Kwenu NEMC;
Ninaandika kuhusiana na wasiwasi wangu juu ya hali ya uchafu wa mazingira katika miji yetu. Inasikitisha kuona taka zikitapakaa barabarani, katika maeneo ya wazi, masokoni, kwenye mifereji ya maji na maeneo ya makazi, hali inayosababisha mazingira yasiyo safi na kuhatarisha afya ya...