kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta inaweza kushuka zaidi kwa kupunguza kodi, tozo

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetangaza habari njema kwa watumiaji wa vyombo vya moto na mitambo nchini, kwa kushusha bei za mafuta. Kuanzia Jumatano ya Septemba 2, 2026, bei ya petroli imeshuka kwa Sh102 kwa lita, huku dizeli ikipungua kwa Sh101 kwa...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu El -Nino na kupunguza vifo!

    Tusiwe serious na namba zinazotajwa. Tuchukue tahdhari, Mvua zitasomba watu , kuanzia Kinyerezi, Tabata, Kigogo, Jangwani. Mvua zitaangusha kuta dhaifu na kuua watu. Radi zitapiga majengo marefu yasiyo na mfumo wa kuzuia radi, zitapiga magari yasiyo na kuzuizi na kulipuka. Ligi kuu itabidi...
  3. idiomer

    JamiiForums Tanzania Faida ya kupunguza faida katika majiji

    1. Kwanza itaboresha ufanisi wa kazi maofisini. Wafanya kazi watawahi kuwahudumia watanzania. 2. Itaongeza kipato kwa wafanyabiashara kwani watahi kufungua biashara zao na kama kuna wafanyabiashara walikuwa wanashindwa kuwawahi watawawahi. 3. Kodi ya serikali itapanda kwani wafanyabiashara...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania UNICEF Yaipongeza Tanzania Kwa Maendeleo ya Afya, Lishe na Ustawi wa Watoto

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto (UNICEF) limeipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua kubwa zilizopigwa katika kuboresha afya, lishe, elimu na ustawi wa watoto, na kuahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo yaliyoainishwa...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Ozempic ya kupunguza uzito imetufikia bongo?

    Dawa hii imekuwa mkombozi sana kwa watu wanaotaka kupunguza uzito. Kwa sababu ya bei ilikuwa inapatikana kwa matajiri tu. Karibuni walisema brands mbalimbali za bei rahisi zitaanza kupatikana. Zimetufikia maana naona na mastaa wa bongo wanaanza kukonda ghafla.
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Omondi Adai Gen Z Wamekusanya Signatures 430,000 za Referendum Kupunguza Counties Kutoka 47 Hadi 8

    Stand-up comedian na human rights activist Eric Omondi amesema kampeni yake inayoongozwa na Gen Z tayari imekusanya zaidi ya signatures 430,000 zinazounga mkono referendum ya kubadilisha Katiba ili kupunguza idadi ya counties kutoka 47 hadi 8 za zamani. Akizungumza kwenye mahojiano na vyombo...
  7. Soul21

    JamiiForums Tanzania Asante katambi kwa kupunguza vurugu za kisiasa nchini

    Mimi ni kijana amabye duka langu la simu mwaka jana lilivunjwa na kuibiwa na hata kupata hasara ya milion hamsini. Kelele za siasa zimeendelea kufanya hata sisi wafanya biashara kutokuweza kutulia na kuwa na amani kwa sababu ya harakati za kisiasa ambazo haziishi na kuturuhusu kufanya kazi na...
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Leo nilikua hapa kupunguza mawazo na kucheza golf 🤣

    Life is bitch everything came an Go.
  9. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

    Uzi huu ni kwa ajili ya watu wa mazoezi wanaoenda gym au wale wanaofanya mazoezi makali iwe ya kukimbia, mazoezi ya viungo au high intensity interval training (HIIT) au kunyanyua vitu vizito. Je unatumia njia gani kurecover after mazoezi? Especially kama unafanya siku 3 mpaka 5 kwa week? 1...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wenye Shahada za elimu katika masomo ya sanaa wasiajiriwe shule za msingi ili kupunguza idadi ya wahitimu wa fani hizo mitaani?

    Huu ni mjadala huru : Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao. Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Hesabu;Tumia Kigawe Kikubwa cha shirika (KKS) kupata size ya tiles na kupunguza upotevu(kukata kata).

    Wengi huwa tunajiuliza umuhimu wa hesabu mbali mbali tulizofundishwa mashuleni/vyuoni.Ukweli ni kwamba hesabu zote zina matumizi muhimu sana katika maisha yetu. Kigawe kikubwa cha shirika (KKS) kinaweza kukusaidia kujua size ya tiles ili kupunguza upotevu (wastage) inayotokana na kukata kata...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani kupunguza balozi zake Afrika zinazotoa visa

    Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya balozi zake barani Afrika zinazoshughulikia maombi ya visa, hatua inayotarajiwa kuongeza udhibiti kwa wanaotafuta vibali vya kuingia nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Associated Press (AP), mpango huo utaifanya...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hizi Drama zilizofanyika Ukonga Prison zitasaidia rais Samia kupunguza kuchukiwa na wananchi?

    Nimeona wanataka aonekane ni rais wa watu na kiongozi mwenye huruma. Lakini kila kona Watanzania wanasema ni maigizo ten ya kitoto. Mfano rais Kumuwekea mfungwa sikio ili anog'onezwe. Kupiga picha na wafungwa wakiwa wamekaribiana. Lakini kidonda cha Oktoba 29 hakiwezi kumalizwa kwa drama...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wakati Uswiss katika kupunguza uchafuzi wa Mazingira wanajenga Reli kwenda Italia , Sisi tunakwamisha Miradi yetu ya Reli.

    Switzerland sustainability goals in usage of Rail transport more than road transport Switzerland has adopted an ambitious long-term climate strategy to achieve net-zero greenhouse gas emissions by 2050, with a core focus on shifting traffic from road to rail, particularly for freight and...
  15. La gioconda

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza uzito

    Skip breakfast mchana kula kwa kiasi tena mchemsho mpaka kesho mchana tena Achana na sukari mafuta pombe na vyakula vya kukaanga, yote kwa yote fasting ndio mpango mzima
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awataka Ma RC na Ma DC kupunguza idadi ya magari kwenye ziara, ampongeza RC Dodoma kutumia gari moja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza matumizi ya mafuta kwa kutumia magari machache kwenye ziara za...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara ya kupunguza foleni Dodoma ni mpya lakini imejengwa kizamani, hakuna sehemu ya gari kupaki kwa dharura

    Pia soma:TANROADS: Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) haijakamilika rasmi, inatumika kwa dharura
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tunajikita kuongeza magereza zaidi badala kupunguza uhalifu

    Wakati nchi za Ulaya Magereza yanakosa wafungwa huku sisi tunajikita zaidi tuongeze magereza zaidi kuliko kupunguza uhalifu hii maana yake nini ? Tutegemee kesi za kusingiziwa na kubambikwa kuongezeka kwa kasi zaidi Tutegemee ongezeko la uharifu zaidi
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi ni wepesi kuvutiwa kimapenzi unapowafariji, nimekuwa makini kuzingatia mipaka kwenye ufariji kupunguza msururu wa wake za watu inbox

    Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k. Na hiki ndicho kilichonibadilisha taswira yangu ya kuona wanawake wanavyopenda kwenda makanisani, huwa...
  20. Informer

    JamiiForums Tanzania Zambia yasitisha Kodi (VAT na Excise Duty) kwenye Mafuta kupunguza makali ya maisha

    Habari za wakati huu Wana-JF, Kufuatia mabadiliko ya bei za nishati duniani, Serikali ya Zambia imechukua hatua za dharura kunusuru uchumi wake. Kuanzia tarehe 1 Aprili, 2026, serikali hiyo imesitisha ushuru wa bidhaa (Excise Duty) na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye uagizaji wa...
Back
Top Bottom