Habari wakuu,
Nimeona na mimi nitoe darasa kidogo kuhusu mavazi sababu na mimi ni kipaumbele changu katika maisha.
1.Epuka kuvaa marangirangi
Wakati unamatch mavazi jitahidi kupunguza idadi ya...
Wapendwa,
Nimeona nifungue uzi huu maalum kwa wadada wanaopenda mitindo ya nywele. Katika uzi huu nitakuwa nikiweka mitindo mbalimbali ya nywele kila nitakapopata nafasi, lakini pia kwa wale...
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.
Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Kuna jambo huenda watu wengi hawalifahamu . Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kusuka kichwa anautoa wapi?
Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kuvaa hereni masikioni au puani anautoa wapi...
Kumbuka perfume nzuri ni ile inayomfanya mtumiaji kujisikia vizuri, kuongeza confidence na uchangamfu, na kusaidia kuexpress haiba na mood yake. Kwa hiyo natakiwa kuchagua the best and right one...
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja.
Jamani vaeni suruali...
Habari wakuu, ni wapi Tanzania hii naweza kupata viatu / boots za Salomon original, kuna vya mtumba madukani, ni original kabisa lakini shida vinakuwa vimechakaa. Nataka kiatu kipya.
Mwenye kujua Kadeti Bora Zaidi ya Vicobss? Naomba anijuze, usinitajie kadeti zilizopo huko ulaya, najua kuna kali zaidi ya hizi, ila naangalia zile ambazo ni angalau kwa mazingira yetuu...
Habari zenu wadau
Nimekuja kwenu ili nipate msaada nipate Tshirt plain hasa nyeupe ambazo nitazitumia kuprint tangazo kwa ya biashara yangu
Mara ya kwanza nilichukua Hot basic manga sababu ni...
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.
Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui...
Nakumbuka miaka hiyo style ya Afro ilibamba sana mitaani,na watu walikuwa wanapendeza sana yani kitu natural hair,
Lakini sahizi hao wenye style za afro wanaweka dawa nywele mwanaume mzima nywele...
Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.
Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool...
Jipatie bidhaa bora kabisa kutoka Óriflame kama mafuta ya kupaka(lotion) za watoto na wakubwa za kike na kiume ,lipstick, dawa za nywele ,after shave jelly na bidhaa nyinginezo kwa afya...
Kuna baadhi ya ofisi za serikali ukiingia umevaa suruali ya Jeans au kimini huruhusiwi kuingia.Sijaona kama ni tatizo lakini inakuaje hata kwa anaefata huduma tu kwenye ofisi hizo nae avae kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.