Katika hali ya kusikitisha, chuo hiki kikubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, chenye majengo makubwa na mazuri, kinakabiliwa na changamoto ya ukarabati na usafi. Baadhi ya maeneo, hususan vyoo, yamekuwa katika hali isiyoridhisha kutokana na kutofanyiwa matengenezo ya mara kwa mara.
Ni...
Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii.
Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida...
Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi.
Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza au kuwapokea ndugu zao, pamoja na wapita njia, kupata huduma bila kulazimika kuingia ndani ya vituo...
Anonymous
Thread
mabasi
maeneo
msongamano
nje
public
public toilets
ukosefu
umma
vituo
vyoovyoo vya umma
Soma pia: Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi
Kufuatia malalamiko ya watumiaji wa stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusu ufinyu wa vyoo kwa abiria, Meneja wa stendi hiyo, Isaac Kasebo amesema vyoo vilivyopo vinatosha, ila tatizo abiria wengi hawajajua...
Ujumbe nitakaoutuma, naomba huu ujumbe ufike, niombi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mimi nimeingia leo kutoka safari, tumefikishwa Mbezi... waitwaje ile stendi mpya? Mbezi Magufuli. Ningeomba Mkuu wa Mkoa au yule aliyeweka lile jambo, enda katembelee ile sehemu. Je, yastahili kuwapeleka watu...
Naandika uzi huu kufikisha kwa CEO na Uongozi wa Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) baadhi ya kero zinazowakabili wananchi na wasafiri wanapotumia huduma za stendi hiyo.
Sisi kama wananchi hatupingi kulipa TSh 300 za kiingilio, kwa kuwa tunaelewa kuwa tozo hiyo inalenga kuchangia...
Anonymous
Thread
bus
bus terminal
kero
magufuli
magufuli bus terminal
unyonyaji
vyoo
wizi
Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi.
Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
Anonymous
Thread
bado
kazi
mawasiliano
mwezi
simu 2000
soko
stendi
stendi mawasiliano
ubungo
vyoo
Nikiwa nasafiri nilipita katika standi hiyo nikiwa natafuta gari la kuunganisha kwenda mikoa ya kanda ya ziwa hivyo hivyo ikabidi niende chooni
Japo huduma ni ya kulipia ila mazingira yake Sio mazuri mfano katika upande Wa masinki ya kuwanawia maji mengine hayatoi maji na mengine hayapo...
Anonymous
Thread
dodoma
miundombinu
nanenane
nanenane dodoma
ubovu
ubovu wa miundombinu
vyoo
Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni.
Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
Anonymous
Thread
baada
huduma
katika
kituo
kituo cha mwendokasi
kivukoni
kusitishwa
mmoja
mwaka
mwaka mmoja
mwendokasi
mwendokasi kivukoni
vyoo
Hivyo ni vyoo vya Stendi hapa Ifakara na wananchi wanalipia na receipt juu lakini unaingia ndani unakuta hali kama hiyo hata usafi wa kumwaga maji ya sabuni hakuna.
Pia kama una hela kuazia jero wanakata 300, ila kama una 200 unaingia kwa hiyohiyo
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetoa documentary fupi ambayo inaonesha kuwa suala la changamoto ya usafi katika vyoo vya majengo ya chuo hicho umefanyiwa kazi na kwamba vyoo ni visafi.
Ikumbukwe kuwa mara kadhaa Wadau tofauti wa JamiiForums.com wamekuwa wakidai kuna changamoto ya usafi katika...
Wakuu, Mimi naona aya mambo ya kizungu sana, sisi wa matumbi tuliokulia mpwimbwe katavi naona kama ni mageni sana.
Niko kwa hotel moja hapa nusu saa imepita sijui cha kufanya, ukikaa kwenye hiki choo mjeredi unagusa sink, hujui wangapi wamekaa hapo, na imagine ata nikikaa mzigo hautoki nikisema...
Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi.
Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni...
Kama wewe ndo ulitoa amri waue watoto wetu, basi jiuzuru wewe wao waendelee kukalia hivyo viti
Lakini wao wapo na wewe upo ili Taifa halitopona mkuu achia nchi life lisonge
Uliowaua wanalia MIKONOni mwakoooo!
Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya
Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna...
Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi Mkata iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa vyoo hivyo unalenga kutimiza...
Kampuni ya mabasi Shabbiy Bus imefanya maboresho ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali vilikuwa katika hali ya uchakavu, hatua inayolenga kuboresha mazingira na ustawi wa wasafiri.
Mbali na marekebisho hayo, kampuni hiyo inaendelea na ukarabati mkubwa wa...
Uongozi wa Jiji la Mbeya uangalie namna ya kufanya kuhusu Vyoo vilivyopo katika Soko jipya la Mbeya.
Sinki ni la bati na uchafu unabaki kwenye bati la pembeni. Kwa ufupi mazingira ni machafu.
Wahusika wanaangalia tu hela wanazowatoza watu kutumia lakini katika sula la usafi ni 0%.
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000)
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea.
Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF likieleza changamoto za miundombinu hiyo, hususan baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.