kurudisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya zaburi Dr. Dogoli Kinyamkela 💀 ☠️ 1. Kwa kurudisha mabaya kwa aliyetuma (“Back to sender”)

    MATUMIZI YA ZABURI Dr. Dogoli kinyamkela 💀 ☠️ 1. KWA KURUDISHA MABAYA KWA ALIYETUMA (“Back to Sender”) Soma Zaburi 51 mara moja na Zaburi 35 mara tatu kwenye maji. Kata kijiti kimoja cha ufagio vipande vitatu na uviweke ndani ya maji hayo. Kisha kunywa kiasi kidogo na uoge kwa maji hayo kwa...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kurudisha Aliyekuacha Wakati wa Shida: Kujisaliti?

    Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi kigumu cha mwanaume. Kipindi cha kujijenga. Kipindi cha uncertainty. Kipindi ambacho maisha bado...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Shout out kwa Seran, Masai Dada, shesRise, Marry Diana na Win-one kwa kurudisha girl power jukwaani na kuchangamsha kijiwe. Feminime ilikuwa poa sana

    Mara ya kwanza nilijuwa ni mtu mwingine anatuchezea but hey kumbe warembo wamerudi kwa kasi baada ya kupoa muda mrefu. Tulisongeshe.
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Napinga pendekezo la tume ya Jaji Chande la kurudisha na kurasimisha mfumo wa nyumba kumi, haufai

    Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi. Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kurudisha Tanzania moja kwa uchawa! Ukweli pekee ndiyo njia

    Ukweli pekee ndiyo njia ya kutoka kwenye hili shimo. Hawa machawa, walioko masarakani msiwalaumu ni shetani anawatumia na tutashinda tu. Hawawezi kuwa watu wa kawaida wakafanya madudu kwa kiasi hiki ni mashetani tu. Sasa tuweke imani mbele na tuwndelee kukaza hivi hivi
  6. Lancashire

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

    1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

    Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki Kwa Ufupi ni kwamba Aligundua kiasi hicho kilichopokelewa bila sababu ya dhahiri kwenye...
  8. Sales man

    JamiiForums Tanzania Mtibeli na Haya Land , acheni kurudisha harakati Nyuma za kupambani haki

    Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini. Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha . Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa. Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali inapambana kupita KIASI kurudisha nchi kwenye ukawaida

    Ni kama mambo mengine yote yamesimama Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni kiuchumi. Je hivi Sasa ambapo hatukopesheki na tunatumia fedha nyingi kutuliza fujo tutakuwa na Hali...
  10. suhelmadyan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  11. HesabuKali

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni kwa kurudisha huduma za Internet

    tulipata tabu sana kupata taarifa. RIP waliopoteza maisha katika maandamano ya amani
  13. JourneyMan

    JamiiForums Tanzania Jana nilianzisha vurugu nikapigwa. Nifanyeje kurudisha heshima? Leo sijatoka ndani

    Jana ilikua siku yangu ya tatu Kupiga Pombe, mara mbili zilizopita nilijaribu nyumbani... Nikatoka na mshkaji, mda wa kurudi nikawakuta jamaa flani kijiweni ndio nikaanza kuwachokoza (mashuhuda wanadai nilikua nawapiga piga mateke huku nikiwaambi nina mda sijapiga mtu), niliyekua naye anasema...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili

    Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao. Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM kuhusu lini Mwenyekiti wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atarudisha...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA imeaminisha watu kuwa Act-Wazalendo ni CCM 'B'

    Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa. Chanzo...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

    kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo. "Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  18. Boveta

    JamiiForums Tanzania Wakili Mashaka Ngole aibwaga ACT Wazalendo Mahakamani, akiwakilisha Chama cha Cuf katika kurudisha jengo la ofisi lililoporwa huko Kilwa.

    THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE). Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
  19. kagoshima

    JamiiForums Tanzania No reforms no election ni mkakati wa kurudisha mamlaka, maamuzi, heshima kwa wananchi

    1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani 2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi 3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali 4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite...
  20. dorge

    JamiiForums Tanzania CCM kurudisha Imani vizazi vya namna hii ni kazi kubwa

    Ilikiwa video na mabaya zaid nipiga kura mahiri wakinamama Hawa wanawake wameamua kutoa kama tangano sasa hapa ni ngumu kuwapa Imani na chama tena. https://www.instagram.com/reel/DILfS7shYyA/?igsh=MXV1dnQyc2FtbWR6cA==...
Back
Top Bottom