cag

 1. H

  Tofauti kati ya IAG na CAG yan mkaguz mkuu wa serikal

  Kwa anaejua utofaut kati ya IAG na CAG kweny mlengo wa majukum yao ya kazi
 2. Nigrastratatract

  Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

  Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
 3. B

  CAG fanya ukaguzi maalum kwa waliotumbuliwa ili kuona hasara Taifa iliyopata na ushauri mbinu kukabiliana na utumbuaji usio na tija

  Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila siku na bila hoja ya msingi. Clip ikirushwa mtandaoni tayari mtu amefukuzwa kazi bila kujali uhusika...
 4. Roving Journalist

  Ileje, Songwe: Hoja 38 za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) tangu 2009 bado hazijajibiwa

  ILEJE: Hoja 38 za tangu 2009 bado hazijajibiwa RC Mgumba ageuka mbogo kwa Baraza la Madiwani. SONGWE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amegeuka mbogo kwenye Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ileje baada ya taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG kuonyesha...
 5. Shujaa Mwendazake

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

  Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
 6. J

  Sijaelewa: Ziara ya waziri mkuu Majaliwa pale Hazina inahusiana na ile report CAG aliyoagizwa na Rais Samia?

  Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi. Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake? Nasubiri ufafanuzi.
 7. J

  Spika Ndugai ataka PAC kuwahoji watendaji wa Tanesco, TRC, Muhimbili na Posta kwanini hawakupeleka mahesabu kwa CAG!

  Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG. Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma PAC kuwaita watendaji wa mashirika hayo na ikiwezekana wataishauri serikali ivunje bodo za mashirika...
 8. Stuxnet

  Thamani ya Dawa na Vifaa Tiba Vilivyo Expaya MSD ni Zaidi ya Tsh 20 Billion; CAG Hajaripoti

  Wakati wananchi wanalalamika ukosefu wa dawa kwenye hospitali na zahanati, yasemekana kwenye Bohari Kuu ya Madawa (MSD) kuna dawa zilizo expaya za thamani ya zaidi Tsh Bilion 20. Nimepitia ripoti ya CAG ya mwaka 2019/20 kwa haraka haraka sijaona hoja ya ukaguzi kuhusu dawa zilizo expaya. Je...
 9. Chief Kabikula

  Iko wapi Ripoti Maalum ya CAG iliyoagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan siku akiapisha mawaziri?

  Wadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini haikusomwa, nini kinafichwa?
 10. S

  Ripoti ya CAG ya 2019/2020 imepita na madudu yake na tumeshasahau, tunasubiri ya 2020/2021 tupige tena kelele kama mazuzu

  Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wadanganyika watu wa maneno mengi mitandaoni pasipo uthubutu wa kutaka kuona wahusika wa madudu katika ripoti hizi wanachukuliwa hatua. Tusubiri na ripoti sijui ya kuchunguza madudu huko BOT tupige kelele kama tumewehuka then tujikalie kimya kama mandondocha...
 11. J

  CAG mstaafu Uttoh alikuwa sahihi kwamba kinacholipwa na baadhi ya mashirika siyo dividend bali ni kitu kingine

  Rais Samia amesema menejimenti na bodi za baadhi ya mashirika wamekuwa wakitafuta fedha huku na kule waweze kulipa gawio serikalini ili kulinda ajira zao. CPA Uttoh alisema dividend hulipwa kutoka kwenye faida na siyo vinginevyo. Ramadhan Kareem!
 12. Yoda

  Watetezi wa 'Legacy' ni kipi katika haya mabadiliko msichokipenda?

  Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote? Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali? Hamfurahii kuona magazeti yameanza kuvutia wasomaji tena? Hamfurahii kuona ada tata za YouTube zinaanza kuondolewa...
 13. M

  CAG TOA MADUDU YOTE USIHOFIE,WANANCHI TUPO NYUMA YAKO.UKUMBUKE MWENYEZI MUNGU ANAKUANGALIA.

  Kwa kifupi,Mh CAG sisi wananchi tupo nyuma yako. Mwogope Muumba Mbingu na Ardhi tu. Tumesikia mengi kuhusu kukwapuliwa kwa mabilioni katika maeneo nyeti. Tumeziona kwenye mitandao mbalimbali. Ukweli wote unao wewe. Ukisema ukweli Mwenyezi Mungu atakubariki Duniani na Akhera. Nakutakia daima kazi...
 14. ACT Wazalendo

  ACT Wazalendo Yamtaka CAG Kukagua Fedha za Muungano

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) afanye ukaguzi maalum wa Akaunti ya Pamoja ya Fedha za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni fungamano baina ya nchi mbili huru, Tanganyika na Zanzibar, zilizoungana na kuweka...
 15. J

  Mtihani: CAG mstaafu azitaka kamati za bunge PAC na LAAC zitembelee taasisi zenye hati chafu badala ya kukimbilia kwenye hati Safi!

  CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea. Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG...
 16. Krav Maga

  Ex - CAG Uttoh: Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yanatoa 'Gawio' Serikalini Kimakosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza

  " Siyo sahihi kwamba kila Shirika au Kampuni Kisheria linatakiwa kutoa Gawio kwa Serikali. Ni bahati mbaya mno Watu hatupendi Kusoma Sheria na Taratibu mbalimbali na tukitishwa tu tunalegea na kutoa. Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yakitoa Gawio kwa Makosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa...
 17. J

  CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

  CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake. Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends. Uttoh amesema...
 18. J

  Kwanini wabunge wanaichambua hotuba ya Mbowe na hawaigusi kabisa ile ya Zitto kuhusu CAG?

  Ikumbukwe kuwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe walitoa hotuba zao siku moja ila walipishana masaa tu. Zitto Kabwe alijikita kwenye ripoti ya CAG na akaelezea ubadhirifu katika maeneo kadhaa ikiwemo ATCL. Freeman Mbowe yeye alijikita kuuelezea utawala wa awamu ya tano ulivyohitimika na kuanza kwa...
 19. Idugunde

  Wapinzani walidhani ripoti ya CAG itawapaisha lakini wameambulia patupu. Sasa wanatakiwa wasiwe wanakurupuka

  Mantiki ya kisiasa ya wapinzani wa kisiasa hapa Bongo hasa ACT wazalendo na Chadema kuwa ikitokea kuna suala fulani ndio iwe upenyo wa kupata kick za kisiasa sasa hivi halina nafasi tena. Maana watanzania wanafanya mambo yao kwa kutumia busara. Huwezi ukawq upo Dubai umejifungia na kudhani...
Top Bottom