jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania NI RASMI IMETHIBITISHWA JKT, JWTZ NA POLISI NI MALI YA CCM

    Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM
  2. JamiiForums Tanzania Siku hizi imekuwa tofauti, vijana wanaenda kufundishwa uchawa kuliko uzalendo halisi

    Hatuna jeshi, jeshi linatumika kisiasa. Sifa kubwa ya mwanajeshi ni uzalendo na vijana wanapelekwa jeshini kujifunza uzalendo wa nchi na si uzalendo wa mtu fulani au chama fulani. Siku hizi imekuwa tofauti, vijana wanaenda kufundishwa uchawa kuliko uzalendo halisi. Binafsi siwezi kumuunga...
  3. JamiiForums Tanzania POLISI ,JWTZ, TSS NA VYOMBO VYOTE WAJE WAKANUSHE MANENO YA MDUGU CHACHA KAMA.SIO.KWELI

    Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa. Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa ameongea mambo mengi ikiwepo utenguzi wa aliyekuwa katibi wa Ccm Iringa sema sio hoja yangu Hoja...
  4. JamiiForums Tanzania Kutajwa kwa JWTZ kwenye Mzozo wa Mashariki mwa DRC – Je, Diplomasia yetu ya Kiulinzi inaiweka Tanzania kwenye Mtego wa Kijiografia?

    Nikiwa ninapitia mtandao wa X (zamani Twitter), nimekumbana na chapisho (tweet) la mwandishi wa habari Steve Wembi lililoniacha na maswali mengi sana kuliko majibu. Kama kuna jambo linalotakiwa kufuatiliwa kwa jicho la ziada na wadau wa usalama wa taifa na sera za kigeni hivi sasa, ni mtiririko...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  6. JamiiForums Tanzania JWTZ kuimarisha ushirikiano na Vyuo vya Sayansi

    👉 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, alisema kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litaendelea kushirikiana na Vyuo Vikuu vya Tanzania ili kuongeza tija na ufanisi, hasa katika nyanja za sayansi na teknolojia. 👉 Jenerali Mkunda alisema hayo...
  7. JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mnaolalamika kuwa Mnadhimu wa JWTZ ni Mzanzibari, hivi akiteuliwa Mzanzibari kuwa Mkuu wa Jeshi na Mtanganyika akawa Mnadhimu wake mtatulia ?

    Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya kufanya kila kitu peke yake. Mnaolalamika kuwa Mnadhimu wa JWTZ ni Mzanzibari, hivi akiteuliwa Mzanzibari kuwa Mkuu wa Jeshi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda miaka...
  10. JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa, JWTZ, na Jeshi la Polisi Tanzania Hivi mnatuonaje?

    Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika? Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mazoezi ya Wanajeshi ya kutumia silaha katika eneo la Nyamaitagi, Serengeti yanasababisha hofu kwa wananchi

    Mkazi wa Kitongoji cha Nyamaitagi, Kata ya Majimoto, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amepatwa na taharuki baada ya risasi ya bunduki iliyopigwa na wanajeshi waliokuwa wakifanya mazoezi kutoboa paa la nyumba yake na kuingia ndani. Tukio hilo lilitokea Agosti 20, 2026. Kwa bahati nzuri, hakuna...
  12. JamiiForums Tanzania Ujuaji: Kwa nini JWTZ hawavai nguo za khaki kama za mgambo.

    Kwa nini wanajeshi hawajawahi onekana wamevaa camo za khaki kama zile za CHADEMA? Kweli zile baka baka za kijani zinafaa misituni. Lakini kiangazi nchi na karibu ukanda huu wote huwa wa khakhi. Ni kama camo za khakhi Pia zingefaa ziwepo kama ambavyo unakuta nchi za baridi wanagwanda za msituni...
  13. JamiiForums Tanzania Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

    weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi 1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani...
  14. JamiiForums Tanzania Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana na masuala ya siasa. Jenerali Mkunda alitoa wito huo wakati wa gwaride la kuwaaga majenerali 17...
  15. R

    JamiiForums Tanzania JWTZ kuwahakikishia watanzania usalama si kuwapiga risasi au kuwatisha, ni kuwahakikishia HAKI

    Nimesoma Daily news kuwa JWTZ inawahakikishia wananchi usalama. Bila kutenda haki hakuna uhakikisho wowote. Sana sana mtawapiga risasi, mtawaua watanganyika wenzenu na laana yao itakuwa juu yenu. Hakikisho la kweli ni KUTENDA HAKI. Wahimize hao wanaowatuma watenda HAKI na amani itatamalaki...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Ajira JWTZ, Polisi na Magereza

    Habari Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye kujua, Ajira za jeshi, polisi na magereza hutolewa tofauti tofauti ? Au zinatangazwa Ajira za polisi then baada ya mafunzo mnagawanyishwa ? Na je huwa zinatangazwa mwezi wa ngapi??
  17. JamiiForums Tanzania Serikali imkamate Sheikh Mwaipopo, acheni double standards. Haya mambo ndio yanachochea chuki na kuligawa Taifa

    Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?. Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
  18. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: JWTZ wasiingizwe kwenye siasa, walinde usalama wa nchi.Je, jeshi letu limeingizwa kwenye siasa?

    Amenukuliwa mzee Warioba👇
  19. JamiiForums Tanzania Well done JWTZ kwa kuwaondolea wananchi mashaka ya kiusalama na kuwahakikishia Amani na Utulivu wa kudumu waTanzania wote.

    Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
  20. JamiiForums Tanzania Unapoona JWTZ wanatoa angalizo ujue wazi kuwa waandaaji wa maandamano ni Mataifa ya nje!

    Akili ndogo ya tafakari kama mwanazuoni wa siasa za kikanda au kiuchumi na kiulinzi na kiusalama inakupeleka kwenye hitimisho moja muhimu sana. Tanzania imekuwa "under attack" kwa muda mrefu sana ...rejea kwa nini tulimpoteza JMP baada ya kuanza kupambana na wafaidika wa makinikia???? Toka enzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…