maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa IAA, tafadhali chukueni kwa uzito suala la weledi, maadili ya ufundishaji na usimamizi wa mitihani

    Kuna malalamiko yanayojirudia kutoka kwa wanafunzi, hasa katika ngazi ya Master’s, kuhusu namna baadhi ya mambo yanavyosimamiwa chuoni. Hili si suala la mwanafunzi mmoja; ni jambo ambalo wanafunzi wengi wamekuwa wakilizungumzia na kujaribu kulifuatilia bila kupata majibu au suluhisho la...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maadili ya CCM ni yapi ?

    Maadili ya CCM ni yapi ?
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hii ndo maana halisi ya "Rule of Law" tuheshimu Sheria za Nchi hakuna msalia mtume kwenye kusimamia maadili ya Taifa

    Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭 Sheria zipo na hazimuogopi mtu. Mtu mmoja...
  4. Street brain

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya 'Uhandisi wa maadili ya kina' (Hyper-Moral Architecture): Silaha ya siri ya kulinda akili yako dhidi ya utekaji wa kidijitali

    Mwanafalsafa Friedrich Nietzsche aliwahi kuandika: "Yeyote anayepambana na monsters anapaswa kuangalia asije akawa monster mwenyewe." Kwenye ulimwengu wa leo, kila mtu anatafuta mbinu za "kijasusi" ili kuwazidi wengine kete (manipulation, dark psychology, na power moves). Lakini leo nataka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, Kamati Ndogo ya Maadili Ina uwezo wa kumvua uanachama VP???

    Kumbukumbu zinaonyesha, Kamati Ndogo ya Maadili ilishawahi kumvua uanachama aliyekuwa Jasusi Mbobevu ambaye kwa Sasa ni Marehemu. Jibu ni Ndiyo inayo uwezo huo. Na endapo ikitokea, je Tutegemee safi Mpya ya Uongozi??? Jibu ni Ndiyo, tutegemee PM wa Sasa kuwa VP, na Minister wa Sports wa Sasa...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mkoa unakosa maadili kama Dar?

    Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee. Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa...
  7. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Nawashauri wazazi ukiona binti yako ni mpole na mwenye maadili ya kweli fanya ukale wa kumtafutia mchumba asizeekee nyumbani

    Kuna mabinti wanajiheshimu sana hata ile namna ya kumfuata kumtongoza huwezi ipata kabisa na mara nyingi huwa wamenyooka katika maongezi yao Kuna mmoja nakutana nae kwenye mitikasi yangu na namjua pia, hadi sasa hana mtoto wala hajaolewa kimuonekano ni mtu wa 1980s hivi huwa najiambia ningekuwa...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania October 29 Ilichangiwa na Kauli Mbofu Mbofu za Viongozi Kinyume cha Maadiili!, Je Media Tuwaripoti Bila Uoga ili Secretarieti ya Maadili Iwakemee au?

    Wanabodi, Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, Je Media tuwaripoti viongozi hao bila uoga na Secretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, ianze utaratibu wa kuwakeme kama afanyavyo Msajili wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigamboni Dar: Wazazi waendelea kumsihi mmliki wa shule kumuondoa Mwalimu Mkuu anayeelezwa kuwa na historia ya maadili mabovu

    Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence Girls' Islamic Seminary ' iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam wameendelea kutoa wito kwa mmliki wa shule hiyo kumuondoa mwalimu mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni, kwa madai ya kwamba...
  10. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Vurugu zilizotokea ziongezwe kwenye somo la historia ya Tanzania na maadili.

    Huu ni mtazamo wangu binafsi Kwakua Tanzania haijawahi kushuhudia vurugu za aina yeyote suala hili lingeongezwa kwenye somo la historia ya Tanzania na maadili ili kuonesha chanzo cha vurugu ,namna ya vurugu zilivyomalizika,jitihada za serikali zilizochukuliwaa. Lakini pia elimu kwa vijana...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanu: Wanafunzi kuandika Matusi kwenye Mitihani, tatizo ni kukosa maadili

    "Serikali kupitia Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) ilifanya utafiti na kubaini kuwa sababu za wanafunzi kuandika lugha zisizo na staha kwenye karatasi za mitihani ni mmonyoko wa maadili, msongo wa mawazo, na kukata tamaa kitaaluma." "Matahiniwa anayeandika matusi kwenye karatasi ya jibu...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania na Maadili: Shule za Sekondari Kitabu cha Mwanafunzi Kidato Cha Tano

    Kuna ajuaye yaliyomo kwenye kitabu hiki?
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Tanzania na Maadili: Kitabu Cha Mwanafunzi Kidato Cha Kwanza

    Yupo ajuaye kitabu hiki kinafundisha nini?
  14. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Vijana watakiwa kuwa nguzo ya maadili na ujenzi wa Taifa katika kumbukizi ya miaka 104 ya Baba wa Taifa

    Dodoma, Aprili 11, 2026 Kongamano la vijana ya kumbukizi ya miaka 104 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, limefanyika leo Jumamosi katika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kongamano hilo limewakutanisha viongozi wa serikali, wanafunzi na vijana kutoka maeneo...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi akutana na viongozi wa dini, wajadili mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Makao Makuu ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mgambo wa maadili wa Sharia wavamia lodge kutandika watu wakati wa Eid nchini Nigeria

    Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja. Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi hawana maadili unategemeaje vijana wawe na maadili?

    Hamjambo wote! 1. Mara zote maadili huharibiwa na viongozi, wazazi na wakubwa. 2. Viongozi na wazazi au wakubwa wakiwa na maadili automatically watoto, wadogo na waliochini watakuwa na maadili. 3. Sio maadili ya kuhubiri mimbarani, au kwenye majukwaa kama kasuku. Huo ni ukasuku. Huwezi sema...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi: Machafuko na uhalifu unaoendelea leo duniani unatokana na mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asisitiza amani, maadili na ushirikiano na taasisi za dini

    WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI ▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini ▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Katika miaka michache iliyopita kumekuwa na matatizo ya kuporomoka kwa maadili katika nchi yetu

    Wakuu, Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati Kardinali Pengo alikuwa ni mtu anayekumbusha umuhimu wa maadili
Back
Top Bottom