geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. UTPC

    JamiiForums Tanzania Jasho lisipotee ghalani: Njia za kuokoa mazao ya wakulima wa Geita

    "Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno. Katika sehemu...
  2. UTPC

    JamiiForums Tanzania Jasho shambani, hasara ghalani: Chanzo cha upotevu wa mazao Geita

    Baada ya kufuatilia namna ambavyo uhifadhi duni unavyoendelea kusababisha upotevu wa mazao na hasara kwa wakulima katika mkoa wa Geita, swali linalobaki ni kwa nini tatizo hili linaendelea kujirudia mwaka baada ya mwaka? Licha ya kuwepo kwa sera ya kilimo, maafisa kilimo pamoja na teknolojia za...
  3. UTPC

    JamiiForums Tanzania Uhifadhi mbovu unavyonyonya jasho la wakulima wa mkoani Geita

    Kwa wakulima wa mazao ya chakula katika wilaya ya Geita, mkoani Geita kuvuna si mwisho wa safari ya kupata kipato. Baada ya miezi kadhaa ya maandalizi, kupanda na kusubiri mavuno, hatua inayofuata ya kuhifadhi mazao ndiyo huamua kama jasho lao litageuka kuwa fedha au kupotea bila faida. Baadhi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tuliohama Hospitali ya Wilaya ya Nzera - Geita hatujalipwa malipo ya 'extra duties'

    Kero yangu ni kutokulipwa malipo ya extra duties kwa watumishi ambao tumehama katika Hospitali ya Wilaya ya Nzera, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita. Viongozi wa hospitali hawajalipa malipo ya extra duties kwa wafanyakazi ambao tulifanya kazi hizo kwa nguvu zetu zote. Badala yake...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji Nyakagwe Geita: Tuligundua eneo lina madini, tukaanza kuchimba, lakini sasa tunaambiwa tuondoke

    Wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Nyakagwe, Kata ya Butobela, Wilaya ya Geita, wameiomba Serikali kuingilia kati suala la kuondolewa katika eneo la uchimbaji, wakidai kuwa walilitambua na kuanza kulifanyia shughuli za uchimbaji kabla ya kuzuiwa kuendelea. Wachimbaji hao wamesema walifika...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibarua au kazi Geita mimi ni wakike

    Jamani maisha magumu mwenye connection au kazi au kibarua kwa geita au Mwanza pls nahitaji
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Kliniki Geita

    Msajili wa Hati Nchini, Bw. David Mshendwa, amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chato, Bw. Louis Bura, Hati Miliki aliyopata kupitia Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani Geita. Kupitia Kliniki hiyo, wananchi wanapata fursa ya kupata elimu na ushauri kuhusu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Geita: Mkandarasi anayejenga kipande cha Uyovu-Bukombe anatukomesha kwa vumbi

    Mkandarasi anayejenga Barabara hapa kipande cha ‘diversion’ kinachokarabatiwa katika Kijiji cha Uyovu Wilayani Bukombe hatutendei haki kwa kutomwaga maji angalau kupunguza vumbi. Kuna vumbi la hatari, likipita gari hapo inakuwa balaa mnatafutana, imekuwa kero kubwa kwa Wananchi, pia ni hatari...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

    Wachaga ni kabila la wajanja na watu wenye udhubutu, wajanja, ubunifu, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina. Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima EVerest ni Mchaga Wilfredy Moshi, Mangi Marialle ndio aliona aombe Uhuru wa Chagga land toka kwa Mwingereza, miaka ya 1950. Siri...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania yaanza safari Dar - Musoma, Demand ya ndege kanda ya ziwa ni kubwa sana na zinajaa

    ✈️ 17/9/2026: Air Tanzania yaanza rasmi safari za Dar es Salaam > Musoma > Mwanza > Dar hatua hii inayoongeza muunganiko wa usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kanda ya Ziwa. Licha ya nauli kuwa juu, uhitaji wa usafiri wa ndege Kanda ya Ziwa umeendelea kuwa mkubwa sana, ukiakisi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Geita acha kuhadaa wanachi. Vx la mkurugenzi haliwezi kubeba wagonjwa

    Unatoa maamuzi ya kisiasa ili kufurahisha watu wa Muganza. Vx ambalo halina kitanda cha mgonjwa litabeba wagonjwa.? Acha hadaa na siasa za kishamba. Ulipaswa kutumia busara na kuagiza gari la wagonjwa liwekewe matairi na kutoa huduma stahiki.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ligi namba 5 Afrika haifai kuwa na waamuzi kama wa jana aliyewanyonga Geita ili kuwapa faida Yanga

    Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini. Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu. Hata hivyo bado...
  14. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Furusa ya uwekezaji/Uchimbaji Geita

    Habari za majukumu wana JamiiForums,mimi pamoja na timu yangu ya wachimbaji wadogo tuna miliki mradi (duara) uliopo katika mkoa wa Geita. Duara lina vipimo vya maabara na linatafuta mbia wa kumalizia vifaa na matimba ili kufikia uzalishaji. Tofauti na miradi mingi inayofanyika kwa...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais awafikia wakazi wa Geita, asilimia 100 zimetumika fedha za ndani

    🚧Ujenzi wa Barabara za Miji Minne ya Geita, Nyantorotoro, Nyankumbu na Katoro zinaendelea kujengwa. 🚧Ujenzi wa Bababara ya Katoro - Ushirombo (58.2km) kwa kiwango cha lami unaendelea. Miradi yote hii inatekelezwa kwa fedha za ndani kwa asilimia 100.
  16. W

    JamiiForums Tanzania Aweso ataka Maji Geita kwa 100% Oktoba 2026

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema hatokuwa kikwazo kwa wananchi kupata huduma ya maji safi na salama nchini. Akikagua Mradi wa maji wa miji 28 katika eneo la tekeo la maji (Intake) mtaa wa Senga Geita amesema atahakikisha kazi inafanyika kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania KERO Wanunuzi wadogo Mgodi wa Msasa, Runzewe - Geita tunapata shida, mizigo haipuliziwi rangi kwa wakati, inakuwa hasara kwetu

    Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za kujipatia kipato. Kwa kawaida, tunaponunua felo kutoka migodini, tunapeleka kwenye Steka kwa ajili...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Polisi wa Ushirombo Geita wanaokagua nyumba za kulala Wageni wanatengeneza mazingira ya 'upigaji'

    Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA, watakwambia wanataka Kitambulisho cha Mpiga Kura ukiwa na Mpiga Kura wanakuuliza NIDA. Wakikupeleka Polisi...
  19. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania MATCH DAY; Dakika 90 za Moto! Simba Yakutana na Geita Gold Katika Pambano la Pointi Tatu

    Simba SC leo, Jumatatu Agosti 31, 2026, itashuka dimbani kuikabili Geita Gold FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, ikiwa na lengo la kuendeleza mwanzo wake mzuri wa msimu na kusalia kwenye mbio za kilele cha msimamo. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, huku...
  20. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

    Timu za Simba na Yanga zimeendeleza moto katika Ligi Kuu Bara, Yanga imeifunga Fountain Gate magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Sheik Amri Abeid Jijini Arusha, Simba imeichapa Geita Gold magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Isamuhyo, Dar es Salaam. Yanga inaongoza msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 15 sawa na...
Back
Top Bottom