kutunza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Jinsi ya kutunza na kuimarisha Afya ya Akili ya Mtoto wako

    Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
  2. M

    Kauli kuu ya Mbowe iliyosaidia sana kutunza amani nchini: Tusilipize kisasi, kisasi ni kazi ya Mungu

    Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana. Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu waliokuwa wakifanyiwa na watu wa mrengo wa CCM na serikali, Lakini Mbowe siku zote amekuwa akiwaasa...
  3. leonaldo

    Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

    Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja . MIC TANZANIA PUBLIC...
  4. Mag3

    Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

    Post yenyewe inapatikana hapa; Kilango sasa awageukia akina Slaa Jun 25, 2008 Add bookmark #48 For the past two years, I have been following very closely what is taking place in this blog, Jamii Forum, as a guest. On May 31st this year, I decided to register as a member and I am glad I did...
  5. M

    Nashindwa kabisa kukaa na pesa, nifanye nini?

    NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani. Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi! Ntatafuta kila sababu...
  6. C

    Namna ya kuweza kutunza mshahara wako ukutane na wa mwezi unaofuata

    Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi...
  7. C

    Tuwapongeze JWTZ kwa uaminifu uliotukuka katika kutunza viapo vyao

    Nimeona ni vyema kutoa pongezi chanya kwa idara na watu wanaotenda mema wangali wakiendelea kutenda mema ili kwanza, watiwe moyo, lakini pia wale wengine wanaojikwaa mahalali , wapate hamasa ya kutenda mema. Uzi huu ni rasmi kuwapongeza JWTZ, au Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Tanzania Peoples'...
  8. A

    Kutunza mazingira: Serikali ivilazimishe Viwanda vya Pombe kali kununua chupa zake zilizotumika

    Salam wakuu. Nimewaza sana kwanini viwanda vya pombe Kali (Distilled spirits) kama konyagi, kvant, vodka, dompo, wana design chupa nzuri sana tena zenye mionekano bomba. Lakini cha kushangaza chupa hizo baada ya matumizi hutelekezwa na kuwa kero kwa uchafuzi wa mazingira yetu. Sasa sijui...
  9. ommytk

    Hivi wenzetu mnawezaje kutunza hela? Tupeane elimu kidogo ya kutunza pesa

    Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani...
  10. Ethan Cruz

    Kutunza memories mlizoshare

    Leo naja na huu uzi kwa gender zote but especialy wadada Kuna watu wanatunza meseji nyie,balaa..Hata Makumbusho ya taifa pale Posta haiko deep kama wao.....Anatunza meseji za tangu unamtongoza mpaka mmeachana...khaa!nimewavulia kofia..Especially wanawake,ur best at this...nooomaaa! Sasa...
  11. lee Vladimir cleef

    Nyalandu ulikuja CHADEMA kwa hiari umeondoka kwa hiari. Kaa kimya kutunza heshima yako

    Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri. Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako. Kwa kukusaidia tu. Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa. Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za...
  12. Komeo Lachuma

    Msomi kwa ngazi ya PhD, tunza heshima yako usikimbilie Siasa

    Kwa Africa au Tanzania imekuwa kinyume sana katika masuala ya usomi na siasa. Msomi alipaswa awe mtalaamu na jicho kuangalia mambo yanavyoenda. Imekuwa kinyume. Huku Tanzania msomi Daktari wa mifupa anaenda kuwa waziri wa michezo au waziri wa Utalii. Na kuna mtalaamu aliyesomea Hotel...
  13. Digital base

    Natafuta mke mkweli na muwazi anayejua kutunza upendo wa mume

    Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 Elimu yangu kidato cha nne Umbo la mwili wangu ni mwembamba na mrefu kiasi. Kabila langu Mnyamwezi naishi Dar. Kazi yangu Mjasiriamali/biashara Dini yangu mkristo. Mke nnaye muhitaji awe mweupe/ maji ya kunde Umri kuanzia miaka 23 Awe...
  14. J

    Jinsi ya kutunza Watoto Njiti katika chumba maalum

    Kuhakikisha ngozi ya mtoto inakuwa imegusana na ngozi ya mama ( skin to skin contact/ kangaroo mother care). Hapa mama anashauriwa kumbeba mtoto kwa kumgusisha katk ngozi ya mama uda mwingi ili kumkinga mtoto kupoteza joto. Ii/Kumfunika mtoto kwa nguo nzito iliasipoteze joto. Nguo hizo lazima...
  15. Superfly

    Je, Unaiamini mitandao ya SIMU au taasisi za kutunza pesa kama vile BANK kwa usalama wa pesa zako?

    Nilikuwa nafanya muamala hapa kwa njia ya M-PESA lakini naambiwa "Huduma hii haipatikani kwa sasa" na nipo kwenye situation ambayo bila huu muamala mambo yanakwama. Na hii si mara ya kwanza hali kama hii kutokea. Ikabidi ni-pause kidogo kufikiria plan B nifanyaje, sasa wazo likanijia, "Hivi...
  16. cheetah255

    Mtaalam wa kutunza bulldog germanshepherd na Bullmastiff.

    Majukumu: kufanya usafi mara mbili kwa siku,kuwapa chakula,kufwatilia kwa ukaribu magonjwa ya ngozi,kuwazibiti wasitoke nje ya eneo la uzalishaji,kuwatenga kwa makundi kitokana na aina na umri na mahitaji maalum,kusimamia delivery kwa wateja. Sifa za jumla: Awe na uzoefu wa kufuga mbwa na kujua...
  17. Daisy Llilies

    Ni muhimu kutunza afya yako muda wote, haijalishi una umri gani

    Jirani yangu hapa ninapoishi ni watu wenye uwezo wao. Wote wawili walikua na taaluma na walistaafu. Walijenga nyumba ya ghorofa ya vyumba sita vya kulala. Nyumba ya nyuma walipangisha. Miaka mitano iliyopita mzee alifariki. Mama ameachwa akiwa na miaka 60+ lakini ni mama wa kileo sana na...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

    Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu. Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya...
Back
Top Bottom