Wale tunaoishi na kufanya shughuli zetu Pugu Road, kuanzia Vingunguti hadi Jet Corner kipindi cha nyuma eneo hilo lilikuwa na hali ya hewa nzuri, lakini siku hizi hali imebadilika, kumekuwa na harufu mbaya na nzito ambayo wakati mwingine inafanya iwe vigumu hata kufanya kazi na kuendelea na...
Anonymous
Thread
harufu
kali
mazingira
ni nini
njia
pugu
tatizo
uchunguzi
wakazi
waomba
Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu ulokua unawakumba mara kwa mara kutokana na adha ya maji.
Baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza...
16 Julai 2026
Mkurugenzi Mkuu,
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA),
S.L.P 944
Dar es Salaam.
Ndugu CPA, Dkt. Habibu J. Suluo
YAH: MAOMBI YA KUFUNGUA NA KUSAJILI NJIA MPYA YA DALADALA (MAKUMBUSHO – MAWASILIANO – UDSM – CHANGANYIKENI – GOBA NJIA NNE)
Tafadhali husika na kichwa cha...
Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Mikataba inaonesha tumeajiriwa na Wazazi na si TAMISEMI, tuna mazingira magumu.
Ujumbe wa Walimu wa Mkataba chini ya mradi wa GPE-TSSP, Juni 26, 2026:
Napenda kuwasilisha kwenu baadhi ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo sisi walimu wa mkataba chini...
Takriban Wakenya 50 wanaoishi South Africa kupitia kundi la Kenyan Diaspora in South Africa (KEDASA) wameiomba serikali ya Kenya kuingilia kati na kuwasaidia kurejea nyumbani kutokana na hali ya usalama inayozidi kuwa mbaya.
According to reports, wengi wao wamepoteza ajira, wamekuwa wakikumbana...
Wapangaji waliokuwa wakiishi katika nyumba namba 59, kwenye viwanja namba 169, 171 na 173, Kitalu “F”, mtaa wa Mnyampala, Kata ya Nyamanoro, Wilaya ya Ilemela, wameiomba serikali iingilie kati na kuwasaidia kupata haki zao baada ya kufukuzwa na kutolewa nje ya nyumba walizokuwa wakiishi...
Wafanyakazi kutoka idara tofauti mkoani Geita, wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwaajili ya vifurushi vya Intaneti, ili kuwawezeaha utumaji wa taarifa na madokezo kwa waajiri wao kwa wakati.
Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha nchini na baadhi ya watumishi kuishi...
Ndo maana CAF hawataki Serikali kujihusisha na Mpira.
Wasaidizi wa anayejiita Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, waomba AFCON iahirishwe hadi 2028.
Wanadai Viwanja na maandalizi hayatakuwa yamekamilika. Wanadai eti Kenya itakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu kwamba kunaweza kukatokea Vurugu...
Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za kiuchumi na biashara, hasa Desemba ambayo mara nyingi huwa mwezi wenye faida. Mfanyabiashara wa vifaa...
Wazazi na Walezi wa Manispaa ya Mtwara–Mikindani mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuendeleza programu maalum ya kuwaweka kambi Wanafunzi wenye ufaulu wa mdogo ili kuongeza kiwango cha ufaulu.Ombi hilo limetolewa mara baada ya matokeo ya mtihani wa MOCK wa kidato cha nne ngazi ya Mkoa kuonyesha...
Taarifa za ndani kutoka jeshi la polisi, ni kwamba zaidi ya polisi 100 wameomba kuacha kazi ya Upolis with immediate effect.
Shida kubwa ni walichokiona tarehe 29/10/2025 na hofu ya maandamano ya tarehe 09/12/2025.
Jeshi linakataa kuwakubalia. Vikao vinafanyika na viongozi wa kisiasa juu ya...
Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati mgumu ambapo ufisadi na rushwa vimezidi kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Miundombinu yetu ambayo...
Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai kuna mambo yanayoendelea na yanachangia kukipunguzia nguvu chama hicho.
Wameyasema hayo August 19...
Akizungumza na waandishi wa habari kada wa CCM Salimu Nyomolelo, ameomba uchaguzi wa Wilaya ya Mufindi Kusini usifanyike usogezwe mbele ili uchunguzi ufanyike kwa mwenyekiti na Katibu, ikidaiwa mmoja wa Mgombea wa Jimbo la Mufindi Kusini alitoa Rushwa ya gari kwa Mwenyekiti na Katibu wa Chama...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa rasmi ya hitilafu kubwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa, iliyotokea majira ya saa 2:36 asubuhi na kusababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika mikoa yote inayounganishwa na gridi hiyo.
Kwa mujibu wa TANESCO, timu ya wataalamu inaendelea...
Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao.
Rai yangu kwa CCM...
Kesi ya Jinai nambari 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya kilichotokea mahakamani leo.
____
JAMHURI: Mheshimiwa, ikupendeze, naitwa Wakili wa Serikali Mwandamizi, Clemence Kato, nikishirikiana...
Hakuna Watu rahisi kuwagombanisha kama Wavaa Kobazi.
Je unajua Iran Taifa la kiislam Lina ugomvi mkubwa wa maji na mpaka na Taliban.
Katika Hali isiyotarajiwa Taliban yapendekeza Marekani ifungue upya kambi ya Jeshi Afghanistan
https://x.com/sentdefender/status/1909464893146755377
Note: zile...
WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii.
Hayo yameelezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.