muvi

Muvi TV is a private television station in Lusaka, Zambia. It was formed in 2007 and is one of the 4 major private stations in Zambia. It has faced major government shutdowns in the past due to its reporting of critical issues.In 2011, president Rupiah Banda ordered the closure of the station just before the general elections.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Oppenheimer ni zaidi ya muvi

  2. U

    Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  3. Da'Vinci

    Mwanzo mwisho jinsi Filamu ya Moana ilivyotengenezwa. What a masterpiece!

    Aloha kakahiaka.... 👋👋 Kama wewe ni mpenzi wa kutazama mieleka kwa muda mrefu na unawafahamu baadhi ya wacheza mieleka utagundua kwamba michoro/tattoo zilizopo kwenye mikono na mabega ya The Rock (Dwayne Johnson), Roman Reign, Jimmy and Jey (the Usos), umaga nk zinafanana. Sababu inayofanya...
  4. Da'Vinci

    Muvi na series zilizoandikwa vizuri

    Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script, lakini hata hao waandishi waliopo hawana uwezo wala elimu ya Screenwriting. Binafsi moja ya vitu...
  5. Willy T

    Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la movie Death race Kuna moja mauwaji ya #Rebel
  6. L

    Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    Nawasalimu kwa Jina la jamiiforums, stori ziendelee. wana JF napenda sana muvi za hisia zile mtu unatazama hadi unatoka machozi. Tunaomba kwa yeyote anaezifahamu muvi za kutoa machozi aweke hapa jina la muvi tukazitafute.
  7. Mtemi Eno

    Kwa wapenda muvi na series, hii ndio mbinu rahisi ya kuzidownload

    Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series -Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1 -1080p zina GB 1.5 hadi 2 -Series za 720p zina MB 250 hadi 400 -1080p ni MB 500 hadi 800
  8. Mtemi Eno

    Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

    Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB. Hii njia ipo fresh.
  9. Mtemi Eno

    Kama unapenda kutunza kumbu kumbu za muvi / series, hii itakufaa.

    Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya...
  10. sky soldier

    TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

    Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi. Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike. ITAENDELEA!!
  11. Dr am 4 real PhD

    Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

    Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote... Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho.... Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga.... Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano... Hii muvi inakukumbusha nini?
  12. Da'Vinci

    Kumbukizi: Jinsi muvi ya Kichina ilivyomtoa Rapa RZA

    When I was young and stupid kama ungeniuliza ni mji gani ungependa kutembelea duniani basi ningekuambia mji wa Canton, Canton ni mji ulio kando ya bahari katika nchi ya china lakini kwa sasa hivi uniatwa Guangzhou. Sababu ya mimi kupenda mji huo ni kwakua those time nilikua mpenzi sana wa muvi...
  13. NetMaster

    kwenye laptop ni kiwango kipi cha audio kinatosha kwenye kuangalia movie kati ya 768 kpbs, 320 kbps, 128 kbps au 64 kbps ?

    kwenye audio kuna option ta 32 kbps, 64 kbps, 128 kbps, 320 kbps na hii DD+ atmos 768 kbps. Nimevutiwa na namba kubwa, laptops zetu hizi za kawaida kuna haja ya kushusha huo mzigo wenye 768 kbps ??
  14. Kilimbatz

    Ukiacha kwenye cinema wapi naweza kuangalia muvi ya avatar?

    Kwa sasa nipo bush na sina uhakika wa kurudi town hivi karibuni Je kuna yakuniwezesha kuangalia muvi hii?
  15. sky soldier

    Je, Ukiwa upo vizuri kiuchumi na wanawake wengi wanazipenda hela zako, unaweza kupata mke Loyal kwa kujifanya masikini kama kwenye muvi za wanaijeria?

    Ni kazi sana mwanamke kujuia na pesa za mwanaume labda awe ni mtoo wa kishua au ana kazi yake inamlipa fresh, Hali hii imepelekea vijana wengi wenye pesa kutembea ama kuoa wanawake wanaojali pesa zao tu, na endapo kukawa kuna mtu mwenye pesa zaidi basi hawajiulizi mara mbili kukuacha ama...
  16. my name is my name

    Hivi hawa Bongo Movie wanatuonaje?

    Leo nikasema ngoja niangalie vya nyumbani nimefungua YouTube. Nikawa naangalia tamthilia moja ya bongo muvi, asa kuna sehem mama mjamzito amepigwa risasi basi watu waliomzunguuka wakaita ambulance. "hallo ambulance kuna ajali hapa" na yule ambulance akajibu "sawa nakuja" 😂 Nikajisemea mwenyewe...
  17. BigTall

    Staa wa Bongo Muvi, Pastor Myamba apata ajali ya gari

    Emmanuel Myamba almaarufu Pastor Myamba; ni staa mkongwe wa Bongo Movies ambaye alikuwa muigizaji mwenza katika filamu nyingi za marehemu Steven Kanumba. Pastor Myamba amedhibitisha kupata ajali mbaya wikiendi iliyopita ila wakapona bila majeraha mabaya. Pastor Myamba ambaye wengi wanamfahamu...
  18. May Day

    Kurejea kwa 'Bongo Muvi' kupitia tamthilia, waandaaji wamejifunza au watarudi kule kule?

    Kwa muda sasa ni kama nimegundua kuibuka upywa kwa ushabiki wa kazi za nyumbani haswa kupitia tamthiliya mbali mbali kwenye TV. Ni Muda mrefu sana sijaona Watu wamekaa kuangalia Kazi za nyumbani kama ninavyoshuhudia sasa maeneo mbalimbali, kuanzia majumbani hadi kwenye mabaa huko mitaani...
  19. Point less

    Natafuta muvi kali zenye sifa kama hizi!

    Kwanza ziwe za kuchekesha Pili ziwe za kutisha Tatu ziwe za maajabu Nne ziwe na mkono wa kufa mtu Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo Na pia kama katuni pia napendelea Naombeni tafadhali NA PICHA ZAKE IKIWEZEKANA
Back
Top Bottom