jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na mno watu kushangilia hotuba ya Captain Tesha wa JWTZ katika mitaa ninayoishi. Wengine wameamini JWTZ imechukua nchi

    Ni wazi sana sasa kuwa kumbe wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kupata habari njema za anguko la serikali hii ya CCM. Captain Tesha, askari wa JWTZ alikuwa amesubiwa kwa hamu kubwa asikike... All in all, ni kuwa binafsi sikuwa na hili wala lile. Nimetoka kwenye mihangaiko yangu ya kutafuta...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

    Wanaukumbi. (✍️ na mchambuzi wetu) TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ukiachilia Mbali Kutisha tisha, JWTZ haliwezi kamwe kugeuza Bunduki zake dhidi ya Raia ! Tujitokeze wengi sana katika Maandamano!!

    Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!. Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa Uchaguzi, Ma Vifaru yao huzagaa zagaa Barabarani ?. Mbinu wanayotumia CCM ni kuzijaza Barabara na...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

    Habarini ndugu ? Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ. Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa komandoo. Baada ya kuhitimu kidato cha nne nilitaka kwenda jeshini wazazi wangu wakanikatalia wakasema...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

    Niwatakie siku yenye baraka tele
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania JWTZ ni kwamba mnafanya maigizo ama?

    Wakati dunia inazungumza kuhusu vita vya kisasa vinavyotumia teknolojia ya hali ya juu, jeshi la Tanzania bado limebaki nyuma likifanya mazoezi yasiyo na tija. Badala ya kuwekeza kwenye zana za kivita za kisasa na mbinu za kijeshi zinazolingana na zama hizi, mara nyingi wanajeshi huonekana...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Traore Mwanajeshi aliyeamua Kulinda Rasilimali za Nchi yake !! JWTZ kikatiba Ina WAJIBU huo, shuhudia za Polepole ,nalitegemea Jeshi lichukue Hatua !

    Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao. KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!. Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya TAKUKURU yahamihishiwe Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Wakuu asalaam ! Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa iwe nguzo ya haki na mwanga wa matumaini kwa kila raia anayetafuta msaada dhidi ya dhuluma na...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Urusi iliivunja KGB na kuunda Shirika Jipya la FSB. Tanzania TISS ivunjwe na jukumu wapewe MI chini ya JWTZ huku TISS ikiundwa upya.

    Kwa hali iliyopo sasa nchini Tanzania hatuna budi kufanya kama walivyofanya Urusi baada ya kuanguka kwa Shirikisho la Kisovieti (USSR). Inakumbukwa baada ya kuanguka kwa shirikisho hili Urusi waligundua kuwa moja ya sababu kuu ya kufeli wa USSR ilikuwa ni udhaifu mkubwa sana kwenye Shirika lao...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wazalendo ndani ya JWTZ, Polisi, Usalama tuokoe nchi yetu wekeni haki mbele yenu kwa Tanzania

    Wazalendo ndani ya JWTZ, Polisi, Usalama tuokoe nchi yetu wekeni Haki mbele yenu kwa Mama TZ Hatuombi upendeleo lakini fanya haya machache tu hapa ndani ya uwezo wako 1. Tenda haki kama kiapo chako kinavyosema 2. Usipendelee mtu yeyote kwasababu za kisiasa 3. Sema mabaya kama unafahamu usione...
  11. baro

    JamiiForums Tanzania Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

    Ndugu Wana ukumbi, Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi? Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania JWTZ lipewe mradi wa Mabus ya Mwendo Kasi liuendeshe , Likopeshwe MaBus , hapatakua tena na Uhuni kama huo unaoendelea !!.

    Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!. Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na Uharibifu wa Magari Kwa njia za Kihuni , JWTZ lipewe Fursa hiyo!! Naamini kupitia JWTZ Huduma...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Naliomba kwa unyenyekevu JWTZ wamlinde Mzee Butiku na Mzee Warioba

    Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank. Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS. Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa. Amewahi Ongea Mzee...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania JWTZ Yapata kazi ya kujenga madaraja Afrika ya Kati

    Pongezi nyingi kwao. Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati. ============== Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la...
  15. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yanayoendelea, inawezekanan JWTZ wametulia tu?

    Habari wakuu. Nimekuwa najiuliza Kwa muda mrefu sana juu ya hili swala, tatizo Mimi nakuwa mvivu kuanzisha Uzi. Je, pamoja na vita na migogoro inayoendelea duniani, JWTZ wametulia tu bila kujifunza na kuchukua hatua ya kuboresha vifaa vita, mikakati na mbinu?? Kuanzia vita ya Urusi na...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumbe KIKATIBA , baadhi ya Kazi za JWTZ ni Kulinda Katiba, Kulinda Ardhi na Maliasili za Nchi yetu, Kulinda Watu wa Tanzania!!

    Hapa Nina Maswali !! Ni katika wakati gani ,JWTZ itafanya kazi yake hii ya kulinda Katiba, Ardhi, Maliasili, na Kulinda Watu?. Tafasiri ya Kulinda Watu kwao ni ipi? Ikiwa tunashuhudia watu Wanatekwa, wanauliwa .?? Kulinda Maliasili, ikiwa tunashuhudia Waarabu na Wachina wanapewa Mali zetu...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

    Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya. Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

    Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi. Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

    Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo. Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa. Hakuwaacha hapo tu, kawaambia...
  20. X-Agent

    JamiiForums Tanzania NSSF Tanzania (Mwanza) tunaomba Maelezo kwanini wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi hadi leo.

    PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ? Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
Back
Top Bottom