jkt

JKT48 (read as "J. K. T. Forty-eight") is an Indonesian idol group whose name is derived from its based city of Jakarta and the Japanese idol group AKB48. Formed in 2011, it is the first AKB48 sister group outside Japan and adopts the concept of "idols you can meet", before switching to "idols that will come to meet you" since 8 April 2018. Fans can attend daily performances at the group's theater, which was built as a close replica to the AKB48 Theater in Akihabara.While JKT48 does not restrict membership by nationality, applicants must be residents of Indonesia. As of 13 December 2019, the group has 42 individual team members, with one of them performs in two teams. It also has 28 Class A Academy members – formerly known as trainees – and 13 Class B Academy members.On 16 February 2013, JKT48 released its first studio album Heavy Rotation via Hits Records, a division of MNC subsidiary PT Star Media Nusantara. It performs songs by AKB48 and other sister groups that are translated into Indonesian.

View More On Wikipedia.org
 1. GENTAMYCINE

  Waziri Simbachawene, kama umekiri Wasomi hawawezi na hawapendi kushika Silaha, kwanini huwa mnawalazimisha waende Mafunzo ya JKT?

  Wakati GENTAMYCINE nikisubiri Jibu lako Waziri Simbachawene nitoe tu Ushauri wa bure kwa Viongozi na Watu maarufu nchini hebu ajirini Wasemaji wenu ili wawe wanawafichia Mapungufu yenu ya Kiuwasilishaji kwa kuna Kauli zingine huwa mnazitoa na kutupa hata Mashaka kama kweli mlipita Shuleni na...
 2. Jidu La Mabambasi

  George Simbachawene, hakupitia JKT?

  Nikiwa kada wa siku nyingi niliyepitia JKT kwa mwaka mzima, nimesitushwa na majibu ya Mh Simbachawene katika ajira za wasomi Polisi. Nimelazimika kupitia CV yake iliyo ukurasa wa Bunge, hakuna mahali anaonekana kapitia JKT. https://www.parliament.go.tz/index.php/administrations/41 HII NI...
 3. Meneja Wa Makampuni

  Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi

  Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi. Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT. Mimi nimetoa pendekezo tu,
 4. SAKA25

  Nafasi za kazi 250 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania 2021

  Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga, atangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
 5. F

  Wanaotoka JKT wapewa muda kuomba mikopo ya elimu ya juu

  Kwa wenye madogo wanaomalizia msoto wakujitakia ndani ya JKT, Bodi imewaongezea siku 10 kuanzia tar 20 hadi 30 ili waweze kuomba mikopo ya elimu ya juu.
 6. mshale21

  Nafasi za kazi Jeshi la polisi Tanzania

  Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
 7. Synthesizer

  Siku ambayo askari MP alipojitayarisha kumpiga risasi askari Sajenti kwa amri ya Mkuu wa Kambi ya Mgambo JKT

  Ni jambo ambalo sintalisahau maishani mwangu, japo lilitokea zaidi ya miaka 20 iliyopita. Leo nimeamua kulisimulia kwa kuwa nadhani kwa sasa limefikia hatua ya kuwa "declassified" hata kama lilikuwa ni siri, ila sintataja majina ya wahusika. Ilikua usiku mmoja katika kambi ya JKT Mgambo, katika...
 8. Masiya

  Awamu ya kwanza udahili vyuoni inafungwa Agosti 5, 2021; vijana bado wapo makambini JKT

  Round ya kwanza ya udahili inafungwa August 5, 2021 hadi leo vijana walioitwa JKT kwa mujibu wa sheria wamefungiwa makambini (mf. Mgambo). Inabidi wengi wajaziwe na ndugu au rafiki zao. Hawana muda wa kujua kwa umakini ni nini kile wanataka na wengine hawapati ushauri wa kutosha. Hii ni...
 9. Prisonerx

  TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

  Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. CURRICULUM VITAE – (CV) SURNAME: KWANDIKWA FIRST NAME: ELIAS OTHER NAME: JOHN SEX: MALE MARITAK STATUS: MARRIED DATE OF BIRTH: 1st...
 10. peno hasegawa

  Kupitia mafunzo ya JKT ni lazima ili kugombea Urais?

  Ninatarajia kugombea urais JMT,wakati ukifika. Je, ni lazima niwe nimepitia mafunzo ya JKT? Ninaomba kuwasilisha.
 11. Masiya

  Madirisha ya udahili TCU na mkopo HESLB yamefunguliwa: Je, JKT itawaruhusu vijana walio makambini kurudi kupeleka maombi?

  Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
 12. Analogia Malenga

  Serikali kuwapa mtaji wanaohitimu mafunzo JKT

  SERIKALI imesema itaangalia namna ya kuwapa mtaji vijana wanaohitimu mafunzo katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili ujuzi wanaoupata usipotee badala yake wakautumie uraiani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandika wakati akikagua mradi wa...
 13. Shujaa Mwendazake

  Mauaji ya askari wa Suma JKT yatikisa Kilimanjaro

  Moshi. Ni mwendo wa askari kuuana kwa risasi, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Askari wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma-JKT), kudaiwa kumuua mwenzake kwa risasi katika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
 14. Analogia Malenga

  Mara: Askari watano JKT washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

  Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia askari watano wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliokuwa wamemaliza muda wao wa kujitolea, wakisubiri ajira za muda wa Kikosi cha Jeshi la Wananchi 27 KJ MAKOKO kwa tuhuma za mauaji ya mkazi wa Rwamlimi manispaa ya Musoma, Paulo Joseph, maarufu kama...
 15. R

  Gharama za kuwapeleka watoto JKT ni mzigo mkubwa kwa wazazi

  Nimetafakari gharama wanazoziingia wazazi kuwapeleka watoto ex form six JKT. Ni kubwa na mzigo usio na sababu ya msingi kwa wazazi masikini. Si chini ya laki mbili (200,000 Ths) kwa uchache. Hizi ni hela nyingi kwa mzazi wa vipato vya chini huko vijijini anaye-strugle kupata ada ya shule za...
 16. Gota8s

  Naomba kuuliza kuhusu mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria

  Habari za majukumu wakuu, Natanguliza samahani kwa usumbufu. Naomba kuuliza kuwa, kwa wale vijana waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo kwenye kambi za JKT, inaruhusiwa kutoa udhuru na kuripoti kambi tofauti na uliyopangwa? Na je, ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, kuna taratibu zozote ambazo...
 17. R

  Msaada: Wanaoijua Mgambo JKT Tanga ikoje mazingira yake?

  Mwenye kuifahamu Mgambo anisaidie mazingira yakoje> Panafaa kwenda? au ni mateso? Haya makambi yanatofautiana ingawa kote ni mitulinga ya Jeshi.
 18. R

  Kwa Mujibu wa sheria, nisipo kwenda JKT what will happen?

  Adhabu ya kutokwenda JKT ni ipi kisheria?
 19. jobtz

  List ya wanafunzi wa Form Six Waliochaguliwa Kujiunga JKT 2021

  National service is a system of either compulsory or voluntary government service, usually military service. Many young people spent one or more years in such programmes. Compulsory military service typically requires all male citizens to enroll for one or two years, usually at age 18 (later...
 20. francis mboya

  JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2021 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

  Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
Top Bottom