kuwepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Apartments kali zagundulika kuwepo kinyume cha sheria ndani ya gereza huko Indonesia

    Maafisa watano wa gereza Nchini Indonesia wamesimamishwa kazi baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa vyumba vya kifahari vinavyofanana na ‘apartments’ ndani ya Gereza la Cibinong, lililopo Bogor karibu na Jakarta, ambavyo vinadaiwa kutumiwa na baadhi ya Wafungwa. Kwa mujibu wa uchunguzi...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  3. mbarika

    JamiiForums Tanzania Kuwepo na wakala wa SGR TICKETS kama Mpesa

    Habari wakuu Natoa ushauri kuwepo na wakala wa SGR TICKETS kama zilivyo huduma ya Mpesa kila sehemu ya miji ambayo SGR inapita Huyo wakala anapata commission kwa kila ticket atakayokata Treni ikijaa ile chart ya kuchagua seat inaondoka kwenye mfumo automatic Kama zilivo bus za shabiby
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwepo na makongamano ya self awareness ya kusaidia vijana kujua sababu kuu ya ukapuku na fujo zetu ni sisi wenyewe watu weusi.

    Ishu sio kujilaumu kwa mtiririko huu Ila kujua kweli, ili tujiondoe katika utumwa wa victim mentallity wa kufundishwa kulaumu wazungu huku anaekufundisha kulaumu anatumia mwanya huo kukuminya wenye wewe mwafrika mwenzake. Truth prevails, truth heals, right? Tukijua ukweli kuwa kuna jamii...
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Umejua dhumuni lako la kuwepo?

    We live in the same existence but share different realities Wewe ulijuaje dhumuni lako la kuwepo hapa duniani? Tukachana na dhana za nature eti kuzaliwa, kuzaliana na kufa.. Kuna kitu ndani yako kinacho kufanya uamke kila siku uka hustle ni kina msukimo wa nini haswa? Na uligunduaje ya kuwa...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  7. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kimila wa ki-Maasai atoa wito wa kuwepo uwiano endelevu kati ya binadamu, mifugo na wanyamapori Ngorongoro

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO kilihitimishwa katika Kituo cha Maonesho cha BEXCO jijini Busan, Jamhuri ya Korea, Julai 29, 2026. Mkutano huo wa kihistoria wa siku 10 uliidhinisha jumla ya maamuzi 28 kuhusu maeneo mbalimbali ya urithi wa dunia, huku maeneo mapya 25...
  8. Mmawia

    JamiiForums Tanzania HUYU MBUNGE ASIRUDI JIMBONI MAANA HAJUI KIJANA NI YUPI

    Wana jamvi naomba tumsikikize Mbunge wetu kupitia chama tawala. Inanipa shida kuamini kama anajua maana ya vijana au wazee. Kwangu mimi ningemshauri arudi darasani badala ya kurudi jimboni Kwale maana vijana hakuwatendea haki.
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

    Ni kuwepo duniani ili kutafuta hela, kushindana au ni kuwepo duniani ili tuishi? Nimejaribu kufanya utafiti mdogo na kugundua kuwa, watu wengi wanatumia nguvu kubwa ya kutafuta hela, vyeo, kushindana ukubwa, wingi wa mali n.k; sasa nikawa najiuliza hawa kweli wanajua kusudi la kuwepo duniani...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Picha Adimu Hazikupata Kuwepo za Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950 Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi. Tumia picha upendavyo hazina hati miliki. Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi washusha nondo nzito kupanda kwa bei ya mafuta. Kwa ujasiri huu walipaswa kuwa wabunge tu

    Wananchi mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta ya dizeli na petroli, huku wengi wakionesha kutoridhishwa na mwenendo huo wa bei kuendelea kupaa. Aidha, wamehoji kauli ya serikali kuhusu kuwepo kwa akiba ya mafuta ya miezi sita, wakitaka kufahamu ni kwanini bei...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Walioko ofisini nafasi za juu lakini hawafai kuwepo walitakiwa kushtakiwa

    Yale mauaji ya October 29 yaliyo ongozwa na Polisi wetu kuanzia aliesababisha mpaka alieshiriki kuua hapaswi kua Ofisini sasa hivi.Aliekua anampa report Rais kua wale ni raia kutoka nchi jirani yule ndio angekua wa kwanza kuacha kazi na kushtakiwa. Halafu Polisi waliosema kua ni AI sasa hivi...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027: Kuanzishwe dalaladala na Mwendokasi VIP

    Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho. Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya kuwepo kwa China Moja inasisitizwa wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China barani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bw. Wang Yi, amemaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, kitu ambacho ni sehemu ya desturi ya miaka 36 sasa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika kila mwaka mpya unapoanza. Moja kati ya mambo aliyofanya akiwa ziarani...
  15. R

    JamiiForums Tanzania TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia Je...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajuvi: Hivi kwa nini wapandisha majini hawapendi kuwepo misabani au sehemu za shughuli nyingi

    Kuna dada mmoja ni bingwa wa kupandisha wale wanaodai walisilimishwa huku imani yangu naita mapepo maana sijui elimu yake. Sehemu yenye misiba,masoko yenye watu wengi hataki kwenda anasema yana mfanya kupandisha. Na sehemu ambayo anaogopa sana kariakoo
  17. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo utulivu D9 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi?

    Wakuu, Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Polepole anaendelea na destruction na character assassination, Anapaswa kuwepo mtu mwingine wa kuchochea uasi wa Umma (Civil disobedience)

    Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni kuwasimanga na kuwapachika majina mabaya viherere wote wa CCM mtandao (Wananchi wajinga) kuwashambulia...
Back
Top Bottom