawe wanajali muda wanaoupanga kwa ajili ya interview. Haiwezekani wapange mtihani Saa Nne asubuhi...
  5. Songaleli

    Yohana Msita: Sasa tutumie tehama kuajiri | si sawa watahiniwa kubebelea vyeti na vitambulisho kwenye usaili

    Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kidigitali katika mchakato wa ajira kwa kutumia TEHAMA, ili kuondoa usumbufu wa waombaji kubeba vyeti na vitambulisho kila sehemu. Kauli hii ya Mhe. Yohana Msita bungeni inaonyesha mwelekeo wa mageuzi ya kiutawala na utumishi wa umma, ambapo...
  6. A

    Tulifanyishwa usaili wa Clinical Officer tangu 19/12/2025 hadi sasa hatujaona PDF la walioajiriwa

    Mimi ni Afisa Tabibu (Clinical Officer) nilihitimu chuo Mwaka 2020 tulifanya interview tarehe 19/12/2025 ila hadi sasa hatujaona pdf ya walioajiriwa miongoni mwa tuliofanya interview...... Je, zile ajira zilikuwa ni danganya toto kuelekea kwenye uchaguzi?
  7. A

    KERO Wakaguzi wa Usaili wa Sekretarieti ya Ajira wajikague masharti yao wanayotumia yanakwamisha wengi

    Mimi nina dukuduku langu kuhusu recruitment process za sekretarieti ya ajira kupitia Ajira Portal. Tarehe 26/03/2026, nilihudhuria written interview ambayo tarehe na venue nilielekezwa pale IAA Arusha, Post za Accountant Officer 2, baada ya kufika Wakaguzi wakawa wanafanya physical verification...
  8. A

    KERO Waliofanya usaili wa LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya Ajira 17/12/2025 walifeli wote?

    Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja. Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea?
  9. A

    Kwenye usaili secretariet ya ajira inataka uweke na vyeti ambavyo havihusiani na kazi husika

    Mimi nilienda kufanya usaili wa TA tarehe 14.03.2026 nilikuwa shortlisted kwenye mfumo na sifa ilikuwa ni Degree ya HRM sasa nilipo fika nilikuwa na cheti cha degree na transcript, cheti cha form four, cheti cha kuzaliwa, na kitambulisho. Baadae akasema anataka na vyeti vya Ngazi ya chini...
  10. Keyboard_Warrior

    Nimekuwa SHORTLISTED kada zaidi ya 3, naweza kufanya usaili kada zote au natakiwa kuchagua moja tu?

    Habari guys? Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini. Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3. Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
  11. M

    Kitu gani ulikiona kwenye Usaili ukajua kabisa hapa kazi hakuna?

    Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa Hupai kazi au Nafasi ina wenyewe Mfano, kuna Sehemu niliwahi kuitwa kwenye usaili, nafasi za kazi...
  12. A

    KERO Usaili wa Kozi za Sayansi Asilia(Natural Science) zinazotolewa CNMS pale UDOM Usitishwe au Upungue

    Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni. Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na Future inayoleleweka. Serikali isiimize watu kusoma masomo ya Sayansi ikiwa wabobezi wa hayo...
  13. T

    Tangazo la usaili bungeni walioomba kazi

  14. N

    HR na Maboss punguzeni ukabila wakati wa usaili

    Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
  15. Last sentinel

    UPDATES ZA USAILI WA ONLINE TUNAUPATIA WAPI?

    Hellw jf,kwa usaili wa online updates tunapata wap maan ni week moja sasa tokea waseme tutajulishwa kwny akaunt zetu na tovuti lakini ni bila bila,hamna kitu.
  16. M

    Usaili wa mchujo wa Foreign Service Officer unakuwaje?

    Habari zenu wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usaili wa hiyo kada hapo juu anipe muongozo wa aina ya maswali aliyokutana nayo hapo nyuma - Nitashuru sana.
  17. Damaso

    Wale Waliowahi Kufanya Usaili wa Kwanza Tume ya Utumishi Mahakama Mwaka 2024 Mpo? Tupe Ushuhuda Wako!

    Habari ndugu wanajukwaa, Tumeona orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa kwanza wa Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) imetoka rasmi. Wengi wa ndugu zetu na marafiki wamebahatika kuchaguliwa. Kwa wale mliowahi kufanya usaili huu mwaka 2024 — tunaomba mtushirikishe uzoefu wenu: 🔹 Maswali...
  18. I

    PSRS: Nitajuaje zoezi la kupangia Watu kazi limefungwa au kufaulu?

    Habari wanabodi. Mimi ni mmoja wa watu waliofanya saili wa kuhojiwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Sina hakika kama nilifikisha maksi za kufaulu au la. Nimekuwa nikitembelea ajira portal ,status bado ni ileile ya kuitwa kwenye usaili wa mahojiano(SIJUI KAMA HUWA INABADILIKA)...
  19. S

    Usaili wa kuandika msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili

    Tafadhali mwenye maswali ya usahili utumishi msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili au whatsup group anisaidie
  20. Masai wa Town

    Waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili?

    Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni tofauti na vya written
Back
Top Bottom