kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya zote ziwe na mafunzo ya kijeshi

    Habari Tanzania !. Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende walau kozi ya kijeshi isiyopungua miezi 6 mpaka mwaka 1. Na wawe askari kamili. Asante.
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia Iran kijeshi na kuweka vikwazo vipya vya mafuta, hali yachafuka Mashariki ya Kati

    Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati. Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Je tunalakujitetea kuhusu utawala wetu ni wa kiraia au wa kijeshi ? Picha za maonyesho wengi ni raia au mitutu ?

    Je Leo tumepata Tena aibu ya KITAIFA? Ni maswali najiuliza tu kama mzalendo wa taifa langu . Je wageni waliokuja kwenye maonyesho ya sabasaba wametafsiri vipi utawala wetu ? Je wananchi wameshindwa kuamini utawala kwamba wanaweza kuwalinda Kwa mitutu Ili waendelee na biashara zao Leo ? Je...
  4. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

    Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini. Leo kiongozi mkuu wa kidini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Arusha? Nimeona msururu wa Magari ya kijeshi mengine yakiwa na bendera nyekundu mama vile Goma

    Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu. Kwa sababu mimi ni mgeni nimeogopa sana. Nimezoea kukaa kijijini huku napiga zangu chaki. Sijazoea kuona haya...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa matamko ya waziri wa ndani ni rasmi Tanzania imekwenda na maji. Tupo kwenye utawala wa kijeshi.

    Haiwezekani mtanzania kupata huduma ya kulala kwenye nyumba ya wageni lazima awe na NIDA tofauti na hapo inahesabika mhalifu. Haiwezekani mikutano ya kisiasa inazuiliwa tena na waziri wa mambo ya ndani bila kutoa sababu za msingi. Tangazeni hali ya hatari ili tujue tunabanana vipi maana maisha...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

    Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!. Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI . Zanzibar ni Alama...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa tawi la kijeshi la Hamas walioangamizwa na Majeshi ya Israel mpaka leo!!

    Wakuu wa tawi la kijeshi la Hamas waliokaa kwa miaka ming na siku chache!!! Orodha hii aione Bumunda zitto junior 1. Salah Shehadeh, mwanzilishi wa tawi la kijeshi la Hamas na kamanda wake wa kwanza kuanzia 1991 hadi kuangamizwa kwake Julai 23, 2002 katika shambulio la Israeli. Alihudumu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Trump ametufumbua Macho kuhusu nguvu ya Kijeshi ya Marekani

    Kwa matambo ya Trump hakuna mtu angeamini kuwa angepigana vita na Iran kwa kipindi chote hiki na kushindwa kupata ushindi. Hii imeonesha kuwa, Nguvu ya kijeshi ya Marekani sio kubwa kama wanavyo inadi ila inapropaganda nyingi sana kuliko uhalisia. Kwa sasa Trump anahaha kutembelea Ulaya na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

    Picha za satellite za Iran zilionesha uharibifu mkubwa na hasara kubwa sana Marekani ilipata kutokana na kipigo Cha Iran kilichofanywa katka makambi (bases) za Supapawa Marekani huko mashariki ya kati. Makambi mengi yalipigwa, na ndani ya makambi hayo yalikua ni Kambi za ndege,meli,rada...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Picha za satellite zimeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi za Israel.

    Picha za satellite zilizotolewa na Sentinel 2 satellite imeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi nchini Israel.Picha hizo zimeonyesha kambi za Ramat David,Nevatim,Unit 8200base na camp shimshom zikipata hasara na uharibifu dhidi ya mashambulizi ya Iran..Huku camp shimshom ikionyesha...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel imejenga kituo cha kijeshi cha siri kwenye Jangwa huko Iraq!!

    Israel ilianzisha kituo cha siri cha kijeshi katika jangwa la Iraq ili kusaidia kampeni yake ya angani dhidi ya Iran, gazeti la Wall Street Journal linaripoti, likiwanukuu maafisa wa Marekani na vyanzo vingine. Kulingana na vyanzo, Israel ilijenga kituo hicho muda mfupi kabla ya vita kuanza...
  13. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

    The Financial Times linasema: Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake...
  14. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Vyeo vya Kijeshi vya Jeshi la Wananchi Tanzania: Imetokana na Historia niliyowahi kuitoa kuhusu Kanali Ali Mahfoudh

    Nimeulizwa pahala, eti Hussein kwani Kanali anakuwa na nyota ngapi?😂. Nadhani ni kutokana na tarehe (historia) ya Kanali Mahfoudh niliyowahi kuitoa siku ya kumbukumbu za kifo cha Sheikh Abeid Aman Karume. Sikumbuki vizuri, maana mimi siyo mwanajeshi. Ila angalau nilipita miaka ya nyuma kidogo...
  15. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DRC yaanzisha kikosi cha kijeshi kulinda migodi ya madini

    Mmoja wa maofisa hao alisema hilo ni wazo la Rais Félix Tshisekedi lenye lengo la kuleta mageuzi katika sekta ya madini na kupambana na ubadhirifu wa madini ya thamani. Mamlaka ya madini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo imezindua kikosi cha wanamgambo kitakachohusika na kulinda...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Hapa: Rasmi Magari Yapunguzwa Katika Msafara Wa Rais Samia ili Kutimiza Ahadi Yake. Yatembea Katika Mfumo Wa Kikomandoo Na Kijeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi ashuhudia Jeshi la Wananchi na Jeshi la Marekani wakisaini Makubaliano ya Ushirikiano Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Miendo ya kijeshi kama kwata/gwaride, marching, au michezo ya kikosi (drills) inasaidia nini kivita, kikazi zaidi Kwa wanajeshi na askari?

    Tujuzane je INAFAIDA ipi au ni maonesho au kujitofautisha TU na kada zingine? Lete maneno. Afande tujifunze. https://www.facebook.com/share/r/1GW4mzUt29/
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Iran iko juu ya Israel kijeshi

    Hebu msikilize huyu myahudi https://youtu.be/FWAk6JNTv0s?si=1hE0a49Ql33hDgAY
  20. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Israel kuua viongozi wakuu wa kisiasa na kijeshi ina faida kimedani au ipo tu kujitwalia ujiko ?

    Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu katika kujizolea ujiko kwa jeshi lake ? Toka Israel imeanza kuua viongozi hao ni kipi kilicho badilika...
Back
Top Bottom