makamanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel ahutubia makamanda na wakuu wa vikosi vya IDF!!

    Mkuu wa Wafanyakazi, Eyal Zamir, alishiriki leo katika mkutano wa kamandi ya juu ya IDF, ambapo alihutubia mkutano huo. Maelezo Muhimu aliyoyatoa IDF ni jeshi la Nchi ya Israeli, jeshi lililojengwa juu ya maadili na nidhamu ya hali ya juu. Hata baada ya zaidi ya miaka miwili na nusu ya mapigano...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na Wanajeshi na Makamanda Wakristo

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake: Hili ni kinyume kabisa na kile kinachoenezwa huko nje. Sio tu kwamba Israeli inapigania haki za Wakristo kote Mashariki ya Kati...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa IRGC wauawa huko Lebanon

    Makamanda wanne wa IRGC wauawa huko Lebanon walijifanya waandishi wa habari kumbe ni magaidi kutoka Iran. Walikuwa huko kuwasaidia magaidi wa Hezboullah.
  4. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Viongozi na makamanda Iran wanavaa baibui kujificha kuuawawa na Israel

    Viongozi wa serikali nchini Iran pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama Iran wanavaa baibui vazi la kiislamu kwa wanawake kujificha kuhofia kuuwawa na Mossad Israel. Netanyahu kaleta hofu Iran hadi wanaume wanashindwa kutoka nje na wakitoka lazima wavae baibui na pia kutembea kwa tahadhari kubwa...
  5. hamis77

    JamiiForums Tanzania Trump: Tumeondoa uhai wa viongozi 48 wa Iran kwa shambulio moja

    TUMEONDOA VIONGOZI 48 WA IRAN KWA SHAMBULIO MOJA Donald Trump Rais wa Marekani Donald Trump ameiambia Fox News kwamba katika mashambulio ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, viongozi 48 wa kiwango cha juu wa Iran wameuawa “kwa shambulio moja.” Trump alisema operesheni inaendelea kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Israel yadai kuua Makamanda 40 na kuharibu mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran

    Israel imedai kuwa “idadi kubwa” ya viongozi wakuu wa kijeshi wa Iran waliuawa katika wimbi la kwanza la mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo. Jeshi la Israel (IDF) limesema limewaua makamanda 40 wa ngazi ya juu, likieleza kuwa ni “shambulio la kihistoria”...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi waliiambia BBC: 'Tulishuhudia wenzetu wakiuawa kwa amri ya makamanda wetu'

    Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Maelezo kuhusu taarifa Onyo: Taarifa hii ina maelezo ya vurugu iliyokithiri na marejeleo ya kujiua...
  8. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Amkeni, mnachezewa akili tetesi za tukio la kamanda katili kuchukuliwa na makamanda wa kulipiza kisasi

    Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa. Huenda la kweli au uzushi. Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini. Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa...
  9. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Makamanda Feb29 tunatoka

    Shalom Makamanda Nawajuza Feb 29 tunatoka tufanye maandalizi mapema kuanzia sasa. Jeshi liko nyuma yetu na litatulinda safari hii tunaenda kuing’oa CCM
  10. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Makamanda nauliza D25 mmefikia wapi?

    Makamanda Shimboni! Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa? Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni mkifanikiwa. Na vipi kuhusu Habil na Kabili alisema ata hack mifumo ya bank na TRA amefikia wapi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makamanda tujipange upya

    Ni ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola. Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT. Chadema wamekuwa wanatumia njia mbalimbali kujaribu kushika dola, na waliwahi kufanikiwa japo kidogo...
  12. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Achieni Keyboard mkaongoze mapambano makamanda

    Shalom Makamanda, Sasa kila mtu anasikilizia kwenye mitandao ya kijamii shughuli imedoda huko twendeni tukaanikize maana tumepiga sana tambo karibia mwezi mzima sasa ndo muda wa kutoka tuachie keyboard jamani. Tuache woga.
  13. M

    JamiiForums Tanzania John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Makamanda 9 wa Hamas waangamizwa katika kipindi cha Wiki mbili tu

    Makamanda hawa wa Hamas kwa sasa ha tuko nao baada ya kuangamizwa na majeshi hodari ya Israel
  15. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi. 1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IGP afanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa leo Juni 17, 2025

  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje makamanda 20 wa Iran wanauliwa ndani ya masaa machache?

    Kobazi ni bure kabisa! Makamanda waandamizi takriban 20 wa jeshi la Iran wameliwa vichwa na IDF. Huu si tu ni uzembe, ni upumbavu wa hali ya juu wa hao makobazi. Wanachojua ni kupayuka takbiiir tu lakini akili kichwani hamna. Tokea huu mzozo wa Israel na Hamas na Israel na Iran uanze, no...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Makamanda tunachangia Tone tone? Hili ni la muhimu sana kwa sasa

    Itakuwa ni ajabu sana na mbaya sana kushinda humu kuonyesha jinsi Serikali ilivyo mbaya, jinsi kulivyo na ufisadi, utekwaji wa watu na kadhalika ila hatuchangii tonetone kwa CHADEMA. Katika haya mapambano kama hatuwezi toka front line ni vizuri tukawa tuna wasapoti walio msatari wa mbele wa...
  20. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Makamanda wamemuingiza chaka Lissu leo hii wanaomba kesi ipelekwe haraka kwenye hizo hizo mahakama zisizo na haki wanazolalamika miaka nenda!

    Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
Back
Top Bottom