jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hivi Bwana mdogo Mohamed Hussen jana alikuwa na hali gani baada ya kipigo? Yule dogo anakeraga sana.

    Huyu bwana mdogo huwa anajitahidi sana kuhakikisha simba inafeli, waliokaribu naye waseme yupoje kwa sasa?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana nanenane watu waligawiwa gesi bure Leo gesi ilivyo panda ndio malipo ya gesi ya bure msishangae

    Watanganyika kama tutaendelea kukubali kutumiwa kila uchaguzi kwenye ujinga wa MaCCM basi yataendelea kubaki madarakani kwa mda mrefu. Tuyakatae maCCM na mambo yake yote na Hongo zake zote shetani CCM hana rafiki
  3. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu unasumbua tangu jana, kuweni serious!!

    Tangu jana napata shida ya mtandao, si normal call si internet, kote mtandao unasuasua. Vodacom nitawahama soon, wapuuzi nyie
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel azua taharuki Muonekano wake kwenye Movie mpya 'REHANI'

    Muigizaji Mkongwe Nyota Kwenye Kiwanda Cha Filamu Tanzania Aunty Ezekiel amezua taharuki leo kwa muonekano mpya akiwa amevaa mavazi ya Magereza na amenyoa kipara. Siku ya jana Oktoba 6, 2026 kuna video pia ilisambaa mtandaoni akionekana anakamatwa na Polisi lakini hekaheka zake zote leo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kukamatwa kwa mama yangu Buza, bila uthibitisho wa makosa aliyoyafanya

    Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

    Habari picha hizi hapa! Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali hii ya Tundu Lisu kusahau baadhi ya mambo muhimu akiwa kizimbani jana na kuiomba mahakama muda kuyasema leo, inatoa picha gani na kuashiria nini?

    Je, ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi? Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Course imeanzishwa mwaka 2025, ya Higher Diploma in Mental Health Nursing, lakini hii course haijulikani kama ipo chini ya NACTE au Wizara

    Kuna kozi ya Higher Diploma in Mental Health Nursing iliyoanzishwa mwaka 2025, lakini hadi sasa haijafahamika wazi kama iko chini ya usimamizi wa NACTE au Wizara husika. Tumejaribu kupata ufafanuzi kutoka kwa wahadhiri wa kozi hiyo, lakini nao hawajatoa majibu ya uhakika kuhusu hatma na...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nafasi za mwalimu wa daraja la 3C inaone,kana zimeisha jana (waliofanya usaili April 2026)

    Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147 zilizohitajika zimejazwa.Je tutegemee zitaendelea? Sawa kama uko kwenye database (kanzi data) kama...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Jana nilikutana na Yesu Manzese

    Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  12. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania jana nilileta uzi wa kulia lia kuwa duka langu lina mauzo madogo, sasa nimeona kulia lia hakuna suluhisho, nafikiria kujibana na nianzishe side hustle

    Jana👇 https://www.jamiiforums.com/threads/hamna-kitu-kinauma-kama-tangu-asubuhi-umeuza-elfu-30-tu-alafu-nje-ya-duka-lako-jamaa-kapaki-hilux-number-e-tsh-70m-hivi-mnapataje-pesa-wakuu.2472707/ Leo👇 OMBI LANGU KWENU WANA JF Sihitaji kuomba kukopeshwa humu wala msaada wa fedha bali maarifa kuhusu...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Video ikionesha mshabiki wa Man Utd akipata mshituko na kuanguka jana baada ya brightom kufunga goli la 3

    Hii timu itaua watu aiseee
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ligi namba 5 Afrika haifai kuwa na waamuzi kama wa jana aliyewanyonga Geita ili kuwapa faida Yanga

    Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini. Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu. Hata hivyo bado...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mashahidi aliochagua lissu hakuna mbowe, sugu, lema na yai. Jana mange anatuambia hawa wannne tayari washawekwa kwenye kundi

    Nini kinaendelea huko HQ. ngara23 Mshana Jr Kipenzi Changu
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali inasubiri nini kumfukuza kazi daktari aliyempiga Trafiki?

    Nchi hii ina wasomi wengi sasa. Zamani ukiwa Daktari au Daktari bingwa unaweza kuchagua uajiriwe na taasisi gani na unaweza kuwaringia kuwa kazi utaanza muda unaoutaka wewe. Nakumbuka zamani ukiwa na degree ya afya ukiingia tu JWTZ moja kwa moja unaenda kwenye kozi ya uafisa Monduli na...
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Ugomvi wa jana kati ya Trafiki na Daktari ni rushwa. Rushwa imekuwa haki ya askari wa usalama barabarani.

    Itoshe kusema taifa limeshaanguka tayari. Hakuna tena mamla na taifa limeingia kwenye hatari isiyoelezeka. Kwa ufupi tumekwisha.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huyu tapeli mwenye namba +255799102280 tangu jana ananisumbua eti yeye ni vodacom customer care!

    Amenipigia jana nikamwambia nipigie kwa namba 100 akasema kuna tatizo la kimtandao ndiyo maana anatumia private number!! Anasema kuna mteja amekosea namba amenitumia milioni moja na laki sita kwahiyo ametuma malalamiko vodacom nimrudishie pesa zake!!!! Nimemuambia magereza inamhusu maana...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Jaji Warioba anaendelea vizuri

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri. Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es...
Back
Top Bottom